rubani

Qalatak (Persian: قلاتك‎, also Romanized as Qalātak; also known as Rūbanī) is a village in Mashayekh Rural District, Doshman Ziari District, Mamasani County, Fars Province, Iran. At the 2006 census, its population was 349, in 88 families.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Rubani alipiga ukunga “ALLAH AKBAR!” kabla ya kumchoma kisu nahodha aliyemzuia asidonoshe ndege Israel, Madaktari wa Saudi Arabia watoa msaada

    Mods naombeni msiunganishe uzi, nyuzi nyingi vichwa havijagusia lengo la rubani pamoja na uhusika wa Saudi Arabia kupeleka madaktari kusaidia abiria. Rubani msaidizi kutoka Oman anadaiwa kujaribu kuchukua udhibiti wa ndege ya Flydubai iliyokuwa ikielekea Tel Aviv, ikiwa na zaidi ya watu 170...
  2. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Rubani kaona acha watu wajionee mlima unavyoungua

    Yeap .. mlima unawaka sahivi Sasa brother rubani kaamua acha abiria wajionee live
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Rubani mwenza amemchoma kisu rubani mkuu ili aweze kudondosha ndege makusudi

  4. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Rubani wa F-15 wa Marekani asimulia alivyohangaika kwa saa 50 kwenye milima ya Iran

    Mmoja wa maafisa wawili wa Jeshi la Anga la Marekani ambaye ndege yao ya kivita aina ya F-15E ilidunguliwa juu ya Iran mwezi Aprili, amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu tukio hilo. Kanali wa Jeshi la Anga la Marekani ambaye jina lake halijawekwa wazi kwa sababu za kiusalama, amezungumza kwa...
  5. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania TANZIA Safari Yageuka Msiba: Watalii Sita na Rubani Wafariki Samburu

    Safari iliyotarajiwa kuwa ya kufurahia mandhari ya kaskazini mwa Kenya imegeuka kuwa janga baada ya watu saba, watalii sita na rubani, kufariki katika ajali ya helikopta karibu na Mlima Ololokwe, Samburu County. Ajali hiyo ilitokea Jumatano, Agosti 19, 2026, majira ya saa 9:13 asubuhi...
  6. Echolima1

    JamiiForums Tanzania China imeonyesha ndege isiyo na rubani ya KVD002!!!

    China imeonyesha ndege isiyo na rubani ya KVD002 ya upelelezi na mapigano ikishambulia shabaha ya baharini inayosonga wakati wa mazoezi ya kijeshi ya hivi karibuni, ikiashiria maonyesho ya kwanza ya umma ya ndege isiyo na rubani ikishambulia shabaha ya uso inayozunguka baharini. KVD002 imeundwa...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania United Arab Emirates imesema kuwa inaendelea kukamata makombora na ndege zisizo na rubani kutoka Iran

    United Arab Emirates imesema mifumo yake ya ulinzi wa anga ilikabiliana na makombora 12 ya balistiki, makombora 3 ya cruise na ndege 4 zisizo na rubani zilizorushwa kutoka Iran siku ya Jumatatu. Mashambulizi hayo yalisababisha watu watatu kupata majeraha ya wastani, kwa mujibu wa Wizara ya...
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Wanajeshi wa IDF waliangusha ndege isiyo na rubani ya Hezbollah

    Ushujaa halisi wa IDF. Wanajeshi wa IDF waliangusha Drone ya Hezbollah iliyokuwa imebeba mabomu, wakati huo huo askari wa IDF walikuwa wanahamisha majeruhi kutoka Mstari wa mbele kuwapeleka hospitali (Emergency-Evacuation)wanajeshi hao waliojeruhiwa kwenye mapigano huko kusini mwa Lebanon.!!
  9. J

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Wanajeshi wa Iran waachia video namna walimvyomkamata rubani wa Marekani

    Wakuu Je, hii video ni ya hivi karibuni?
  10. Setfree

    JamiiForums Tanzania Rubani wa Artemis II ahubiri Injili akiwa anga za juu!!

    Tukio la ajabu limetokea katika anga za juu na kuwaacha watu midomo wazi. Tukio gani hilo? Endelea kusoma... Wakati dunia nzima ikifuatilia safari ya Artemis II, rubani wa misheni hiyo, Victor Glover, akiwa katika anga za juu, badala ya kutoa ujumbe wa kisayansi, ametoa ujumbe wa kiroho...
  11. U

    JamiiForums Tanzania Kumbe Marekani ilikuwa imefanya shambulio la siri la kuiba madini ya Uranium wakati wakidai kumuokoa Rubani wao

    Hiyo ni taarifa ya Muda huuIran’s foreign ministry says the US operation to rescue a downed airman may have been a cover to “steal enriched uranium” from the country. . Iran’s foreign ministry spokesman Esmaeil Baqaei said there were “many questions and uncertainties” about the operation.
  12. MK254

    JamiiForums Tanzania Baada ya ushindi wa kuokoa rubani, Trump aingiwa na mzuka na kutukana na kusema anaipa Iran hadi jumanne

    Jamaa amechafukwa, ameingiwa na mzuka anatukana na kutoa onyo kama kesho jumatatu itapita bila Iran kuachia mfereji, ataangusha humo mavitu ambayo mpaka leo Iran hawajawahi kuyaona, nchi itakua kiza tupu kote, atapiga umeme na madaraja yote na kurudisha Iran mbali............ Warning: The below...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Mossad wafanikisha kuokolewa kwa rubani wa F-15E

    Itoshe tu kusema kuwa kwa miaka 47 ambayo magaidi wa IRGC walikuwa wakizalisha makombora na kuchimba mahandaki kwa ajili ya kuyaficha, Mossad nao katika kipindi hichohicho cha miaka 47 walikuwa miongoni mwa mashuhuda wa mchakato. Bibi aliwahi kutoa kauli moja ya kibabe sana wakati wa Vita ya...
  14. MK254

    JamiiForums Tanzania Hii ni aibu sasa, US wameingia Iran na kumuokoa rubani wa pili

    Yaani kama movie vile, marubani wote wawili wameokolewa ndani ya ardhi ya Iran, hainingii akilini kwamba makobaz wamechapika kiasi cha kushindwa hata kujishikia hao marubani wawili. Hata hivyo Marekani mbona walitumia ndege ya F-15 ambayo ni non-stealth mode, kwa sasa waendelee kupiga kwa F-35...
  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Rubani wa Pili wa Ndege-vita ya Marekani F-15 E aokolewa kwa Operation Kabambe huko Iran, IRGC waangamizwa!!!!!!

    Ripoti: Marekani Yazindua Misheni ya Uokoaji Yenye Hatari Kubwa nchini Iran Kufuatia Ndege ya Kivita Iliyoangushwa Katika saa za hivi karibuni, Marekani imeanzisha operesheni ya uokoaji ili kurejesha mabaki ya ndege ya kivita ya F-15E iliyoangushwa nchini Iran siku moja mapema ili kuzuia...
  16. P

    JamiiForums Tanzania Mmoja wa rubani wa ndege ya Marekani iliyotunguliwa na Iran aokolewa akiwa mzima

    One of two US pilots in the F-15 fighter jet which went down in Iran has been rescued by American forces, NBC News reports. The two-seater plane went down over Iran earlier today, our US partner network reported earlier, citing two American officials. A US official now tells NBC one of the...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Kutoka rubani wa ndege nchini Marekani hadi muokota makopo nchini Kenya

    Hii ni hadithi ya maumivu ya ndugu Samuel Mawato, mkazi wa Mtwapa, Kaunti ya Kilifi, nchini Kenya. Samuel hakuwahi kufikiria kwamba siku moja angekuwa muokota makopo. Kwa miaka 15 aliyoshi Marekani, ambako alisomea urubani na baadaye kufanya kazi kwa muda mfupi katika shirika kubwa la ndege la...
  18. T

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Misheni ya siri ya kuusafirisha mwili wa Rais nyumbani - Rubani aifichulia BBC

    Takriban miaka 31 iliyopita, marubani wawili wa Kenya, Hussein Mohamed Anshuur na Mohamed Adan, walitembelewa na mgeni ambaye hawakumtarajia katika ofisi yao katika Uwanja wa Ndege wa Wilson, nje kidogo ya jiji la Nairobi. Ni mwanadiplomasia wa Nigeria, ambaye aliwaomba kumfanyia kazi nyeti na...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Misheni ya siri ya kuusafirisha mwili wa Rais nyumbani - Rubani aifichulia BBC

    Takriban miaka 31 iliyopita, marubani wawili wa Kenya, Hussein Mohamed Anshuur na Mohamed Adan, walitembelewa na mgeni ambaye hawakumtarajia katika ofisi yao katika Uwanja wa Ndege wa Wilson, nje kidogo ya jiji la Nairobi. Ni mwanadiplomasia wa Nigeria, ambaye aliwaomba kumfanyia kazi nyeti na...
  20. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Marufuku ya ndege zisizo na rubani ni kitendo cha kujilinda kibiashara cha Marekani kwa kisingizio cha usalama

    Tume ya TEHEMA ya Marekani (FCC) hivi karibuni ilitangaza kuweka ndege zote zisizo na rubani na vipuri vyake vilivyotengenezwa nje ya nchi kwenye orodha ya kudhibitiwa, kwa kisingizio cha “tisho kwa usalama wa taifa”, na kupiga marufuku ununuzi wa aina mpya za ndege zisizo na rubani kutoka nchi...
Back
Top Bottom