Search results

  1. 2

    Nahitaji Kompyuta kwa bajeti ya Tsh 250,000-350,000

    Salama ndugu zangu, kwa machinga wa karume dar es salaam poleni sana. Nina shida na computer LAPTOP nzuri ambayo bei yake ni ya range 250,000/= (laki mbili na elfu 50) mpaka 350,000/= (laki 3 na elfu 50). pia nina shida na bettry ya computer aina ya TOSHIBA (PORTEGE R705) Location nilipo ni...
  2. 2

    Mwenye kujua hii kapuni ya Tese & Techno Engineering

    Habarini ndugu zangu, naomba kujua hii kampuni TESE & TECHNO ENGINEER japo kwa undani ili niweze kwenda maana wamenipigia simu niende kwenye interview na mimi nipo KATAVI KWA SASA, naombeni msaada wenu wakuu niijue iyo kampuni ilipo..
  3. 2

    Mwenye kujua ajira za LNG Plant mkoa wa Lindi zinapatikana lini anijuze

    Habarini za asubuhi naombeni kujua huu mradi wa ela nyingi nimesikia umeanzishwa uko LINDI na nadhani utahitaji watu mbalimbali. Naomba kujua nafasi za kazi zinapatikana vipi uko, maana mimi nipo mbali kidogo nipo mkoani KIGOMA huku nilitaka kujua ili nijue naanzia wapi kutafuta kazi huko...
  4. 2

    Aliniacha kwa fedheha, lakini leo anahitaji msaada wangu

    Jina lake linaanzia na M ni binti wa kaskazini mwa Tanzania mwenye level ya diploma katika upande wa elimu. Ni binti nilie mpenda kutoka moyoni, shida zake zote zilikuwa zangu niliakikisha anakuwa happy muda wote. Nikaenda kujitambulisha kwa wazazi wake ndugu na jamaa zake, nikaanza kuweka...
  5. 2

    Msaada wa kupata control number kwenye kujisajili loans board (helsb) 2021/22

    Ndugu zangu mwenye kujua anisaidie maana mimi najaribu ila sipati control number kwaajili ya kufanya malipo, tangu asubuhi mpaka usiku huu.
  6. 2

    Sehemu gani nzuri ya ku-enjoy kwa mkoa wa Morogoro?

    Habarini ndugu zangu, Natarajia kuwa morogoro ivi karibuni, naombeni kujua ni sehemu gani nzuri kwa mkoa wa morogoro ambayo naweza kukaa na shemeji yenu nika enjoy kwa siku kama mbili (hotel nk), au sehemu ambayo naweza pata malazi, chakula, vinywaji, na viburudisho vinginevyo. Kuna mtu...
  7. 2

    Mpenzi aliyenisaliti amerudi, nawaza nimfanye nini?

    Habari wana bodi, Niende moja kwa moja kwenye maada tajwa hapo juu, ni miezi takribani 3 tangu aliyekuwa mpenzi wangu (x-girlfriend) aliponiacha kwa kunitamka kuwa "kuanzia leo mimi na wewe basi" alipo nitamkia sentence iyo tu tangu siku iyo hakuwai kuona sms wala calling yangu, nilifuta...
  8. 2

    Naombeni mawazo yenu kwa adhabu anayo staili Mwanamke msaliti iwe fundisho

    Habari za asubuhi wakuu, poleni na pilikapilika na kutafuta liziki ya hapa na pale, sitaki kuongea mengi naomba nieleze kwa ufupi sana na naamini kwa walio pitia kadhia kama yangu watakuwa wanaelewa, nimekuwa kwenye mapenzi na binti kwa miaka 8 (nilianza nae mahusiano nikiwa o-level, advance...
  9. 2

    Nimeachwa na mpenzi leo, nimefikiria kufanya hivi. Je, ni sahihi?

    1. Kwanza niwe mpole na mvumilivu na kukubaliana na hali halisi kuwa nimeachwa. 2. Pili nivute subra kwa muda flani kwanza upite na akili yangu ikae sawa 3. Sijui nafanyaje
  10. 2

    Msaada wa kupata cheti cha CISA (certified information system auditing)/cissp/ceh

    Naombeni mzoefu na kufanya hii mitihani ya certification mfano wa iyo ya CISA /CISSP/CEH anipe mwongozo mzuri, maana nataka mwaka huu nipate iyo certification moja wapo wakuu hasa hasa iyo ya CISA, wa atakaye weza nisaidia nikapata basi nitamredishia fadhira (tutaongea) kwa kazi iyo. Gharama za...
  11. 2

    Naombeni msaada wa connection ya kazi kwenye Bomba la Mafuta

    Habarini ndugu zangu, Naombeni connection ya kazi kwenye mradi mpya wa bomba la mafuta linalotoka Uganda kuja Tanga-Tanzania, elimu yangu ni Degree ya Information Technology ila kazi zozote zile nitafanya hata kama ni nje ya fani yangu. Mwenye connection naombeni anisaidie ndugu zangu nipo...
  12. 2

    Natafuta kazi ya mambo ya Information and Communication Technology (ICT)

    Habarini za asubuhi ndugu zangu, natafuta kazi ya mambo ya INFORMATION AND COMMUNICATION TECHNOLOGY (ICT), Ukiniunganishia kazi iyo nitakupa nusu ya mshahara wangu baada\kuelekea kusaini mkataba. Sehemu ambazo nina interested ya kukuza sana hii fani yangu ni: 1. Migodini 2. Sector za mawasilino...
Back
Top Bottom