pascal mayalla

  1. Idugunde

    Pro-Chadema mbona huwa mnafurahi na kumdhihaki Pascal Mayalla anapokosa uteuzi?

    Kwamba pamoja na maandiko yake yenye akili yaliyoenda shule na ambayo huwa ni msaada mkubwa kwa serikali. Bado huwa hateuliwi. Lakini cha ajabu member wengi wa JF ambao ni pro-Chadema huwa wanamdhihaki na kumnyodoa. Why? Mnataka nini?
  2. Sildenafil Citrate

    Pascal Mayalla: Vyama vya siasa visipewe ruzuku, viongozi wake wajitolee

    Akizungumza kwenye kongamano la kujadili Muswada wa Sheria ya Uchaguzi linaloendelea Jijini Dar es Salaam, Pascal Mayalla amesema; “Ndugu zangu wa vyama vya siasa, wenzetu nchi za Ulaya utumishi wea chama ni wa kujitolea, chama sio ajira, vyama vya siasa tangu TANU havikuwa vinapewa ruzuku...
  3. Pascal Mayalla

    Hoja zangu za Kisiasa, Katiba, Sheria na Haki humu JF zina mashiko? Zimesaidia kitu? The Consequences ya baadhi ya hoja zangu! Kazi inaendelea!

    Wanabodi Mimi ni mwana JF mwenzenu humu JF na ni verified tangu 2008, katika miaka hii zaidi ya 15, nimepandisha mabandiko mengi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii. Kati ya mabandiko hayo, kuna mabandiko ni powerful na yameleta some positive impact kwa kujibiwa kwa utekelezaji. Hili ni bandiko...
  4. Venus Star

    Rungu linashuka kwa Wakurugenzi, Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya - Kazi kwako Pascal Mayalla (Anza kushona suti)

    Rungu limeanzia juu na mpaka leo hii tumempata nambari nne wa nchi hii, mara ya mwisho kuwa na nambari nne katika nchi hii ilikuwa utawala wa Rais Mwinyi. Rungi sasa linaelekezwa kwa wakurugenzi wa mashirika ya umma, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilata. Bila kuwasahau RAS, DAS na DED. Ndugu...
  5. Venus Star

    Nashauri Pascal Mayalla ateuliwe kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara

    Ndugu yetu Pascal Mayalla amesugua benchi sana. Na kama kutumia uwezo wake kuwashawishi viongozi, ametumia wote. Ni muda mwafaka sasa wa mwana JF mwenzetu kuukwapua ukuu wa wilaya ya mtwara. Bwana Pascal Mayalla anayohaiba ya kuwa mkuu wa wilaya na anaijua miiko ya uongozi. Napaza sauti yangu...
  6. Unasemeje

    Pascal Mayalla ni mtanzania mwenye kila sababu ya kuwa na pesa mjini ila ameshindwa kuwa mbunifu.

    Moderator naomba huu uzi msiufute maana umekusudia kumsaidia huyu bwana kuingia kwenye orodha ya watu wenye mafanikio kiuchumi. Pascal Mayalla wewe sio mtu wa kusubiri uteuzi, ulianza vizuri sana enzi za PPR ukateleza kidogo (ni kawaida kwenye maisha) ila sasa kwa upande wako kadiri unavyopata...
  7. Carlos The Jackal

    Wakili Msomi Pascal Mayalla, umemsikia Prof. Shivji? Bado unatuita watanzania Wajinga?

    Pengine Prof. Tibaijuka unaona labda anazeeka haraka, Pengine Lissu unamuita Mwanaharakati, Pengine Mbowe unamuona asiye na taaluma ya Sheria na wewe tu ndio mwanasheria, pengine Akina Dr Nshala, Akina TEC na Watanzania hawa mtaani ambao sass wanaamini Nchi imeuzwa, wanahoji kwanini Mkataba...
  8. Burkinabe

    Akili za Chifu Mangungo wa Msovero

    Kati ya viongozi ambao hawakupaswa kuandikwa hata kwenye vitabu vya kihistoria ni chifu Mangungo wa Msovero maana ni kielelezo kibaya sana na cha aibu kwa Taifa letu. Siku nikifanikiwa kuwa kwenye nafasi ya kufanya maamuzi, nitapiga marufuku kabisa kwa viongozi wote wenye kariba ya Chifu...
  9. Meneja Wa Makampuni

    Hivi viongozi wetu mnajiskiaje kwa kutomteua Pascal Mayalla kulitumikia taifa letu

    Sito andika sana katika uzi huu bali nitatoa swali tu. Hivi viongozi wetu mnajiskiaje kwa kuto mteua Pascal Mayalla kulitumikia taifa letu? Yaani hapa lazima kieleweke. Kwa kuanzia Bwana Pascal Mayalla anafaa kuwa mkuu wa mkoa au wilaya au mkurugenzi au mbunge wa kuteuliwa. Kati ya hizo...
  10. Meneja Wa Makampuni

    Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vizuri

    Rais Dr. Samia jaribu na kumtumia na Pascal Mayalla kwenye serikali yako ninahakika atafanya vzuri.
  11. Sanyambila

    Ushauri kwa NECTA: Usimamizi wa mitihani kwa shule za Sekondari na Msingi

    Habari watanzania! Hivi karibuni Katibu mkuu wa NECTA aliyepita sasa ni naibu katibu mkuu TAMISEMI, ametuachia jambo geni kwenye usimamizi wa mitihani.anyway labda lina tija au wapo kwenye utafiti wa mfumo sijui kwanza nikwamba zamani ilikuwa walimu wa SEKONDARI walisimamia mitihani ya...
  12. K

    Pascal Mayala mbona huchambui uamuzi wa Januari Makamba na kampeni yake ya kugawa majiko ya gesi Kanda ya Ziwa

    Ankali, Paskal Mayala kuna mjadala mkubwa wa kitaifa unaoendelea humu kuhusu Waziri wa Nishati, Januari Makamba mbona hufanyi uchambuzi wako juu ya yanayoendelea. Umeaacha wadau wengine humu na Global Tv peke yao Why?
  13. Bujibuji Simba Nyamaume

    Pascal Mayalla Mzee wa makala za "Kwa maslahi ya Taifa", mbona uko kimya bei ya sembe imefika 1,800/- kwa kilo

    Pascal Mayalla nakusalimu. Nimekuwa msomaji na mfuatiliaji mzuri sana wa makala zako ulizozibandika jina la "Kwa Maslahi ya Taifa". Kupitia makala hizi nimekuwa nikijifunza vitu mbalimbali na bingo sana. Kikubwa zaidi nilichojifunza, hizi makala zipo kwa ajili ya kuwaponda wapinzani na...
  14. mike2k

    Kwanini nikimtizama mtu anajikwaa au anaanguka?

    Habari za muda huu wana JF. Naomba kufahamu hii inamaana gani? Kwa zaidi ya miaka 3 sasa nimekuwa nikimtizama mtu anajikwaa au anaanguka. Hii hali imekuwa inanishangaza sana. Nimejaribu kuuliza wadau ila hakuna mahali nimepata jibu la kuridhisha. So nimewasilisha kwenu ili niweze kupata...
  15. Huihui2

    Pascal Mayalla; Hongera kwa kushinda vita dhidi ya Ndugai

    Hapo ni April 2018. Kwangu nililiona hili kama ni personal vendetta dhidi ya uhuru wa habari na dhidi ya mwandishi mbobezi Bwana Pascal Mayalla japo mpaka leo hajawahi kutujuza ni nini kulikuwa matokeo ya kikao hicho. Tunajuwa kimoja tu kuwa walikukatia biashara zako za PPR kwenye sekta mbali...
  16. Pascal Mayalla

    Je, wajua haramu isipoharimishwa inageuka halali? Na batili isipobatilishwa inageuka halali. Je, tuhalalishe ubatili huu kwa mhimili wetu wa Bunge?

    Wanabodi, Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama kawaida yangu, kila nipatapo nafasi, huwa natoa makala elimishi za kisiasa, kiuchumi na kijamii ziitwazo "Kwa Maslahi ya Taifa" kwa lengo la uzalendo kwa nchi yangu, kuisaidia nchi yetu, serikali yetu, viongozi wetu na...
  17. Makonyeza

    Marekebisho makubwa ya sheria za Jinai nchini

    Marekebisho makubwa katika sheria za Jinai nchini Tanzania: Na. M. Majaliwa, Esq. Tulikwishapoteza mwelekeo, hatukuwa tena nchi yenye kustahili kujinasibu kwa tunu za Uhuru, Haki, Udugu na Amani ambazo kimsingi zimetajwa kama sehemu ya misingi ya katiba yetu, rejea sehemu ya Utangulizi ya...
  18. Makonyeza

    Execution of Decree in Tanzania

    This is the book which pacts with the significant area of practice in law, ‘Execution’, especially in Tanzanian context. It covers almost all important areas of the law and therefore gives answers to all possible questions which a law student and law practitioners like practicing advocates...
Back
Top Bottom