Search results

  1. kikiboxer

    Naomba kufahamishwa mahali zilipo ofisi za Selcom kwa Dar es Salaam

    Salaam. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Naomba mwenye kujua ofisi za hawa jamaa wanaitwa Selcom malipo mtandaoni. Mnamo tarehe 01 November nilipita kituo cha mafuta cha Puma pale posta kuweka mafuta bahati mbaya sikuwa na cash hivyo nikaona kuna njia ya kulipia kwa simu...
  2. kikiboxer

    Inawezekana msimu huu wa sikukuu ndio 'High season' kwa makampuni na wauzaji wa Beer

    Salamu wakuu. Mambo yasiwe mengi, nipo sehemu napata kilaji huku nikicheki mechi ya Yanga na Azam live. Ee bwana meza zimechafuka beer kila pande watu wanamwagilia moyo ndipo wazo likaja inawezekana hawa jamaa msimu huu ndio huwa wana sales kubwa kuliko miezi yote. Uzi tayari.
  3. kikiboxer

    Taa za kuongoza magari Moroco Ally Hassan Mwinyi road hazifanyi kazi siku ya 3 leo.

    Huwa napita hii barabara kila siku. Cha kushangaza leo ni siku ya tatu taa hazifanyi kazi tunaachiwa tujiongeze kwa kutumia akili zetu. Tanroads kama hamjapata taarifa ninawapa taarifa sijui kuna shida gani taa hazifanyi kazi na kuachia watu wajiongoze kwa kutumia akili zao na week end hii...
  4. kikiboxer

    Niandae bajeti ya mafuta kiasi gani kwenda Singida?

    Wakuu mambo vipi? Mapema mwezi October nina ndugu yangu wa karibu anaoa huko Singida maeneo ya Itigi. Ninapaswa kuhudhuria hiyo harusi sasa nauliza kwa wazoefu kutoka Dar mpaka Singida hapo Itigi niandae bajeti ya mafuta kiasi gani? Gari ni Toyota Mark II grande engine beams 2000, cc 1990 au...
  5. kikiboxer

    Msaada: Mwanamke niliyezaa naye alienda kwao baada tu ya kujifungua, hataki nimuone mtoto

    Wakuu Salaam, Moja kwa moja kwenye mada. Mwaka juzi nilipata mtoto na mwanamke mmoja nilikuwa nikiishi naye wakati huo. Kipindi chote cha ujauzito alikuwa akiishi kwangu mara baada ya kujifungua akaenda nyumbani kwao kupata msaada wa karibu. Alijifungua vizuri mtoto wa kike na baada ya miezi 2...
  6. kikiboxer

    Msaada kuhusu biashara ya kuagiza laptops nje ya nchi

    Wakuu salaam sana. Nimepata kamtaji kidogo nataka nijiongeze nianzishe biashara ya kuagiza laptops used toka Uk. Tayari nina contacts na suppliers kadhaa ambao wameonesha utayari wa kufanya nao biashara. Tatizo langu kubwa na lilofanya niombe ushauri ni kuhusu kiwango cha kodi wanachotoza kama...
  7. kikiboxer

    Sheria inasemaje kuhusu kuacha kazi kwa kutoa notice ya mwezi mmoja?

    Wakuu kuna sehemu nataka niachie ngazi ili kupata muda wa kufanya mambo yangu mengine. Sasa wakati naplan kuondoka ningependa kujua sheria ipoje kwa upande wangu. Je baada ya kutoa notice ya mwezi mmoja nitatakiwa kufanya kazi huo mwezi bila malipo au nikitoa notice tu inatosha na huo mwezi...
  8. kikiboxer

    Ni sahihi kumpa dawa (coldril) mtoto mdogo wa miezi 2?

    Wakuu habari zenu! Nina mtoto mdogo wa miezi 2 na siku kadhaa juzi alienda kliniki akachomwa sindano ya chanjo sasa jana kaamka na mafua hali inayopelekea kulia muda mwingi. Mama watoto leo asubuhi ilibidi aende kizahanati fulani kupata ushauri wa daktari, wakamwandikia dawa ya coldril awe...
  9. kikiboxer

    Uchaguzi 2020 Nimefanikiwa kushawishi ndugu zangu kumpigia kura Tundu Lissu

    Salaam, Kama kichwa cha habari kisemavyo hapo juu binafsi nimefanikiwa kuwashawishi watu kadhaa kuongeza ushindi kwa Tundu Lisu. Nilianza na mke wangu ambae yeye kajiandikisha hapo kiwalani nikamweleza ameelewa na kuahidi atampigia kura. Nikarudi kwa mama mdogo wangu huyu yeye alikuwa na...
  10. kikiboxer

    Kelele za mashabiki zinazosikika wakati wa mechi EPL

    Wakuu salam. Wale wafuatiliaji wa mpira wa mabeberu hapa nazungumzia ligi mbali mbali za ulaya hasa ligi pendwa Epl wanafahamu kwamba kipindi hiki cha covid19 mashabiki wamezuiwa kujumuika viwanjani kushangilia team zao. Sasa basi kwa sisi tunaoangalia kwenye Tv kuna kelele za mashabiki bado...
Back
Top Bottom