fundisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kaka yake shetani

    Kwanini Marekani aliacha kuingilia ugomvi na vita ambazo hazimuhusu baada ya kupewa funzo na Somalia

    Baada ya kujikuta kabolonga Somalia mwaka 1993 kuingilia vita za wenyewe kwa wenyewe basi ilitungwa sheria ambayo inatumika mpaka leo ambayo hata ukiwa swahiba wake hata weza kuingilia ila kukupa msaada tu. hata kipindi cha Rwanda iliweza kumaliza ila kutokana sheria iliyopitishwa iliacha ilo...
  2. D

    M23 wailaumu TPDF kutumia silaha nzito za kivita kulinda amani DRC

    TPDF inapeleka kisago(sio kipigo) cha mbwa koko huko DRC Vijana wa M23 eti wanaonya JW kuendelea kuwashambulia itajilaumu baadae wameitaka iache mara moja vinginevyo itapigwa.
  3. Frank Ishengoma

    Mbunge Abood alaani vikali ukatili uliofanywa dhidi ya mama mjasiliamali

    MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI ALAANI VIKALI UKATILI ULIOFANYWA DHIDI YA MAMA MJASILIAMALI. Mhe. Abdulaziz M. Abood Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini mapema hii leo amefika wodini Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro alipolazwa Mama Bi Aziza Juma Mjasiliamali ndogondogo mara baada ya...
  4. kavulata

    Mwamnyeto kuzikosa mechi muhimu sana za Al-Merreikh ni fundisho kwake na wazawa

    Sisi mashabiki hatujui ukubwa wa tatizo lilisababisha Kapteni wa Yanga, Mwamnyeto kushindwa kwenda Rwanda kwenye mechi muhimu saaaaana kwa timu ya Yanga dhidi ya Al-Merreikh. Kama mchezaji kiongozi wa timu mechi hii haikuwa ya kukosa kwasababu hafifu hafifu tu na dhaifu. Vitu pekee ambavyo...
  5. GENTAMYCINE

    Askari wa Kituoni Ubungo Simu 2000 kilichowatokea leo kiwe ni Fundisho Kwenu na muache kuonea Madereva mtakuja Kufa Kipuuzi

    GENTAMYCINE nilikuwa naambiwa hakuna Madereva Waliodata na Wasioogopa lolote, Wathubutu na Majasiri kama wa Masafa Marefu ( Malori ) ila kwa nilichokishuhudia Mubashara leo Ubungo SIMU 2000 nimekubali na Kuwanyooshea mikono. Ilikuwa ni mida ya Saa 7 Mchana ambapo Askari wa Ubungo SIMU 2000...
  6. Pdidy

    Kocha wa Yanga angemsikiliza Captain Wanayanga tungekuwa tunacheka muda huu. Hili ni fundisho kwake

    Ndugu wapendwa mabibi na mabwana haswa wana Yanga wenzangu poleni sana, sana kwa yaliyotokea huko Tanga, kila jambo lina mapenzi mema siku zote. Nieleze kifupi tu, kuna baadhi ya maombo hawa Makocha wapya A.K.A Wazungu wanahitaji kukubali ushirikiano na hasa kwa ma captain ama wazoefu...
  7. Shark

    Ushauri kwa Simba SC: Mechi ya jana iwe ni tahadhari na fundisho kwenu

    Kwema Wakuu, Na declare interest, Mimi ni mshabiki na mwanachama hai wa Simba Sport Club, hivyo Tahadhari na ushauri huu ninautoa Kwa nia njema kabisa Kwa lengo la kujenga timu yetu. Watani zetu Yanga walicheza hapo juzi na Azam wakafanikiwa kushinda mechi yao lakini sisi tukaishia ku droo na...
  8. The Burning Spear

    Utawala wa Samia ni Fundisho tosha kwa Nchi Namna ya kuchagua Makamu wa Rais

    Kujifunza kutokana na Makosa ndo huku sasa. Hatukutegemea Rais kufa akiwa madarakani. Makamu wa Rais huwa anateuliwa ilimradi ni mtu tu. Sasa kama Katiba haitabadilishwa japo iseme kwamba 1. Rais akifariki madarakani uchaguzi mkuu ufanyike baada ya siku kama 90 hivi 2. Rais na Makamu wake...
  9. Tomaa Mireni

    Fundisho la Utatu haliingii akilini kabisa, mnaoamini mmetoa wapi mbona Biblia iko wazi kabisa?

    Nasikitika sana kuona mtu anatetea fundisho la Utatu jambo ambalo ndani ya biblia halipo. Upo ushahidi mwingi wa maandiko unaotofautisha Mungu, Yesu Kristo na Roho Takatifu ambayo waamini wa Utatu wanaita Roho Mtakatifu kama vile ni mtu. Je, Mungu anaonekana? Yesu alionekana, hakuna aliemuona...
  10. Nobunaga

    Sababu ya Harmonize na Kajala kuachana (Hii ni fundisho kwa wadada na wamama wengine pia wenye tabia kama hizi)

    Kwanza kabisa picha linaanza Harmonize alimpa Kajala password za simu zake na account zake za social media. Yani Kajala alikuwa na access ya every communication ya Harmo na Kajala alifanya same thing, alimpa Harmo password zake zote yani kulikuwa hakuna siri kati yako. Hapo mwishoni ndiyo Harmo...
  11. sitaki hela

    Kufutiwa matokeo iwe fundisho

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naomba shule zote zilizofutiwa matokeo iwe fundisho kwa shule zingine, na najua tayari kuna dosari katka shule hizo naomba wachukuliwe hatua kuanzia uongozi wa shule, wasimamizi, Kwani hawnatofauti na wauaji. Taifa linapata wataalamu wasio na sifa...
  12. Vifaranga200

    Napata fundisho la maisha. Inasikitisha inaniuma Sana

    Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada. Miaka kadhaa imepita naona tabia zangu zimechange Sana. Ilikuwa Mwaka 2000 nilipoanza kunywa bia, tena safari. Tabia hii nilianza kutokana na mienendo yangu binafsi Kwa mfano kujenga confidence. Mwaka huo nilikuwa na vihela kiasi. Pombe nilipiga walau...
  13. Dr Matola PhD

    Uongozi wa Yanga ukomeshe waandishi uchwara madalali wa Simba ili iwe fundisho kwa wahuni wengine

    Ni dhahiri kabisa media house imevamiwa na wahuni na inashangaza kuona gazeti likienda kuchapishwa huku likibeba habari za uongo kana kwamba hakuna mhariri. Ushauri wangu kwa Uongozi wa Yanga ni huu, ili kukomesha tabia hii ya unprofessional journalism Uongozi wa Yanga utowe tamko la Boycott...
  14. H

    Usitafute pesa kwasababu ya mwanamke, iwe kwaajili maisha yako. Kilichomkuta huyu jamaa ni fundisho tosha!

    Habari wakuu Nimekuwa na msemo mkubwa sana ambao umekuwa ukitumika sana, "tafuta pesa". Hasa linapokuja masuala ya kuhonga, lakini ndugu unaweza ukajisifu unahonga ila kuna watu wanahonga sana wewe cha mtoto. Ngoja niwape kilichomkuta jamaa yangu, kilinisikitisha, nisingipenda nitaje majina...
  15. E

    Adhabu ya Haji Manara iwe fundisho kwa wote wenye Tabia kama zake

    Kwenye Maisha kuna kitu kinaitwa kiongozi na Mamlaka ya kiongozi ,kila kiongozi huwa kuna maamuzi ambayo anaweza kuamua kutokana na Mamlaka aliyo nayo. Kwa upande wa Haji Manara kama inavyonunukuliwa alichokisema kwa kiongozi wa TFF "Wewe unanifatafata sana, hii ni mara ya tatu, sikuogopi kwa...
  16. Google Diggers

    Japan: Aliyemuua Waziri Mkuu Mstaafu amenipa fundisho kuu

    Kwenye hoja Moja kwa moja. Haya maisha hayaishi. Muuaji amenipa funzo kuu. Kwamba nisithibutu kuishi na nyongo. Tunakosewa Sana na viongozi, viongozi hawajui tunayopitia. Wao madam wanasafir kwa ving'ora na nyumba zao zinalindwa sisi tunaishi kama digidigi. Tunamolala wakati tukiutafuta...
  17. saidoo25

    Hili lililomkuta Bashe liwe fundisho kwa Mawaziri

    Leo Waziri wa Kilimo ametamka hadharani kuurejesha Mfumo wa Ununuzi wa Mbolea BPS ambao ulifutwa Juni 2021 na kusababisha mfumko mkubwa wa bei za Mbolea nchini kwani wafanyabiashara waliuza mbolea kwa bei wanayoitaka wao bila kuwepo usimamizi wa Serikali. Jambo hili lililalamikiwa sana na...
  18. M

    Sakata la Halima Mdee na Wenzake ni fundisho tosha kwa ambao hawana uchungu na taifa lao. Ikipendeza wapiga kazi mpaka 2025

    Hivi inakuwaje unakuwa na uchungu Mdee na kundi lake la wanadada 19 kuwa wabunge hata kama wanazama mjengoni kimazabe? Hii ndio sababu ya kukupain mpaka mshipa wa koo unataka kukukatika! Mbona mnashabikia upuuzi usio na tija yaani bil 11 na ushee zinatumika kushuti filamu ya kawaida kabisa...
  19. Expensive life

    #COVID19 Corona ilivyonipa fundisho la maisha

    Janga la covid19 lilishika kasi hapa kwetu Tanzania mwanzoni mwa mwezi wa nne 2020 hapa ndio tahadhari zikaanza kuwekwa na serikali ikiwemo mikusanyiko na uvaaji wa barakoa. Wakati janga hili linashika kasi, kampuni ambayo nilikuwa naifanyia kazi mkataba wangu wa kazi ndio ulikuwa ukingoni...
Back
Top Bottom