Taa za kuongoza magari Moroco Ally Hassan Mwinyi road hazifanyi kazi siku ya 3 leo.

kikiboxer

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
3,065
8,126
Huwa napita hii barabara kila siku. Cha kushangaza leo ni siku ya tatu taa hazifanyi kazi tunaachiwa tujiongeze kwa kutumia akili zetu.

Tanroads kama hamjapata taarifa ninawapa taarifa sijui kuna shida gani taa hazifanyi kazi na kuachia watu wajiongoze kwa kutumia akili zao na week end hii msisubiri mpaka kuwe na breaking news. Uzi tayari.
 
Kwani mnashindwa kujiongoza...? Mbna sisi waenda kwa miguu tunajiongoza apo apo tunaforce na tunavuka
 
  • Kicheko
Reactions: Cyn
Hizo taa zina siku kama 3 hivi hazifanyi kazi
Na hapo usiku watu wanabutuana sana hadi wengine kupoteza maisha
Machinjio hapo

Ova
 
Hizo taa zina siku kama 3 hivi hazifanyi kazi
Na hapo usiku watu wanabutuana sana hadi wengine kupoteza maisha
Machinjio hapo

Ova
Pabaya sana hapo mkuu na sasa taa hakuna ndio itakuwa balaa zaidi sababu kila upande una force upite yaani kugombania goli.
 
Back
Top Bottom