Mimi nafikiri hapa hoja kubwa inayo pigiwa kelele ni ubovu wa mkataba ilio ingia Tanganyika na Dubai.
Nimesikia, mkataba mbovu ambao hauna maslahi mapana kwa taifa ndio hasa chanzo na ndipo tatizo lilipo anzia.
Kwahivyo hapa hoja sio kwamba wapingaji hawataki muwekezaji, Lah.
........wabongo tulio wengi nadhani tuna shida kidogo, hili ulilosema limerudiwa zaidi ya mara mia lakini sijui kwa nini watu hatuelewi.......
 
Hakuna anaebisha kuwa mkataba wa DP World na Tanzania ni mbovu.

Wanaharakati wameweka bayana na sisi tusio wanasheria tumeelewa. Hilo ni jambo jema.

Shida inakuja pale Taasisi moja ya dini inajiona yenyewe ndio inaweza kuamua na kusemea taasisi zingine. That's stupidity!

Tanzania ni ya wote Christians, Muslims, Jews, Buddhists na hata wasio na dini rasmi za kigeni.

Iweje Taasisi moja idai yenyewe ndio ina mizizi kwenye kila kaya. Kwa hiyo mnatutisha sisi protestants na Waislamu eeh?

Mbona mnamwandama sana Rais na serikali, angekuwa ni muumini wenu mngefanya hivyo?

We are no longer under the yoke of Papacy regime.

Waprotestant tupo wengi tunaweza jisemea. Naomba mkae kwa kutulia.

Mkataba hatuutaki na utumwa wa kidini hatuutaki pia. Nimemaliza.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Mkataba ni mbovu ila haifanyi taasisi ya Urais ivunjiwe heshima.

Sasa wanapodai wana mizizi kila kaya wanamtishia nani sasa?

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Taasisi ya Urais inapovunjia heshima wengine ( taasisi zingine ( mhimili ) na wananchi wake ) napo inakuwaje ? Taasisi ya Rasi na Rais sio Mungu, wanakosea na wanapokosea wasemwe
 
Uneandika point kidogo na upumbavu mwingi,

Embu tell me why not USA ? Why Tanzania? Why walifukuzwa from USA??

We kichwa maji kinachopingwa hapa sio uwekezaji sawa, Kinachopingwa hapa ni mkataba mbovu.
Kichwa chako kipo na bullshit nyingi sana
The existence of people like you in Tanzania it's a reason why I don't even wish to stay longer in Tz.
My dear leta facts. Siyo sawdust. Huo ndo ukweli.
 
Hakuna anaebisha kuwa mkataba wa DP World na Tanzania ni move. Wanaharakati wameweka bayana na sisi tusio wanasheria tumeelewa. Hilo ni jambo jema.

Shida inakuja pale Taasisi moja ya dini inajiona yenyewe ndio inaweza kuamua na kusemea taasisi zingine. That's stupidity !

Tanzania ni ya wote Christians, Muslims, Jews, Buddhists na hata wasio na dini rasmi za kigeni.

Iweje Taasisi moja idai yenyewe ndio ina mizizi kwenye kila kaya. Kwa hiyo mnatutisha sisi protestants na Waislamu eeh?

Mbona mnamwandama sana rais na serikali angekuwa ni muumini wenu mngefanya hivyo?

We are no longer under the yoke of Papacy regime.

Waprotestant tupo wengi tumaweza jisemea.
Naomba mkae kwa kutulia.

Mkataba hatuutaki na utumwa wa kidini hatuutaki pia.
Nimemaliza.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Sasa si mseme, mmekatazwa?
 
848752f6e1340aab14d1acd1a8d481ac.jpg
 
Hujaelewa au?? Au kukaza fuvu!! Wametoa majibu kwa waumini wa katoliki, kwani hao wengine wamekatazwa kutoa maoni yao?
Kubali ukatae Kanisa katoliki lina watu wengi na ujumbe umewafikia waumini wao.


Sent from my Pixel 3a using JamiiForums mobile app
Na kesho waraka utasomwa katika makanisa yote ya kikatoliki Tanzania nzima wakatoliki wote watafahamu kinachoendelea nchini. Kuanzia parokia ya St.Joseph posta mpaka Parokia ya Bikira Maria kule Mkurusi Mbinga vijijini

Sent from my HUAWEI NMO-L31 using JamiiForums mobile app
 
Papa huko Vatican ameridhia LGTB, amelaani sheria zinazowa kandamiza na kuwapa adhabu. Ametaka Mapadri kuwapokea. Tunasubiri tamko la TEC pia.

Wanapokelewa wezi na wauaji sembuse hao, Waovu ndio wanapokelewa ili wapate kuokoka
 
Back
Top Bottom