Hii ni aina gani ya madini?

ngajapo

ngajapo

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2012
Messages
532
Likes
195
Points
60
ngajapo

ngajapo

JF-Expert Member
Joined Jun 3, 2012
532 195 60
Watalaam wa madini naomba mnisaidie kujua aina hii ya madini. Mi ninayo muda mrefu ndan. Kila nikijaribu kuuliza kwa kila mtu sipati jibu la uhakika na je kama ni madini wanauza wapi ili nikatafute Mavumba wakuu.
 
Attachments:

jumayu

jumayu

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2016
Messages
658
Likes
366
Points
80
Age
41
jumayu

jumayu

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2016
658 366 80
We uko wapi mkuu au mkoa gani kwa sasa
 
radicals

radicals

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2016
Messages
2,365
Likes
2,620
Points
280
Age
38
radicals

radicals

JF-Expert Member
Joined Nov 7, 2016
2,365 2,620 280
hiyo ni goroli tu
 
glass amo

glass amo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2017
Messages
2,224
Likes
2,073
Points
280
glass amo

glass amo

JF-Expert Member
Joined Aug 11, 2017
2,224 2,073 280
Hakuna madn hapo. Umeyaokota wapi hiyo n michanga ya uvinza
Leta kwangu nikuoneshe
 
Microsafi

Microsafi

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2015
Messages
328
Likes
65
Points
45
Microsafi

Microsafi

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2015
328 65 45
Sio madini nigoroli kijana......umeliwa!
 
M

Mgodo visa

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2016
Messages
2,847
Likes
2,632
Points
280
M

Mgodo visa

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2016
2,847 2,632 280
Ni madini ya Ruby Mkuu...!
Umasikini kwaheri tena, wewe na familia yako...
 
jumayu

jumayu

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2016
Messages
658
Likes
366
Points
80
Age
41
jumayu

jumayu

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2016
658 366 80
Watalaam wa madini naomba mnisaidie kujua aina hii ya madini. Mi ninayo muda mrefu ndan. Kila nikijaribu kuuliza kwa kila mtu sipati jibu la uhakika na je kama ni madini wanauza wapi ili nikatafute Mavumba wakuu.
Km ni madini basi, aidha tazanite, au bluesafire,
 
Tajiri Kichwa

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2017
Messages
1,228
Likes
1,700
Points
280
Tajiri Kichwa

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2017
1,228 1,700 280
Madini ya calcium yachemshe kwenye mboga kuongeza madini mwili mkuu.
 
Bushbaby

Bushbaby

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
1,598
Likes
114
Points
160
Bushbaby

Bushbaby

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
1,598 114 160
Madini ya calcium yachemshe kwenye mboga kuongeza madini mwili mkuu.
Ungenyamza kimya ungeonekana una busara na hekima...kwa hiki ulichoongea unaonyesha ni jinsi gani wewe ni Mpumbavu!!
 
Tajiri Kichwa

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2017
Messages
1,228
Likes
1,700
Points
280
Tajiri Kichwa

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2017
1,228 1,700 280
Ungenyamza kimya ungeonekana una busara na hekima...kwa hiki ulichoongea unaonyesha ni jinsi gani wewe ni Mpumbavu!!
Mbona wapata jaziba mkuu , maisha mafupi ishi kwa furaha yaan maneno ya mtandaoni yakufanye hvyo tena kwa mtu ambaye umjuipole
 
J

Jua usiyoyajua

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Messages
855
Likes
384
Points
80
J

Jua usiyoyajua

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2015
855 384 80
Kapime kwenye Maabara ya Serikali Kunduchi upate jibu la uhakika. Achana na matapeli. Nitafute ukiona kuna ulazima.
 
Bushbaby

Bushbaby

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
1,598
Likes
114
Points
160
Bushbaby

Bushbaby

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
1,598 114 160
ruby-jpg.620500
Mimi sio mtaalam wa Madini, peleka hayo mawe ofisi za Madini za mkoa watakusaidia....yanafanana na Blue Ruby....
 
impongo

impongo

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Messages
5,162
Likes
3,009
Points
280
Age
33
impongo

impongo

JF-Expert Member
Joined Feb 18, 2015
5,162 3,009 280
Ungenyamza kimya ungeonekana una busara na hekima...kwa hiki ulichoongea unaonyesha ni jinsi gani wewe ni Mpumbavu!!
Usipanic
Watalaam wa madini naomba mnisaidie kujua aina hii ya madini. Mi ninayo muda mrefu ndan. Kila nikijaribu kuuliza kwa kila mtu sipati jibu la uhakika na je kama ni madini wanauza wapi ili nikatafute Mavumba wakuu.
 
kasulamkombe

kasulamkombe

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Messages
2,256
Likes
2,407
Points
280
kasulamkombe

kasulamkombe

JF-Expert Member
Joined Oct 3, 2017
2,256 2,407 280
Watalaam wa madini naomba mnisaidie kujua aina hii ya madini. Mi ninayo muda mrefu ndan. Kila nikijaribu kuuliza kwa kila mtu sipati jibu la uhakika na je kama ni madini wanauza wapi ili nikatafute Mavumba wakuu.
chupa ya sprite
 
Jerry santonga

Jerry santonga

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2014
Messages
574
Likes
408
Points
80
Jerry santonga

Jerry santonga

JF-Expert Member
Joined Oct 12, 2014
574 408 80
Teh teh umeenda kulifukulia wapi hilo dini
Mwagia ndimu je kuna reaction.gani
Nipe mrejesho kabla hujatupa nauli nikujuze
 
Forum statistics

Threads 1,237,904
Members 475,774
Posts 29,305,568