Watu wanaishi na wenza ambao si wao

Beesmom

JF-Expert Member
May 30, 2016
17,221
28,668
Kubali ukatae huyo unayeishi naye si wako. Upo hapo kujisitiri tu uitwe mume wa mtu, mke wa mtu basi. Ndiyo maana umekubali kuvumilia yote.πŸ˜† Eti navumilia watoto, navumilia watu wataongea sana, navumilia.. blah blah blah nyingi.

Kama ana dalili ya kutokuhitaji kuendelea kuishi nawe basi ukivumilia hakikisha unajua kuvumilia kweli. Siyo mara tuanze kusikia umejiua au umeua. Hatutaki kusikia!

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜„πŸ˜„πŸ€“
Ole tusikie limekufa jitu.
 
Kelsea besty yako anakusema huku🀣🀣🀣🀣🀣
Kubali ukatae huyo unaishi nae si wako.upo hapo kujisitiri tu uitwe mume wa MTU,mke wa MTU basss...ndo maana umekubali kuvumilia yoteπŸ˜†......
Eti navumilia watoto,navumilia watu wataongea sana,navumilia blah blah blah nyingiiii
Kama ana dalili ya kutokuhitaji kuendelea kuishi nawe bas ukivumilia hakikisha unajua kuvumilia kweli...siyo Mara tuanze kusikia umejiua au umeua.HATUTAKI KUSIKIA!!!

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜„πŸ˜„πŸ€“
Ole tusikie limekufa jitu
 
Back
Top Bottom