Hatimaye Donbass yaangukia mikononi mwa Urusi

Hatimaye Donbass yaangukia mikononi mwa Urusi

ngajapo

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2012
Posts
1,880
Reaction score
3,708
Waziri wa ulinzi wa Urusi sergey shoigu ametangaza rasmi kuwa jeshi la urusi kwa kushirikiana na wanamgambo wanaotaka(waliojitenga tayari) wa Luhansk na Donetsk wamefanikiwa kulikomboa jimbo la mwisho kabisa ndani ya donbass lililokuwa likishikiliwa na wapiganaji wa Ukraine. Kukombolewa kwa eneo hilo kunaifanya donbass yote kuwa chini ya utawala wa majeshi ya urusi na washirika wake na kufanya urusi ifikie malengo yake ya kuwakomboa watu wa Luhansk na Donetsk.

Baada ya kupokea taarifa kutoka kwa waziri wa ulinzi rais Putin haijulikani kama bado ataendelea na operation ndani ya ukraine ama atafanya mpango wa kulinda ardhi aliyoitwaa toka ukraine

Soma zaid za motomoto kutoka al Jazeera na RT...

RT: Donbass republic fully liberated – Russian defense minister

The whole territory of the Lugansk People’s Republic has been wrested from Ukrainian control, Moscow says

The last remnants of Ukrainian forces have been driven out of the Lugansk People’s Republic (LPR), Russian Defense Minister Sergey Shoigu announced on Sunday. He reported the news to President Vladimir Putin, the Defense Ministry said in a statement.

Shoigu said Russian troops and Donbass forces had completely seized Lisichansk, the last major city which had remained under Ukrainian control since 2014, when the LPR declared its independence shortly after a coup in Kiev.

Russia and Ukraine reported heavy fighting around Lisichansk earlier this week, with the most fierce combat occurring at the city’s oil refinery.

News of the capture of Lisichansk comes after Ukrainian troops retreated from Severodonetsk, a nearby city on the opposite side of the Seversky Donets River, last week. The fighting for Severodonetsk had lasted for several months.
 
Wamemwagiwa na bombshell Ukraine ikabidi wawatoe maana walikuwa wanakufa kama nzige kwanza ile hit wave yake inasafiri 100m kabla ya bomb lenyewe unamchezea mrusi
 
Wakiendelea kukaza shingo mzee baba Putin hataicha kujitwalia hiyo miji
 
Back
Top Bottom