This is a hotspot thread to you. Swallow it.Upuuzi mtupu umeandika ni zaidi ya bull💩💩shame on you
This is a hotspot thread to you. Swallow it.Upuuzi mtupu umeandika ni zaidi ya bull💩💩shame on you
........wabongo tulio wengi nadhani tuna shida kidogo, hili ulilosema limerudiwa zaidi ya mara mia lakini sijui kwa nini watu hatuelewi.......Mimi nafikiri hapa hoja kubwa inayo pigiwa kelele ni ubovu wa mkataba ilio ingia Tanganyika na Dubai.
Nimesikia, mkataba mbovu ambao hauna maslahi mapana kwa taifa ndio hasa chanzo na ndipo tatizo lilipo anzia.
Kwahivyo hapa hoja sio kwamba wapingaji hawataki muwekezaji, Lah.
Mkataba ni mbovu ila haifanyi taasisi ya Urais ivunjiwe heshima.Itakuwaje mama akafata ushauri wa wadau plus TEC.. mtakuja na sound gani tena ? Maana serikali nayo yaenda kwa upepo
Taasisi ya Urais inapovunjia heshima wengine ( taasisi zingine ( mhimili ) na wananchi wake ) napo inakuwaje ? Taasisi ya Rasi na Rais sio Mungu, wanakosea na wanapokosea wasemweMkataba ni mbovu ila haifanyi taasisi ya Urais ivunjiwe heshima.
Sasa wanapodai wana mizizi kila kaya wanamtishia nani sasa?
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
My dear leta facts. Siyo sawdust. Huo ndo ukweli.Uneandika point kidogo na upumbavu mwingi,
Embu tell me why not USA ? Why Tanzania? Why walifukuzwa from USA??
We kichwa maji kinachopingwa hapa sio uwekezaji sawa, Kinachopingwa hapa ni mkataba mbovu.
Kichwa chako kipo na bullshit nyingi sana
The existence of people like you in Tanzania it's a reason why I don't even wish to stay longer in Tz.
Endapo taasisi ya Urais ingevunjiwa heshima saahizi si wangekuwa lupango wananyea debeMkataba ni mbovu ila haifanyi taasisi ya Urais ivunjiwe heshima.
Sasa wanapodai wana mizizi kila kaya wanamtishia nani sasa?
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Sasa si mseme, mmekatazwa?Hakuna anaebisha kuwa mkataba wa DP World na Tanzania ni move. Wanaharakati wameweka bayana na sisi tusio wanasheria tumeelewa. Hilo ni jambo jema.
Shida inakuja pale Taasisi moja ya dini inajiona yenyewe ndio inaweza kuamua na kusemea taasisi zingine. That's stupidity !
Tanzania ni ya wote Christians, Muslims, Jews, Buddhists na hata wasio na dini rasmi za kigeni.
Iweje Taasisi moja idai yenyewe ndio ina mizizi kwenye kila kaya. Kwa hiyo mnatutisha sisi protestants na Waislamu eeh?
Mbona mnamwandama sana rais na serikali angekuwa ni muumini wenu mngefanya hivyo?
We are no longer under the yoke of Papacy regime.
Waprotestant tupo wengi tumaweza jisemea.
Naomba mkae kwa kutulia.
Mkataba hatuutaki na utumwa wa kidini hatuutaki pia.
Nimemaliza.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Na kesho waraka utasomwa katika makanisa yote ya kikatoliki Tanzania nzima wakatoliki wote watafahamu kinachoendelea nchini. Kuanzia parokia ya St.Joseph posta mpaka Parokia ya Bikira Maria kule Mkurusi Mbinga vijijiniHujaelewa au?? Au kukaza fuvu!! Wametoa majibu kwa waumini wa katoliki, kwani hao wengine wamekatazwa kutoa maoni yao?
Kubali ukatae Kanisa katoliki lina watu wengi na ujumbe umewafikia waumini wao.
Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Fact zipi unahitaji ? Kua Dp world ilifikuzwa marekani , what else do you need?My dear leta facts. Siyo sawdust. Huo ndo ukweli.
Wanapokelewa wezi na wauaji sembuse hao, Waovu ndio wanapokelewa ili wapate kuokokaPapa huko Vatican ameridhia LGTB, amelaani sheria zinazowa kandamiza na kuwapa adhabu. Ametaka Mapadri kuwapokea. Tunasubiri tamko la TEC pia.
Pope to LGBT Catholics: 'God is Father who does not disown any of his children' - Vatican News
Pope Francis answers three questions put to him by Jesuit Father James Martin whose pastoral ministry involves the LGBT community.www.vaticannews.va