Msaada wa kupata cheti cha CISA (certified information system auditing)/cissp/ceh

28October

Member
Aug 26, 2020
84
125
Naombeni mzoefu na kufanya hii mitihani ya certification mfano wa iyo ya CISA /CISSP/CEH anipe mwongozo mzuri, maana nataka mwaka huu nipate iyo certification moja wapo wakuu hasa hasa iyo ya CISA, wa atakaye weza nisaidia nikapata basi nitamredishia fadhira (tutaongea) kwa kazi iyo.

Gharama za Online zote ntausika nazo mimi mwenyewe.

Nina degree ya mambo ya technolojia habari na mawasilino.

Karibuni pm.
 
run CMD

JF-Expert Member
May 31, 2015
2,000
2,000
oma upate knowledge achana na cheti. CISA rahisi sana kupata, maswali yenyewe multiple choices
multiple choice ni rahisi...?????
images.png
 
East Wind

JF-Expert Member
Jun 17, 2020
2,841
2,000
CISA nzuri in management level. Ila technical ungepika offensive sec .. binafis mie nimepiga za offensive na elearnSecurity.. na kazi ambazo anafanya CISA mie naenda beyond.. japo CISA nilisoma juu juu tu
 
Nibiru

Senior Member
Jan 10, 2021
129
250
Mkuu kwa watu ambao certificatin zao katika security zinakubalika na zina soko nenda Certified Ethical Hacker | InfoSec Cyber Security Certification | EC-Council ungalie course unayotaka. Mfano hiyo ya CEH ili ufanye certification ni lazima ufanye training from certified training institution ambayo kwa hapa bongo unaweza kuwaona Computer learning center (Mart Network Tanzania, Chole road Masaki). Ila hivi vitu vinahitaji high level of commitment, Good luck.
 
MKUU HII SENTENCE YAKO YA MWISHO IMENITAFAKALISHA SANA "Ila hivi vitu vinahitaji high level of commitment"
 
Nibiru

Senior Member
Jan 10, 2021
129
250
MKUU HII SENTENCE YAKO YA MWISHO IMENITAFAKALISHA SANA "Ila hivi vitu vinahitaji high level of commitment"
You will also need: (How to become a Certified Ethical Hacker - ASTA Training)
  • Knowledge of different consumer and commercial operating systems
  • Strong coding knowledge in different programming languages
  • A good understanding of cyber security principles
  • Exceptional communication skills
  • Understanding of the software development lifecycle
  • Networking infrastructure and administration
  • A commitment to continuous learning and improvement
Kama unataka kuwa serious hacker hapo nilipo weka Bold unahitaji kupa master, ambapo inahitaji patient and a lot of practice.
Pia inahitaji uwe updated na new computer technologies in Operating systems, networking na programing languages at least.
Pia unahitaji ujue inner working of various kind of viruses e.g. Mallware, Trojans, rootkit, ransomware etc.

Lakini kama shida ni Certificate sio issue sana kuwa certificied, ila utakua tu kituko mbele ya real hackers.
 
Mtuflani Official

JF-Expert Member
Dec 31, 2019
999
1,000
CISA (Certified Information Systems Auditor) Review Class 2021
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom