SAUTI ZA WANANCHI: KWA NINI SERIKALI INAHITAJI KUSIKILIZA MAONI YAO
Imeandikwa na: MwlRCT
1: UTANGULIZI
Katika nchi nyingi za Afrika Mashariki, sauti za wananchi hazipewi kipaumbele na serikali. Sauti za wananchi ni maoni, mapendekezo na malalamiko ya watu wanaoathiriwa na sera na mipango ya...
Serikali ya Rais Samia Suluhu inaendelea na utekelezaji wa ilani ya Uchaguzi ya 2020-2025 ambayo imeelekeza juu ya usambazaji wa huduma za kijamii nchini. Awamu ya sita inahakikisha maendeleo hayabaki tu mijini, serikali inawafikia wananchi kote nchini kwa kujenga barabara na madaraja, miradi ya...
Imeelezwa kuwa Wananchi wengi hawana uhakika kuhusu matumizi ya mapato yatokanayo na tozo kwani 42% wanasema kuwa hawajui yanatumikaje ikilinganishwa na 38% ya wanaosema wanajua namna mapato hayo yanavyotumika.
Hii ni kwa mujibu wa Ripoti mpya ya Shirika lisilo la Kiserikali la TWAWEZA ambalo...
Kufuatia kutangazwa kwa tukio la uzinduzi wa takwimu za shirika lisilo la kiserikali la TWAWEZA East Africa linalotarajiwa kufanyika leo tarehe 25 Agosti, 2022, kumekuwepo madai/uvumi kuwa tukio hilo limeahirishwa.
Taarifa hizo ambazo zimekuwa zikisambazwa katika makundi sogozi ya WhatsApp...
Shirika lisilo la Kiserikali la TWAWEZA East Africa linafanya uzinduzi wa matokeo ya utafiti mpya wa Sauti za Wananchi.
TWAWEZA itashirikisha umma matokeo hayo yenye uwakilishi wa kitaifa kutoka Sauti za Wananchi - ambalo ni jukwaa la kupigia kura kwa njia ya simu ya mkononi.
Utafiti huo mpya...
Wananchi wanasema stand ya mabasi waliyoambiwa imejengwa kwa million 800, haina ubora na thamani ya pesa hiyo.
Elimu bure ndiyo lakini hakuna walimu mashuleni na kuna shule hazina majengo.
Wikiendi hii nimerudi Bongo na nimekuja kutembelea Uswahilini kwetu huku Mtaa wa Azimio, Kigogo Luhanga nimepata habari zenye Kiulizo inabidi niulize Wanajamvi humu ndani.
Serikali ya Mtaa ya huku Mtaani imekuwa ikiandikisha wakazi wa hapa ( Wanandoa)/ (Wenza wanaoishi pamoja) na kuwapiga Picha...
Kwanza napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru uongozi wa jamii forum.
KB logistics company ltd tumewaletea huduma kwa karibu na haraka zaidi hasa wale wanaomiliki petrol station na wale wenye hobi ya kufanya biashara ya mafuta.
Fuel dispenser zetu ni:
Type: Tokheim changlong
Flow rate...
assalaam alaikum viongozi na ndugu watanzania, nasambaza barua hii kwa lengo la kuomba na sisi tusikilizwe mimi kama mtoto wa kwanza wa mtuhumiwa Antar Humud nafanyah ivi baada ya kuzidi kuongezeka machungu na shida na mfarakano na umaskini wa familia na miaka kila siku tunaihesabu ikiongezeka...
Utafiti wa Sauti za Wananchi, Awamu ya 27 wa Aprili 2018 umebaini 55% ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli tangu alipoingia madarakani 2015.
Kukubalika huku kumepungua kutoka 96% mwaka 2016 na 71% mwaka 2017
Kiwango cha kukubalika kwa Rais kimeshuka kutoka kwenye rekodi ya juu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.