cecil mwambe

Mheshimiwa Cecil Mwambe aliwahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Ndanda mwaka 2015 hadi 2020 kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Pia aliwahi kuwania nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa wa chama hicho mwishoni mwa mwaka 2019. Februari 2020 alitangaza kujiuzulu wadhifa wake wa ubunge na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM), akitaja nia yake ya kuunga mkono juhudi za maendeleo za serikali iliyokuwa madarakani chini ya Hayati Dkt. John Pombe Magufuli.
  1. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Cecil Mwambe moyo wake uko CCM, Chama kilifanya makosa makubwa kumfanyia figisu 2015

    Rais Magufuli amewalaumu wanaCCM wa Ndanda kwa kumfanyia figisu Cecil Mwambe aliyekuwa anakubalika ndani ya CCM. Mimi niligombea CCM nikasindikizwa na watu 41, na kiukweli mimi ndiye nilikuwa nakubalika, niwaombe WanaCCM msiwabanie watu ambao wanakubalika kwa wananchi, kwa sababu hata mimi...
  2. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Si Cecil Mwambe wala John Heche wanaotosha uenyekiti CHADEMA Taifa, Uenyekiti una mambo mengi

    Mwanzo mwanzoni niseme wazi kuwa mimi si na sijawahi kuwa mwanachama wa CHADEMA au chama kingine chochote cha siasa hapa Tanzania au kwingineko duniani. Hilo linatosha kutoa maoni yangu huru kuhusu siasa za nchi yangu kwakuwa nazifuatilia. CHADEMA wanapaswa kufanya uchaguzi mkuu wa kichama...
  3. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yajibu hatua ya Mbunge Cecil Mwambe, kusoma Ilani ya CCM Bungeni

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetetea hatua ya Mbunge wake jimbo la Ndanda Cecil Mwambe kuingia na ilani Ya Chama cha Mapinduzi bungeni kwa kile ilichokisema ni jambo la kawaida. Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje CHADEMA, John Mrema amewataka watu wasishangae...
  4. Mgambilwa ni mntu

    JamiiForums Tanzania Mvuto wa Magufuli kwa Upinzani: Mbunge wa Ndanda (CHADEMA), Cecil Mwambe anadi Ilani ya CCM bungeni

    Mbunge wa Ndanda kwa tiketi ya CHADEMA, Cecil Mwambe akiwa bungeni ameshikilia Kitabu cha Ilani ya CCM. Hii ni dalili njema kuwa, aliyoyafanya Rais Magufuli hasa ununuzi wa korosho, ni kibali kikubwa sana cha wananchi wa Jimbo la Ndanda mkoani Mtwara kwa Magufuli. In fact, that's is an...
Back
Top Bottom