Search results

  1. ngajapo

    Marubani wa Urusi watatunukiwa tuzo baada ya tukio la kuzuia ndege zisizo na rubani za Marekani

    Marubani wa ndege za Urusi ambazo zilifanya jitihada za kutambua ndege isiyo na rubani ya Marekani iliyokuwa ikifanya kazi ya upelelezi kwenye Bahari Nyeusi wameteuliwa na kupewa tuzo za heshima, Wizara ya Ulinzi ilitangaza Ijumaa. Waziri wa Ulinzi wa Urusi Sergey Shoigu "amewapa tuzo ya...
  2. ngajapo

    Mchakato wa kuimega rasmi ardhi ya Donbass ndani ya Ukraine kuanza tarehe 23 na 27 september

    Mzee baba Putin alitumia nguvu ya kutosha kuhakikisha kwamba analifagilia mbali kabisa jeshi la Ukraine kwenye ardhi ya Donbass na kherson akilenga kuwasaidia raia wanaoishi maeneo hayo ambao wengi wao ni wa asili ya Kirusi.. baada ya kufanikisha hilo hakutaka tena kuendele kutumia nguvu...
  3. ngajapo

    Hatimaye Donbass yaangukia mikononi mwa Urusi

    Waziri wa ulinzi wa Urusi sergey shoigu ametangaza rasmi kuwa jeshi la urusi kwa kushirikiana na wanamgambo wanaotaka(waliojitenga tayari) wa Luhansk na Donetsk wamefanikiwa kulikomboa jimbo la mwisho kabisa ndani ya donbass lililokuwa likishikiliwa na wapiganaji wa Ukraine. Kukombolewa kwa...
  4. ngajapo

    Urusi imepanga kufanya gwaride la maadhimisho ya siku ya mashujaa Mei 9 kwenye mji walioteka wa Mariupal

    Ukraine imeishutumu Urusi kwa kupanga kufanya gwaride la kijeshi la 'Siku ya (mashujaa) katika mji uliotekwa wa Mariupol tarehe 9 Mei kusherehekea ushindi dhidi ya Wanazi katika vita vya pili vya dunia, AFP inaripoti. Idara ya upelelezi ya kijeshi ya Ukraine ilisema afisa kutoka utawala wa rais...
  5. ngajapo

    Ukraine wasipokuwa makini wakiendelea kufuata ushauri wa magharibi taifa lote litapotea..

    Wana JF tumekuwa wachangiaji wazuri sana wa mijadala juu ya vita inayoendelea huko ulaya kati ya mafahari watatu yaani Urusi, NATO na Ukraine.. mpaka tumefikia hatua tunabishana as if ni simba na yanga... yaani hata timu iwe mbovu hatuachi kuunda sentensi zenye propaganda nyingi ili mradi tu...
  6. ngajapo

    Urusi kwa mara nyingine yatoa onyo kwa Mataifa makubwa kutoingilia mipango yake Ukraine

    Rais mzee baba Vladimir Putin ameonya vikosi vya nje dhidi ya kuingilia mzozo wa Ukraine, na kuahidi jibu la "kasi ya umeme" kwa vitendo kama hivyo, huku akiahidi kutumia siraha zenye matumizi ya juu zaidi za Moscow. "Iwapo mtu ataamua kuingilia kati matukio yanayoendelea kutoka nje na kuunda...
  7. ngajapo

    Taratibu nchi za ulaya zimeanza kukubaliana na utaratibu wa manunuzi ya gesi kwa mfumo wa rubble. Slovakia yawa ya kwanza kukubali

    Taratibu maji na mafuta vimeanza kujitenga.. Hii ni baada ya Slovakia kukubali rasmi kufanya malipo ya gesi kwa mfumo wa rubble kama Russia inavyotaka iwe.. wamesema hawawezi kumpoteza Russia ambaye ni supplier mkuba wa gesi katika nchi yao.. Slovakia inategemea gesi kutoka urusi kwa zaidi ya...
  8. ngajapo

    Urusi yadai ‘hatua ya kwanza’ ya mashambulizi ya Ukraine imekamilika

    Afisa mkuu wa ulinzi wa Urusi anasema "hatua ya kwanza ya mashambulizi ya Urusi dhidi ya Ukraine yamekamilika" Juhudi sasa zinaweza kulenga "ukombozi wa Donbass," source RT News Russia claims ‘first stage’ of Ukraine offensive complete Efforts can now be focused on...
  9. ngajapo

    Training opportunity on ''project proposal writing''

    Do you wish to be competent organizational fundraiser? or Do you inspire to be the best on project proposal writing? or Would you like to be a good project manager with competent knowledge on organizational fundraising? If yes!!!! Please call 0765 468 613 or inbox to get more...
  10. ngajapo

    Kikosi kazi cha simba kilichopaa kwenda Zambia

    Kikosi hicho kimeongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF, Francis Ndulane pamoja na wachezaji 20, watu sita kutoka benchi la ufundi wakiongozwa na Kocha Mkuu, Patrick Aussems na viongozi watatu wa klabu. Kikosi cha Simba kilichopaa kuelekea nchini Zambia ni: Makipa: Aishi Manula, Deo...
  11. ngajapo

    Hii ni aina gani ya madini?

    Watalaam wa madini naomba mnisaidie kujua aina hii ya madini. Mi ninayo muda mrefu ndan. Kila nikijaribu kuuliza kwa kila mtu sipati jibu la uhakika na je kama ni madini wanauza wapi ili nikatafute Mavumba wakuu.
  12. ngajapo

    Laptop inauzwa

    Laptop aina ya DELL inauzwa ipo kwenye kiwango kizuri sana kwa mwenye kuhitaji naomba uni pm au piga/tuma sms kwenye number 0762023292.. mniwie radhi kwa kukosea heading.. lakini namaanisha Laptop
  13. ngajapo

    Wajasiliamali wenzangu naomba msaada

    Mimi ni mjasiliamali ambaye baada ya kumaliza masomo ya elimu ya juu, niliamua kufungua kampunu ya kibiashara inayohusiana na masuala ya (BUSINESS TRAINING, PROMOTION AND ADVERTISEMENT). wazo hili lilikuja baada ya kusota saana mtaani kutafuta kazi bila mafanikio. bahati nzuri nikafanikiwa...
  14. ngajapo

    Namna ya kupata taarifa muhimu za kimtandao

    Naomba msaada wadau: kuna tafiti nafanya juu ya matumizi sahihi ya internent kwa wafanyabiashara, watoa huduma za kijamii na watu binafsi kwa hapa Tanzania. katika taarifa hii nataka kujua kituo kinachokusanya taarifa zifuatazo: a) gharama za kuanzisha internet na blogs mbalimbali b) kujua...
  15. ngajapo

    Huyu jamaa alijaribu kuonesha maono yake lakini alipuuzwa. Hebu tazama link yake hii

    https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/372740-je-unamjua-masamaki-anayekaa-pugu-kajiungeni.html
  16. ngajapo

    Uchaguzi S/Mitaa: Mwigulu alichokikuta leo Biharamulo sio kile alichokuwa ametarajia

    katika hali isyokuwa ya kawaida Mheshimiwa naibu waziri wa fedha na kada maarufu wa CCM Mwigulu Lameck Nchemba amehudhunishwa sana na mahudhurio hafifu ya wafuasi wa CCM na wakazi wote kwa ujumla wa biharamulo wakati alipofanya mkutano wa kuhitimisha ziara yake ya kukipigia chapuo chama chake...
Back
Top Bottom