kitumbua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mpigamimba

    Mwanamke anajua anakunyima kitumbua, na anataka umpe pesa. Msaada tutani

    Ni mwanamke wa kihaya. Anaonekana kunipenda Kwa status yangu, ila Hana dalili ya kutoa mzigo Kwa kuwa Hana anaonekana Hana really love kwangu. Huyu nimfanye nini wakuu. Japo bado Nampa kampan na kuhakikisha hanimalizi Kabisa. Maana anataka vitu vikubwa vikubwa gari nk
  2. NYUNDO YA MOTO

    Uzoefu na ugeni katika mapenzi ulivyosababisha kula kitumbua kwa shida au kutokula kabisa

    Ilikuwa Ni siku ya weekend jumosi Siku ilikuwa na hali ya hewa tulivu kama Dalili ya mvua kunyesha. Niliamka asubuhi na mapema nikafanya usafi wa mwili na mazingira, Nikanywa chai nzito, nikaenda Chumbani nikachukua kitabu nisome ili nijiliwaze na kupoteza mawazo ya ahadi ya tunda tuliyo wekeana...
  3. bioto

    Kitumbua cha buku

    Kitumbua cha buku sehemu ya kwanza STORY NA: Mbogo Edgar Kijana Prosper alikuwa amejilaza kwenye mkeka, askipunga upepo wa na kufaidi kimvuri cha mti wa mwembe dodo mkubwa sana, uliopo pembeni ya kibanda kidogo cha bati,( full suit), ambao kwa kipindi hiki cha mwezi wa kumi na mbili, uwa...
Back
Top Bottom