Asante mkuu kwa mawazo yako, swala la kumuoa nimesha lizungumzia hapo ni mwakani mkuu.Si umuoe. Mie nimesoma masters mbili nikiwa nina mke na watoto
Hapana hakuna mtoto, ila nimekuwa nae kwenye mahusino tangu nipo secondary mpaka namaliza chuo, mpaka napata ajira nipo nae.Mmefanikiwa kupata mtoto maana miaka nane sio mchezo
Asante mkuu kwa mawazo yako, ubarikiwe sanaCha kufanya ni kuomba Mungu awe anajitambua na anajua lengo lililompeleka chuo.
Uwe unamkumbusha Mara kwa Mara malengo mliyojiwekea
Tembeleaneni kadri inavyowezekana
Wote wawili Muwe karibu na Mungu kidhati
Mawasiliano iwe ni muhimili mkuu kwa Sasa
Na la mwisho
Tegemea lolote wakati wowote, ifunze akili yako ijiandae kukubaliana na lolote litalotokea katika mahusiano yenu
Namuamini mkuu, but people change mkuuKwenye betting wanaita "ngumu kumeza' unamwamini nae anakuamini basi hakuna tatizo au haumwamini mpenzi wako
Basi imani itakuponya..namuamini mkuu, but people change mkuu
kitendawili
kitendawili
Ndio uanze mchakata serious sasa.asante mkuu kwa mawazo yako, swala la kumuoa nimesha lizungumzia hapo ni mwakani mkuu.
Tuma mshenga kwao bila kumpa taarifaTegua
Mwanamke akiwa hayupo tayari kubeba ujauzito, itawezekana kumpa ujauzito,?? Nimepokea ushauri wako kwa mikono miwili kaka, Mungu akubariki sana.Binafsi sioni tatizo kwa huyo mchumba. Kwa sababu anatafuta maisha yaani ni kama anaongeza mtaji wa kipato chake kama ambavyo na wewe unapambana. Yaani yeye anasomea kazi, huku wewe ukifanya kazi, kwa hiyo mpo sawa.
Tatizo lipo kwako. Una inferiority complexity na fear of unknown.
Lakini pia tatizo lako chimbuko lake ni uchumba sugu wa miaka 8. Let alone, labda mambo yalibana, sawa, lakinii, braza ukashindwa hata kumpa mimba?? Kama ulishindwa kumzalisha within 8 years, nashauri fanya hivyo ili hata akikuacha usipate maumivu Sana.
Kumbuka pia mchumba hasomeshwi, ila usiogope but kumbuka pia usiweke mayai yote kapu moja.
Hili nalo changamoto. Utavuka. Jipe moyo, mwache mchumba asome, zidisha upendo ili azidi kupata nguvu kusoma.
mwanamke akiwa hayupo tayari kubeba ujauzito, itawezekana kumpa ujauzito,?? nimepokea ushauri wako kwa mikono miwili kaka, mungu akuariki sana.
Mume fyatua mara ngapi? Miaka nane kwenye mahusiano bila ujauzito basi mmoja wenu anashida flani.hapana hakuna mtoto, ila nimekuwa nae kwenye mahusino tangu nipo secondary mpaka namaliza chuo, mpaka napata ajira nipo nae.