Wanaohitaji fuel dispenser na spear zake tukutane hapa

Joined
Jun 15, 2013
Messages
10
Points
45
Joined Jun 15, 2013
10 45
Kwanza napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru uongozi wa jamii forum.

KB logistics company ltd tumewaletea huduma kwa karibu na haraka zaidi hasa wale wanaomiliki petrol station na wale wenye hobi ya kufanya biashara ya mafuta.
Fuel dispenser zetu ni:

Type: Tokheim changlong
Flow rate: 5-50L/min

Zipo za category mbili:

1.single product two nozzle ambazo unaweza kuhudumia wateja wawili kwa wakati mmoja ila product ni moja either diesel, petrol or kerosene
2.two product double nozzle
Unaweza kuhudumia wateja wawili kwa pamoja kila mmoja na product yake. Upande mmoja diesel mwngne petrol

Contacts: +255713835899
+255686983485
Whatsap: +255713835899
Email: owinoj8@gmail.com
Website: www.kblogistics.co.tz
 

Forum statistics

Threads 1,392,058
Members 528,535
Posts 34,097,175
Top