Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

Hivi ukipenda ni lazima unyanyasike?

To yeye

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2016
Posts
20,192
Reaction score
37,772
Nipo pumziko ya week moja standard 7 wanahitimu Alhamisi hivyo maticha twala bata. Mwenye nafasi aje anichukue kesho Jumatatu tafadhali.

Turudi kwenye mada, najua kupenda kupo tena kunachukua nafasi kubwa moyoni. Sasa nilitaka nijue, kuwa kumpenda mtu ni fimbo? Yaani ni lazima uteseke, udharaulike, unyanyasike na huyo umpendaye?

Yaani ana dalili zote hakupendi na una dalili zote unaforce mapenzi na kuaminika kwake, je, ni lazima unyanyasike ndiyo uprove unapenda? Yaani huwezi kusepa ila unaweza kuvumilia dharau, kwani lazima upitie hayo?
 
Nipo pumziko ya week moja standard 7 wanahitimu alhamisi Ivo matichel twala Bata....mwenye nafasi aje anichukue kesho jumatatu tafadhali.......

Turudi kwenye mada,najua kupenda kupo Tena kunachukua nafas kubwa moyoni...Sasa nilitaka nijue kuwa kumpenda mtu ni fimbo Yaan ni lazima uteseke,udharaulike,unyanyasike na huyo umpendae? Yaan ana dalili zote hakupendi,na una dalili zote unaforce mapenz na kuaminika kwake...je ni lazima unyanyasike ndo uprove unapenda? Yaan huwezi kusepa ila unaweza kuvumilia dharau...kwani lazima upitie hayo?
Nakuja inbox kukusalimia.
 
Beesmom tulikwambia kuhusu ile mitikasi wewe ukawa unatuona wajinga,hayo ndiyo matokeo yake sasa![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom