Lema awaone wanasheria wake.
Ndugai amekiuka maadili ya kazi kati ya muajiri na muajiriwa. Ni siri vitu vilivyoko kwenye faili ya
muajiriwa, muajiri akaviweka hadharani.
Kwa ukiukwaji huu, Lema afungue kesi ya madai kwa kudhalilishwa ikibidi adai 10b kama anavyodai
Membe.
 
Job Ndugai ni Spika wa Bunge la Tanzania , alichaguliwa kuongoza bunge huku waliomchagua wakijua ni mtu makini mwenye uwezo wa kutafakari vizuri hivyo kuliwezesha bunge letu kuisimamia vizuri serikali na hivyo kusukuma gurudumu la maendeleo mbali .

Lakini matendo na kauli zake bungeni kwa sasa ni dhahiri kuna jambo linamsumbua , hayuko sawa na kwa kweli huko tuendako asipodhibitiwa atatoa kauli ya kudhalilisha nchi

Natoa wito kwa Mamlaka yenye uwezo juu yake kumchunguza kwa lengo la kulinda heshima ya bunge na Nchi kwa ujumla

Naomba kuwakilisha.
..................................................................
Ujumbe kwa Moderator - Job Ndugai kwa vile ni spika wa bunge letu kujadiliwa haliwezi kuwa kosa , Kitwanga aliyekuwa Waziri wa mambo ya ndani alibainika kulewa akiwa ndani ya bunge ( na huenda alikuwa amevuta bangi pia ) , akatimuliwa na kuvuliwa uwaziri , tuacheni tuwajadili viongozi ili kunyoosha nchi .
 
Nasikitika hadi sasa bado hiyo tume ya kinga na maadili ya bunge haijachukua hatua yeyote dhidi yake. Anadhalilisha bunge na kuzidi kuthibitisha madai ya tuhuma za udhaifu.
 
Job Ndugai ni Spika wa Bunge la Tanzania , alichaguliwa kuongoza bunge huku waliomchagua wakijua ni mtu makini mwenye uwezo wa kutafakari vizuri hivyo kuliwezesha bunge letu kuisimamia vizuri serikali na hivyo kusukuma gurudumu la maendeleo mbali .

Lakini matendo na kauli zake bungeni kwa sasa ni dhahiri kuna jambo linamsumbua , hayuko sawa na kwa kweli huko tuendako asipodhibitiwa atatoa kauli ya kudhalilisha nchi

Natoa wito kwa Mamlaka yenye uwezo juu yake kumchunguza kwa lengo la kulinda heshima ya bunge na Nchi kwa ujumla

Naomba kuwakilisha.

Ujumbe kwa Moderator - Job Ndugai kwa vile ni spika wa bunge letu kujadiliwa haliwezi kuwa kosa , Kitwanga aliyekuwa Waziri wa mambo ya ndani alibainika kulewa akiwa ndani ya bunge ( na huenda alikuwa amevuta bangi pia ) , akatimuliwa na kuvuliwa uwaziri , tuacheni tuwajadili viongozi ili kunyoosha nchi .
Hata wewe ungekuwa na hali ya Spika ungetenda vile vile uweze kusafiri!
 
Ndugai analidharirisha Bunge, anatudhadririsha wananchi. Ameminya sauti za wananchi bungeni zisisikike kwamba hawataki kufanya kazi CAG, na zaidi, wabunge wanaosema kweli anawatoa Bungeni. Bunge limekuwa kiraka cha serikali badala ya kutuwakilisha tuliowapa dhamana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kosa la waliomuandaa kuwa na cheo hicho!,mtoto akiwa na utovu wa nidham anza kwanza kumlaum aliemlea ndipo uje kwa mtoto!,Jk nliemfaham enzi za Monduli Chini ya kamanda Gadiye sikudhani ipo siku atakuja kuwa chanzo cha masikitiko ya mamilioni ya watanzania,alikuwa mcheshi sana,alijali watu ila leo katuachia watu ambao hata yeye nina uhakika anajutia sana
 
Mwingine alisema watu wa dom ni maisha magumu na udumavu wa akiri
Mchanganiko wa uji wa mtama na nzige
Mtoto hawezi kua na hakiri timamu
 
Nani sasa wa kumfunga paka kengele hapo! Hiyo kamati ni huru! au ndiyo ameiteua yeye mwenyewe? Na lazima wajumbe wake wengi watakuwa ni kutoka chama tawala hivyo kulindana ni moja ya kanuni zao.
 
Job Ndugai ni Spika wa Bunge la Tanzania , alichaguliwa kuongoza bunge huku waliomchagua wakijua ni mtu makini mwenye uwezo wa kutafakari vizuri hivyo kuliwezesha bunge letu kuisimamia vizuri serikali na hivyo kusukuma gurudumu la maendeleo mbali .

Lakini matendo na kauli zake bungeni kwa sasa ni dhahiri kuna jambo linamsumbua , hayuko sawa na kwa kweli huko tuendako asipodhibitiwa atatoa kauli ya kudhalilisha nchi

Natoa wito kwa Mamlaka yenye uwezo juu yake kumchunguza kwa lengo la kulinda heshima ya bunge na Nchi kwa ujumla

Naomba kuwakilisha.

Ujumbe kwa Moderator - Job Ndugai kwa vile ni spika wa bunge letu kujadiliwa haliwezi kuwa kosa , Kitwanga aliyekuwa Waziri wa mambo ya ndani alibainika kulewa akiwa ndani ya bunge ( na huenda alikuwa amevuta bangi pia ) , akatimuliwa na kuvuliwa uwaziri , tuacheni tuwajadili viongozi ili kunyoosha nchi .
Tena pakuanzia iwe ni ugonjwa wake ule unaomsumbua matibabu india .usikute unaathiri uwezo wa kkufikiri na kutenda.
Nani sasa wa kumfunga paka kengele hapo! Hiyo kamati ni huru! au ndiyo ameiteua yeye mwenyewe? Na lazima wajumbe wake wengi watakuwa ni kutoka chama tawala hivyo kulindana ni moja ya kanuni zao.
Tena pakuanzia ni ugonjwa wake ule uliomfanya mpaka haamie India .tusikute ugonjwa na madawa anayotumia yana hathiri uwezo wa kufikiri na kutenda
 
Job Ndugai ni Spika wa Bunge la Tanzania , alichaguliwa kuongoza bunge huku waliomchagua wakijua ni mtu makini mwenye uwezo wa kutafakari vizuri hivyo kuliwezesha bunge letu kuisimamia vizuri serikali na hivyo kusukuma gurudumu la maendeleo mbali .

Lakini matendo na kauli zake bungeni kwa sasa ni dhahiri kuna jambo linamsumbua , hayuko sawa na kwa kweli huko tuendako asipodhibitiwa atatoa kauli ya kudhalilisha nchi

Natoa wito kwa Mamlaka yenye uwezo juu yake kumchunguza kwa lengo la kulinda heshima ya bunge na Nchi kwa ujumla

Naomba kuwakilisha.

Ujumbe kwa Moderator - Job Ndugai kwa vile ni spika wa bunge letu kujadiliwa haliwezi kuwa kosa , Kitwanga aliyekuwa Waziri wa mambo ya ndani alibainika kulewa akiwa ndani ya bunge ( na huenda alikuwa amevuta bangi pia ) , akatimuliwa na kuvuliwa uwaziri , tuacheni tuwajadili viongozi ili kunyoosha nchi .

Antiretroviral drugs has worst effects in the body than HIV.

Sijui hiyo statement ina ukweli gani maana niliwahi isoma tu mahali.
 
Dawa yake moja tu, mwakani no kura, hakuna kuingia bungeni. Miaka 5 ya ufala wake inatosha sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Anachonisikisha zaidi huyu jamaa, ni hali ya wapiga kura wake, tena alipozaliwa ni karibu kabisa na Kongwa mjini, lakini watu wa eneo lake kabisa, wana dhiki kuu ya maji yaani wanachimba makorongoni kama kuku wanaotafuta chakula kwa kuparua chini ili kupata maji. yaani kuna stand pipe moja tu, tena karibu na kwao, inayotoa maji kwa muda maalum.kijiji kizima kinakutania hapo, wanawake wanakesha kusubiria maji hapo,
Sasa nikiangalia na anachofanya huko bungeni..... !!!!!!? Daaaaaah...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom