Hili la Wakorea kutoa 400,000/-Tshs kwa kila wanandoa Mitaani vipi?

Kaka Pekee

JF-Expert Member
Apr 3, 2018
336
559
Wikiendi hii nimerudi Bongo na nimekuja kutembelea Uswahilini kwetu huku Mtaa wa Azimio, Kigogo Luhanga nimepata habari zenye Kiulizo inabidi niulize Wanajamvi humu ndani.

Serikali ya Mtaa ya huku Mtaani imekuwa ikiandikisha wakazi wa hapa ( Wanandoa)/ (Wenza wanaoishi pamoja) na kuwapiga Picha za Passportsize kisha kuahidi kuwapigia simu baada ya Muda ili waende kuchukua Pesa wanayoita ya 'Kuwezesha' kutoka kwa wakorea Tshs 200,000/- kwa kila mwanandoa (Jumla Tshs400,000/-) Pesa ambayo wanadai haina riba, sio Mkopo hivyo hautakiwi kuirudisha

-Hili linawezekanaje?...
-kuna hisani ya aina hii sehemu nyingine?...
-Hawa wakorea wanapata faida gani kwa hili?...
-Inawezekana kuwa wanatumiwa ili kuterezesha Uchaguzi 2020?
-Au ndio zile Milioni zetu kadhaa za kila Kijiji ndio zimeanza kutoka kwa staili hii?
 
acha kuhoji hoji,andika jina subiri mpunga.

wao wanawatumia watu masikini kwenda kuombea misaada huko kwao,kinachozidi ndio faida yao,

tatizo halipo kabisa hapo,au nikutumie cheti changu?ii
bahati mbaya ndoa yangu ni ya nje ya Bongo mkuu, itabidi nitafute Nyumba ndogo ya muda nifanye mchakato ila sio ndio aning'ang'anie tena!
 
Wikiendi hii nimerudi Bongo na nimekuja kutembelea Uswahilini kwetu huku Mtaa wa Azimio, Kigogo Luhanga nimepata habari zenye Kiulizo inabidi niulize Wanajamvi humu ndani.

Serikali ya Mtaa ya huku Mtaani imekuwa ikiandikisha wakazi wa hapa ( Wanandoa)/ (Wenza wanaoishi pamoja) na kuwapiga Picha za Passportsize kisha kuahidi kuwapigia simu baada ya Muda ili waende kuchukua Pesa wanayoita ya 'Kuwezesha' kutoka kwa wakorea Tshs 200,000/- kwa kila mwanandoa (Jumla Tshs400,000/-) Pesa ambayo wanadai haina riba, sio Mkopo hivyo hautakiwi kuirudisha

-Hili linawezekanaje?...
-kuna hisani ya aina hii sehemu nyingine?...
-Hawa wakorea wanapata faida gani kwa hili?...
-Inawezekana kuwa wanatumiwa ili kuterezesha Uchaguzi 2020?
-Au ndio zile Milioni zetu kadhaa za kila Kijiji ndio zimeanza kutoka kwa staili hii?
Wewe ndiyo unatupa habari ya kitukiacho; na hapo hapo unatutaka tukufahamishe kwa nini kuna tukio hilo. Kama kuna hela ya chee namna hiyo mbona wengi wangeichangamkia? Kama unawafahamu wanandoa waliopewa pesa ya namna hiyo si unaweza kuwafuata na kuwauliza kulikoni; kuliko kutuuliza sisi ambao wala hatuna habari ya tukio hilo.
 
Wikiendi hii nimerudi Bongo na nimekuja kutembelea Uswahilini kwetu huku Mtaa wa Azimio, Kigogo Luhanga nimepata habari zenye Kiulizo inabidi niulize Wanajamvi humu ndani.

Serikali ya Mtaa ya huku Mtaani imekuwa ikiandikisha wakazi wa hapa ( Wanandoa)/ (Wenza wanaoishi pamoja) na kuwapiga Picha za Passportsize kisha kuahidi kuwapigia simu baada ya Muda ili waende kuchukua Pesa wanayoita ya 'Kuwezesha' kutoka kwa wakorea Tshs 200,000/- kwa kila mwanandoa (Jumla Tshs400,000/-) Pesa ambayo wanadai haina riba, sio Mkopo hivyo hautakiwi kuirudisha

-Hili linawezekanaje?...
-kuna hisani ya aina hii sehemu nyingine?...
-Hawa wakorea wanapata faida gani kwa hili?...
-Inawezekana kuwa wanatumiwa ili kuterezesha Uchaguzi 2020?
-Au ndio zile Milioni zetu kadhaa za kila Kijiji ndio zimeanza kutoka kwa staili hii?
 
Wikiendi hii nimerudi Bongo na nimekuja kutembelea Uswahilini kwetu huku Mtaa wa Azimio, Kigogo Luhanga nimepata habari zenye Kiulizo inabidi niulize Wanajamvi humu ndani.

Serikali ya Mtaa ya huku Mtaani imekuwa ikiandikisha wakazi wa hapa ( Wanandoa)/ (Wenza wanaoishi pamoja) na kuwapiga Picha za Passportsize kisha kuahidi kuwapigia simu baada ya Muda ili waende kuchukua Pesa wanayoita ya 'Kuwezesha' kutoka kwa wakorea Tshs 200,000/- kwa kila mwanandoa (Jumla Tshs400,000/-) Pesa ambayo wanadai haina riba, sio Mkopo hivyo hautakiwi kuirudisha

-Hili linawezekanaje?...
-kuna hisani ya aina hii sehemu nyingine?...
-Hawa wakorea wanapata faida gani kwa hili?...
-Inawezekana kuwa wanatumiwa ili kuterezesha Uchaguzi 2020?
-Au ndio zile Milioni zetu kadhaa za kila Kijiji ndio zimeanza kutoka kwa staili hii?
Itakua wana update daftari la wapiga kura!
 
Back
Top Bottom