vipindi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Alexander Lukashenko

    Naombeni ratiba za vipindi vya michezo

    Wanaspoti wenzangu kutokana na kilichototokea leo naombeni nipewe ratiba ya Vipindi vya michezo kwa Siku ya kesho kwa redio zote. Lakini ningependa kushauri wanaspoti wenzangu hasa wale wayanga, tusikose kipindi cha hawa Manguli wa michezo hapo kesho. Natanguliza shukrani.
  2. DeMostAdmired

    Kubezwa kwangu kulinipunguzia presha nikawa mshindi vipindi vyote

    Ni yule #DeMostAdmired Wa Mercy. Nimependa pia nishee experience hii na ninyi ndugu zangu wa JF. Nahisi tutapata vitu flani flani. Nashea hii kujaribu kuwapa shuhuda juu ya nature ya jinsi gani sisi walimwengu tulivo na maajabu ya ulimwengu wenyewe Nianze na kuwapa update kuhusu Mercy, Mercy...
  3. GENTAMYCINE

    Ukiwasikiliza Watangazaji wa Vipindi vya Michezo vya Redio na Wachambuzi leo utaamini kuwa Congo DR anakufa huko Ivory Coast

    Na kuna mahala nimemuona Mtetemaji wa Kihistoria kamuomba Mwalimu amuanzishe ili amalize Kazi mapema kwani anamjua vyema Aishi na Beno. Kazi ipo leo nyie Jidanganyeni tu Ok?
  4. The Burning Spear

    Asilimia kubwa ya maudhui ya vipindi vya redio nchini ni burudani na matangazo ya biashara

    Hi great Thinkers. Kwa utafiti wangu mdogo FM Radios za Tanzania zimejikita katika blabla kama ifuatavyo; 1. 40% ni matangazo ya biashara 2.30% ni habari za michezo 3. 20% ni Burudani. 4. 10% habari na elimu mbalimbali Ndiyo maana kuwa Radio presenter Tanzania ni kazi rahisi kuliko kazi zote...
  5. mangiTz

    Azam Media wakataa shutuma dhidi ya rushwa ya kurusha vipindi vya tamthilia kutoka kwa wazalishaji binafsi

    Habari wana jamvi, kumekuwa na taarifa za chini kwa chini baada ya kuibuka sakata la wasimamizi wa televisheni kule Dstv sasa imehamia Azam nao wamejibu mapigo. Note; ukimshtumu mtu au kampuni hakikisha hiyo kesi una ushahidi nayo la sivyo inakugeukia, kesi kama hizi ikikugeukia utalipwa faini...
  6. Nifah

    Kumekucha DSTV, Mkurugenzi wa vipindi Maisha Magic Bongo na msaidizi wake wasimamishwa kwa rushwa!

    This is exclusive! Mkurugenzi wa vipindi wa kitengo cha tamthilia za kiswahili zinazoruka kupitia kisimbuzi cha DSTV mwanamama Mtanzania Barbara Kambogi sambamba na msaidizi wake bwana Onesmus Ndarite yeye akiwa ni Mkenya wamesimamishwa kazi kwa tuhuma nzito za rushwa. Mwanamama huyo na...
  7. W

    Jiongezeni Wakuu wa Shule; ni kwamba achaneni na habari za mahafali mtapigwa mawe!

    Nasikia wenzenu wamesimamishwa kwa sababu ya 'kuruhusu' wanafunzi kucheza wimbo usio na 'maadili' wa Honey. Saaawa. Kusimamishwa kwao ni ujumbe kwenu mlio madarakani. achaneni na habari za muziki huko mashuleni kwenu. Kuachana na muziki tafsiri yake futeni mahafali, hakuna mahafali ambayo...
  8. Pekejeng

    Ni kwa namna gani dunia inapata vipindi mbalimbali vya msimu (Kiangazi, Masika na Vuli)?

    Salama? Wataalamu naomba ufafanuzi kwa kurejea kichwa cha uzi maana nimeingia google naona wanaelezea kwa lugha ngumu za kisayansi. Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa wataalamu wakitoa somo hapa kwa lugha nyepesi zaidi ambayo hata kwa mtoto wa la saba akisoma atapata kitu. Nawasilisha.
  9. T

    Vipindi vya Television.

    Habari za weekend ndugu zangu natumai mko salama, ehee ni weekend tayari. Twende kwenye mjadala Tanzania iko katika biashara ya vingamuzi kwasababu tulitoka uko kwenye analog na sasa tuko digital lakini ni kama atutumii fursa hii vizuri. Nafikiri mna weza kukubaliana na mimi kama umewahi...
  10. matunduizi

    Watu wengi wasio na kazi wanaopitia vipindi vigumu na wana elimu ya juu, huwa wanachanganya shida zao na tabia

    Tabia ni kama ngozi, haivuliki kirahisi. Hata mwenye tabia ya wizi, akikaa bila kuiba na akaishiwa kabisa hadi pesa ya kula, atakuwa mpole ila ukimsaidia akichangamka atakuibia tu. Watu wengi sana leo hawana kazi, wanasema wako tayari kufanya kazi hata mochwari za marehemu wa ajali mbalimbali...
  11. BARD AI

    Clouds FM imeshakuwa Radio ya Kubet, vipindi vyote ni "Tuma Buku, Cheza na Buku, Buku Mchongo,"

    Ni aibu kwa level ya Radio kama Clouds kuwa na matangazo yanayohamasisha watu kubet kila dakika. Ubunifu wa kupata mapato umeisha wamebaki kutegemea Buku Buku za wasikilizaji. Clouds imekua radio ya ajabu sana kwasasa. Kama hali imekuwa ngumu wauze hisa tu ili wapate mwekezaji mwingine. Mbona...
  12. Raia Fulani

    Kuna haja ya kuondoa/kuzuia vipindi vya michezo asubuhi redioni na TV

    Hili kwa ukweli wizara husika (ya habari) ilizingatie. Saa mbili, saa tatu asubuhi unaanza kusikia habari za nani kafungwa nani kahamia club fulani, kocha kafanyaje, n.k. Muda wa asubuhi ni muda wa kupata taarifa muhimu za matukio yanayoendelea duniani kuanzia siasa, uchumi, utamaduni, sheria...
  13. P

    Taja vipindi vya televisheni vinavyoharibu maadili ya Kitanzania

    Mimi naanza na kipindi Cha Dadaz. Hiki kipindi sijawahi kukielewa kabisa lengo lake ni nini. Kwanza mda wote watangazaji wanaongea bila kupeana zamu ya kuzungumza. Na zaidi nachoona kinalenga kuwafanya mabinti wengi wasiolewe kwa jinsi kinavyopandikiza mbegu ya jeuri, ujuaji, ubabe na ukorofi...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    Je unasikiliza redio kwa siku ngapi kwa wiki? Unasikiliza vipindi gani?

    Binafsi nasikiliza radio mara mbili tu kwa wiki. Nasikiliza siku ya Ijumaa Asubuhi na Jumamosi asubuhi. Radio ninayosikiliza ni Radio One. Na siku ya Ijumaa nasikiliza kuanzia saa nne na robo asubuhi, kipindi cha nyimbo za zamani. Na sìku ya Jumamosi nasikiliza kipindi cha Kiswahili. Baaaaaaas
  15. Victor Mlaki

    Suala la muongozo mahusi wa mgawanyo wa vipindi shule za Sekondari ni changamoto, tuliangalie kwa jicho pevu

    Habarini wadau! Nina imani mnaendelea vizuri kabisa. Lengo langu leo ni kutaka kuibua changamoto niliyoibani hususani kwenye suala zima la uandaaji wa ratiba ya vipindi shuleni. Najiuliza ni kipi cha kufuata. Je, ni syllabus ilivyoekekeza au maelekezo na miongozo mingine inayotolewa? Kwa mfano...
  16. willpower

    Vipindi hatari katika Uchumba/Mahusiano ya Vijana

    Kwa wadogo zangu: Leo nina muda kidogo wa kuandika, nikakumbuka maisha yangu binafsi na misukosuko ya kimahusiano; nikaona nije na huu uzi; vipindi hatari kwa uchumba/mahusiano ya vijana wengi. Hivi ndio vipindi ambavyo mahusiano mengi hufikia tamati na kuacha aidha uchungu ama fadhaa kwenye...
  17. mngony

    Udhaifu katika miundombinu yetu vipindi vya Mvua, aibu kwetu na ugeni huu mkubwa wa Makamu wa Rais Marekani

    Vipindi vya mvua ( Masika) Miaka yote kumekuwa kukionekana udhaifu wa miundominu yetu hasa barabara kuhimili hali hiyo ya hewa Sura za kujaa kwa maji barabara zetu, kupelekea foleni kubwa, vyombo vya moto kuharibika njiani na uharibifu vyombo hivyo na mali Hata miundombinu mipya kama vile...
  18. M

    Hongera TBC kwa uboreshaji wa vipindi vyenu

    Ni ukweli usiopingika kuwa tukivizungumzia vyombo vikubwa vya habari nchini, hatutasita kulitaja shirika la habari Tanzania. Hii ni kutokana na ukongwe na jina lililojijengea kutoka radio Tanzania hadi TBC na hata uwezo wa kuwafikia wanachi Tanzania nzima. Ni wazi kuwa mfumo uliokuwepo awali...
  19. M

    Baada ya Kuwasoma Horoya FC naomba 'Formations' hizi Mbili zitumike katika Vipindi vyote Viwili

    Kipindi cha Kwanza Simba SC ianze na Mfumo ( Formation ) ya 3-5-2 kwakuwa Horoya FC wako vyema katika Kiungo na hasa Ushambuliaji hivyo Kujilinda Kwanza ili Kuwasoma ni Muhimu katika First Half. Kipindi cha Pili Simba SC iingie na Mfumo ( Formation ) ya 4-3-3 ambao utatufanya tushambulie...
  20. Sa 7 mchana

    Marehemu Ruge "alivyonidanganya"

    Ulikua ni muendelezo wa msimu wa fiesta unayofanyika karibu kila mwaka, utofauti wa msimu huu mwingine ni kuwa msimu uwo wa fiesta ndio kilizaliwa kichanga ambacho sasa kimekua na tayari kinajitegemea kinaitwa FURSA. Timu ya fursa sijui iliongozwa na nani ila Marehemu Ruge Mutahaba nae...
Back
Top Bottom