• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

ict

 1. Sir Hemedi

  Mafunzo ya ICT, kozi kumi na tatu, chagua uipendayo

  Ongeza ujuzi wa kompyuta na mtandao. Lengo langu ni kukuongezea wewe ufanisi katika shughuli, biashara au miradi yako unayoifanya. Pia unaweza kujiajiri kwa kusoma kozi mbalimbali ninazozitoa. Kwa kuwa watu wameshughulishwa sana na wengi hawapati muda wa kutoka nyumbani na kwenda kujifunza...
 2. ajakai ict

  Ajakai ICT - Free helpdesk & IT support

  AJAKAI ICT - FREE HELPDESK & IT SUPPORT: [AJAKAIICT dot COM] - We are here to help our customer, students and visitors to get the best IT service for free of charge, from our office and online. We have excellent IT professional expert’s team and experienced in answering many questions asked by...
 3. extravagant5562

  Wataalam wa ICT, eti "THIN CLIENT" ndio nini?

  Wataalam wa ICT, eti "THIN CLIENT" ndio nini?
 4. M

  Msaada wa idea ya ICT new projects

  hello za wekend wakuu, Naomba msaada juu ya IDEA YOYOTE INAYOHUSIANA NA (WEB BASED SYSTEM) katika fani ya IT niifanyie kazi naelekea kukwama mwenzenu huku mana nilizonazo zote naambiwa hazina intelligency part ndan yake. kwenu wakuu
 5. PlanckScale

  Is there a periodic technology symposium conference in Tanzania?

  I am interested in attending conferences or symposiums where there is discussions on ICT research, opportunities, new solution seeking partners, or just a place conducive for techies to network. So, is there a periodic technology symposium conference in Tanzania that take place may be twice or...
 6. T

  Nini tofauti kati ya ICT Officer II na ICT Officer I?

  Jamani naomba kueleshwa kuhusu hizi positions mbili ICT Officer II na ICT officer I, ipi ni position ya juu kuliko nyingine?
 7. Influenza

  Museveni launches Uganda’s first mobile phone, computer assembling plant

  President Museveni Friday launched Uganda's first ICT manufacturing and assembling plant in Namanve. This comes into force after government signed an agreement with SIMI technologies to promote the manufacturing of ICT electronics in Uganda. At full capacity, the factory will run three...
 8. Jamii Opportunities

  ICT Officer at ESAMI

  ESAMI seeks the services of a suitably qualified person to fill the post of ICT Officer at its Headquarters in Arusha, Tanzania Deities and Responsibilities The position has the prime responsibility of coordinating and providing ICT technical support services through effective design...
 9. pancho boy

  Wale mliosoma/ mnaoijua ICT msaada tafadhali

  Kwa sasa nasoma ICT, Informational Communication Technology. Bado nipo hatua za mwanzo kwa wale mliopitia mnaweza kuja kuninoa hapa kwa maswali ili kunijenga zaidi. Wataalamu nahitaji sana msaada wenu kuhusu hii course. CHIEF MKWAWA na wengine tafadhali.
 10. R

  Wewe kama Developer/Tech Company unatumia vigezo gani kuithaminisha na kuipa bei kazi yako .?

  Habari zenu JF Nimekuwa nikipitia uzi mbalimbali huku JF, pamoja na majarida mengine mbalimbali mitandaoni, na kugundua kuwa kuna utofauti mkubwa sana kati ya developers au tech companies inapofika kipindi cha kuthaminisha kazi inayoletwa na mteja. Hi ni moja ya sababu inayochangia kutokukua...
Top