Search results

  1. Beesmom

    Niwasimulie kisa cha Babu yangu aliyekuwa kama baba yangu

    Mi ni first born, tumezaliwa wawili. Miaka hiyo ya 90s baada ya mama kutalikiana na baba mzazi aliyeamua kumuoa mwanamke mwingine na kumwingiza aishi nyumba moja na mama(dharau) hivyo mama alishindwa aliamua kurudi home kwao Tukuyu from Magomeni Mapipa DSM. Watoto wawili, hivyo akaona hatoweza...
  2. Beesmom

    Wanaume mtujibu

    Kwani sisi wanawake mmetuweka kwenye kundi gani? Mnatuonaje yaani? Mbali na kuwazaa, kuwalea mkakua, kwani sisi wanawake mnatuonaje onaje? Mfano mimi wakiniuliza wanaume unawaonaje onaje, nitawajibu nawaona kama nyumbu! Maana tabia ya nyumbu ni kusahau, akianza fukuzwa na simba anakimbia dakika...
  3. Beesmom

    Ukiona unajisikia vibayavibaya huwa unafanyaje?

    Mimi nikiona nipo hovyohovyo tu ....sijui najisikiaje .... nawagombanisha shabiki wa simba na Yanga halafu nakaa pembeni nikishuhudia wakizozana, gombana au toboana macho kama siku ya leo hii 😂
  4. Beesmom

    Dalili za mke au mume aliyekuchoka

    Yaan kakuchoka au hajawahi kukupenda na aliingia kwenye ndoa akiwa na malengo yake Mi naanza na; 1. Kosa dogo tu kakasirika au kudai talaka kabisa. 2. 3. 4. 5. 6.Nakuendelea.... Kupopolewa ruksa maana katika maisha lazima upokee hasi na chanya.
  5. Beesmom

    Watu wanaishi na wenza ambao si wao

    Kubali ukatae huyo unayeishi naye si wako. Upo hapo kujisitiri tu uitwe mume wa mtu, mke wa mtu basi. Ndiyo maana umekubali kuvumilia yote.😆 Eti navumilia watoto, navumilia watu wataongea sana, navumilia.. blah blah blah nyingi. Kama ana dalili ya kutokuhitaji kuendelea kuishi nawe basi...
  6. Beesmom

    Kumbe nasi Wanawake ukorofi hatujaanza Leo,Kuna muda wanaume hawana hatia kabisa.

    Bado tupo kwenye kitabu Cha MWANZO...Bado tupo na ukoo wa Yuda....Bado tupo na mjane Tamari. Ni kitabu Cha MWANZO 38:11-26 Baada ya mzaliwa wa pili wa Yuda kufa(Onan) ...Yuda akamwambia Tamari mkwewe,ukae mjane nyumbani mwa baba Yako hata shela Mwanangu(mzaliwa wa tatu wa Yuda) atakapokuwa mtu...
  7. Beesmom

    Kumbe kumwaga chini mbegu ya uzazi, ni kosa kubwa sawa na kuua!

    Ni kitabu cha Mwanzo 38:6-10 neno linasema hivi: 6. Baadaye Yuda alimwoza mtoto wake wa kwanza Eri, kwa mwanamke aitwaye Tamari. 7. Lakini Eri, mzaliwa wa kwanza wa Yuda, alikuwa mwovu mbele ya Mwenyezi-Mungu; hivyo Mwenyezi-Mungu akamuua. 8. Basi, Yuda akamwambia Onani, “Mchukue mke wa ndugu...
  8. Beesmom

    Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

    Nipo pumziko ya week moja standard 7 wanahitimu Alhamisi hivyo maticha twala bata. Mwenye nafasi aje anichukue kesho Jumatatu tafadhali. Turudi kwenye mada, najua kupenda kupo tena kunachukua nafasi kubwa moyoni. Sasa nilitaka nijue, kuwa kumpenda mtu ni fimbo? Yaani ni lazima uteseke...
  9. Beesmom

    Maisha yetu ni mafupi sana

    Aliposema nitakuja kama mwivi, hakika anamekuja kama mwizi. Yaani sasa hivi huwezi jipangia au kujikadiria nitafika muda au umri gani. Tunaishi tu, ukiishi muda mrefu ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu. Yaani sasa hivi kifo ni muda wowote, popote na kwa vyovyote. Tumuombe Mungu atupe mwisho...
  10. Beesmom

    Methali na mahusiano yako

    Kuna mahusiano yapo kwenye methali isemayo "mvumilivu hula mbivu" but another time inageuka "ngojangoja huumiza matumbo" "Waliochagua Nazi wakaishia koroma" wamebaki kupata na "usiache mbachao kwa msala upitao". Mi kuna mchongo nausikilizia,tusikie kwenu Nyie mlio dimbani mahusiano yenu yapo...
  11. Beesmom

    Imani kwa wanaume imekwisha

    Ni masista duu nimewanyaka sehemu fulani wakijadili na kupondea, eti hawaolewi kwa sababu wanaume wanawanyang'anya wanaume zao, hiyvo kumekuwa na uhaba wa wanaume😳. Jambo lingine, eti hata picha zinazotupiwa sana mitandaoni, ukiona wanaume wawili picha ya pamoja afu wanajiita marafiki ujue ni...
  12. Beesmom

    Wanaume tuliangalie na hili pia!

    Maana Nyie Ndio kichwa Cha familia. Samahani naomba niwaulize. Hivi suala la mavazi ya heshima Kwa wake zenu kabla kuolewa na mlivyowaoa Nyie mnalionaje? Maana ni kama na Nyie mmekaliwa vichwa humo ndani, au Ndio uzungu? Au ushamba wangu wa Mbeya. Sisemi kujitenga kwamba mimi ni mtakatifu no...
  13. Beesmom

    Mna kheri wenye mama mkwe mzee

    Hakika mna kheri.Ma mkwe vijana imekuwa shida Sana,zamani walishindikana Kwa mdomo but now wameshindikana Kwa vyote...game wanataka wale na watoto wao... Masimango na kuchagulia waume au wake watoto wao(huyu simtaki,huyu Hana Hela,huyu mfupi Sana mbegu mbaya🙄),na kuachanisha ndoa ndo wamekuwa...
  14. Beesmom

    Kwanini mnakubali kuoa/kuolewa na wasiowapenda?

    Hivi siku ile unamwoa huyo mwanamke ulijua kabisa kuwa hakupendi ila ukamwoa hivyohiyvo? Kwa sababu zako zipi sijui? Mfano kwa mwanamke, wengi huingia hawajampenda mwanaume ila sababu zake ni Kuogopa kuchachia home, kuolewa kama mashost zake walio ndoani, kufuata Mali za mwanaume na wengine Ili...
  15. Beesmom

    Je, ni halali kumpiga makofi mama mkwe anayekukera kila siku?

    Ni tukio limetokea jana jioni hapa uyole. Ndoa ina miaka mitatu mke hajabahatika kushika ujauzito. Sasa mama mtu alikuwa anapiga kelele juu ya hilo. Nataka mjukuu nataka mjukuu, mnataka nife sijaona wajukuu na kadhalika. Ni mama mkwe hivo binti akawa hana la kusema zaidi ya tutapata mama na...
  16. Beesmom

    Au mnasemaje ndugu zangu!

    Nyimbo za michano naonaga ni za watu waliochanganyikiwa,eti 🤔? Afu kichwa hakijakaa sawa Leo,sijui kwann...daaa🙄 🚴🚴🚴🚴
  17. Beesmom

    Mapenzi nayo yana misimu

    Kama ilivyo msimu wa mvua, msimu wa baridi, kiangaz nk: Kupanda mahindi msimu wa kiangaz ni kujitakia😥 Mapenzi nayo vivyo hivyo, msimu wa mapenz motomoto (ndo linaanza sasa), msimu wa mapenz vuguvugu (yaliyopoa), msimu wa mapenz ya kuvumilia a(hapa watu hujilazimisha kuendelea kuwa wapenzi)...
  18. Beesmom

    Kimya ni jibu sahihi sana

    Tena utajiepusha na mengi Kwa kukaa kimya,haijalishi yanaumiza kias gani but ukikaa kimya umejinusuru na mengi mabaya🙏 Ndiyo hivyo🤜
  19. Beesmom

    Hawa wanaume hatujawajulia tu

    Embu tujaribu mbinu hii, kuwapea game sehemu yoyote, I mean sebuleni, chumbani , jikoni, kwenye gari, bafuni... yaan popote. Hata mkitoka mkienda porini kutembelea mashamba yenu ... shikilia mti benua mti apige kimoja Cha faster. Kama unampenda kuwa Malaya tu kwake.. no way out. Mbinu nyingine...
Back
Top Bottom