Naomba kufahamishwa mahali zilipo ofisi za Selcom kwa Dar es Salaam

kikiboxer

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
3,076
8,132
Salaam.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Naomba mwenye kujua ofisi za hawa jamaa wanaitwa Selcom malipo mtandaoni.

Mnamo tarehe 01 November nilipita kituo cha mafuta cha Puma pale posta kuweka mafuta bahati mbaya sikuwa na cash hivyo nikaona kuna njia ya kulipia kwa simu. Nikawaelekeza wajaze mafuta nilipie kwa simu. Niliwekewa mafuta na kufanya malipo hela ikakatwa kwenye balance yangu lakini ile message ya selcom haikuja.

Ikabidi pump attendant akomae nisiondoke mpaka hiyo message ifike, katika kuokoa muda ikabidi nitafute wakala wa Mpesa nitoe kawaida kisha nikalipia cash nikasepa.

Ikapita siku 2 nikawapigia Voda wakasema hela imeenda selcom wakanipa na namba zao ajabu hizo namba hazijawahi kupokelewa ever since.

Sasa nataka niwaibukie ofisi kwao wanipe hiyo sms ili nikipita siku nyingine niitumie kujaza mafuta.
 
Kama unahitaji approval yetu wanadamu basi kwa kauli moja tunasema "NENDA WAIBUKIE"
 
ofisi za selcom zipo barabara ya alli hassan mwinyi opposite na pizza hut unavuka ng'ambo upande wa sheli ya puma jengo linaitwa uhuru height,zipo mezzanine maboss wao wapo floor ya 8 ila itabid ww uende mezzanine(ngaz za kwanza)
 
Nashukuru sana mkuu.
 
Itoshe kusema yamekukuta yaliowahi nikuta , mara mbili mfululizo hii hali imenitoka siku ya kwanza nilikua nikilipia muamala wa dstv toka halopesa ,leo ni mwaka pesa yangu imekwenda na pesa sijarudishiwa mpka leo huyu mtu kati selcom kifupi ana asili ya wizi kwani halotel wanasema pesa haijawahinrudishwa kwao na kama inggerudi meanz ingeingia kwa namba niliofanyia muamala, ila dstv anasema pesa alisharudisha siku 2baada ya kuomba kurudishiwa pesa( Ikumbukwe nililipia kukawa na badiliko la malipo kwa akaunti ya biashara ya wateja wa dstv kutoka 28 elfu kwa dekoda 1kwenda 81 elfu ) Kiufupi nilikata tamaa ila Bila kupepesa macho selcom ni wezi tena wezi wasio na haya namba na emailz kibao zote nimetuma ila ushirikiano ni ziro
 
Tokea siku hio naogopa sanankutumia halotel kufanya miamala kwan sehem nyingi za malipo wao wana mtu kati ambae ni selcom, nimebak mara chache ikinilazimu voda au tigo ila mara nyingi nitalipia cash pesa ikiwa hata benki kibongo bongo unaweza kufa na njaa kwa changamoto za kipuuz ambazo wahusika kuzifix hawafanyi kwa weledi
 
Mkuu nimeshangaa pia jamaa namba zao nilizopewa na Vodacom zinaita hazipokelewi nimejaribu mara zote hawapokei.

Hii kampuni ina mambo ya ajabu sana kama hata simu zao tu hawapokei hela watarudisha kweli?
 
Itoshe kusema yamekukuta yaliowahi nikuta , mara mbili mfululizo hii hali imenitoka siku ya kwanza nilikua nikilipia muamala wa dstv toka halopesa ,leo ni mwaka pesa yangu imekwenda na pesa sijarudishiwa mpka leo huyu mtu kati selcom kifupi ana asili ya wizi kwani halotel wanasema pesa haijawahinrudishwa kwao na kama inggerudi meanz ingeingia kwa namba niliofanyia muamala, ila dstv anasema pesa alisharudisha siku 2baada ya kuomba kurudishiwa pesa( Ikumbukwe nililipia kukawa na badiliko la malipo kwa akaunti ya biashara ya wateja wa dstv kutoka 28 elfu kwa dekoda 1kwenda 81 elfu ) Kiufupi nilikata tamaa ila Bila kupepesa macho selcom ni wezi tena wezi wasio na haya namba na emailz kibao zote nimetuma ila ushirikiano ni ziro
selcom ni waizi mm nilikuw mfanyakaz wa selcom mm mwenyw nilitapeliwa na kampuni 1.6 M nikapelekana nao lkn nikaona sitowaweza nikapotezea tu,mmiliki wa selcom ni muhindi mmoja anaitwa sameer hirji yan kifup hii kampuni ni wababaishaj alaf hawatak watu wajue selcom washenz sana
 
Tokea siku hio naogopa sanankutumia halotel kufanya miamala kwan sehem nyingi za malipo wao wana mtu kati ambae ni selcom, nimebak mara chache ikinilazimu voda au tigo ila mara nyingi nitalipia cash pesa ikiwa hata benki kibongo bongo unaweza kufa na njaa kwa changamoto za kipuuz ambazo wahusika kuzifix hawafanyi kwa weledi
Halotel walishanipiga shot kwenye luku.
 
Tatizo kama lako limenitokea pia.
Tarehe 24 Novemba, 2023 nilifanya malipo kwa wakala w selcom kwenda ttcl.

Yale malipo ukipiga simu ttcl wanasema hela haijafika, ukipiga simu selcom wanakwambia kuna tatizo la kimtandao.

Kila ukipiga simu selcom kwamba;

"Kama mtandao wenu unasumbua mnirudishie pesa au mkamilishe muamala". Wanakwambia pesa hawawezi kurudisha ila wanashugulikia tatizo soon litakwisha. Sasa ishu litakwisha lini? Inamaana hata mwakani kwao ni sawa?

Kila ukipiga simu customer care wanakupiga sound mara tatizo lako litashughulikiwa ndani ya saa 72, mara ndani ya masaa 24, mara masaa 48. Nimewapigia zaidi ya mara 6 kwa mida tofauti tofauti mpaka kufikia jana tarehe 6 Desemba,2023 mzigo ni bilabila.

KIbaya zaidi hawakupi hata feedback ya nini kinaendelea mpaka wewe uwapigie tena baada ya hiyo mida kupita.

Hapa naelekea kukata tamaa, naona kabisa hiyo pesa nishapigwa.
 
Watakupa mkuu. Mimi baada ya kama siku 20 na kitu hivi niliwapigia tena wakanitumia reference number nikazitumia kujaza mafuta kwenye kituo kile kile.

Naamini nawewe watarudisha vuta subira.
 
Salaam.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Naomba mwenye kujua ofisi za hawa jamaa wanaitwa Selcom malipo mtandaoni.

Mnamo tarehe 01 November nilipita kituo cha mafuta cha Puma pale posta kuweka mafuta bahati mbaya sikuwa na cash hivyo nikaona kuna njia ya kulipia kwa simu. Nikawaelekeza wajaze mafuta nilipie kwa simu. Niliwekewa mafuta na kufanya malipo hela ikakatwa kwenye balance yangu lakini ile message ya selcom haikuja.

Ikabidi pump attendant akomae nisiondoke mpaka hiyo message ifike, katika kuokoa muda ikabidi nitafute wakala wa Mpesa nitoe kawaida kisha nikalipia cash nikasepa.

Ikapita siku 2 nikawapigia Voda wakasema hela imeenda selcom wakanipa na namba zao ajabu hizo namba hazijawahi kupokelewa ever since.

Sasa nataka niwaibukie ofisi kwao wanipe hiyo sms ili nikipita siku nyingine niitumie kujaza mafuta.
AF409T1VZUU Imethibitishwa. Tsh90,000.00 imetumwa kwa SELCOM PAY kwenye akaunti namba 60687845 tarehe 4/6/23 saa 12:50 PM Ada Jumla Tsh2,000.00 (M-Pesa Ada Tsh2,000.00 + TOZO ya Serikali Tsh0.00).

Habari.
Muamala huu niliutuma kwa makosa nikiwa mjini Dodoma.

Kusudio ilikuwa ni kumlipa Afroil wa Kizota Dodoma kwa ajili ya kulipia mafuta. Sababu ya kukosea ni wao Afroil walinipa namba isiyo yao kwa bahati mbaya.

Kuthibitisha mafuta hayo niliyalipa kwa kutumia Airtel Money. Ushahidi naambatanisha na muamala wa Airtel money hapo chini niliyo lipia mafuta . Tafadha naomba msaada wenu ili pesa yangu inirudie. Asante.

Selcom Pay
AFROIL - DODOMA
Merchant# 60277845
TZS 90,000.00
TransID 802517111429
Ref 0642558096
Channel Airtel Money
From 255784333470
04/06/2023 1:23:50 PM

Hawa jamaa hawafai kabisa. Mimi tangu wakati huo na ushahidi wote huo lakini hawakupokea simu yangu kabisa.
 
Hii hela mbona kama imeenda Afro oil tayari. Mimi kwangu haikuleta message ya reference kabisa ndiomaana Puma walikataaa kunipa mafuta.

Ila mkuu ume expose na number yako kabisa😄
 
Back
Top Bottom