kuahirisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Rais wa Senegal asema ataondoka Ikulu Aprili 2, 2024 licha ya kuahirisha Uchaguzi Mkuu

    SENEGAL: Rais Macky Sall ametangaza kuwa Mamlaka yake ya Uongozi katika Taifa hilo yatakoma rasmi Aprili 2, 2024 ingawa hajaweka wazi juu ya tarehe ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu. Pia, katika taarifa yake, Rais Sall hajaweka wazi nani atakuwa Kiongozi wa Nchi kwa muda wote unaosalia hadi kufika...
  2. BARD AI

    Senegal: Bunge lapitisha azimio la kuahirisha Uchaguzi Mkuu hadi Desemba 15, 2024 licha ya vurugu kuzuka Bungeni

    SENEGAL: Wabunge wa chama Tawala na wengine wanaounga mkono Serikali, wamepiga Kura na kupitisha ombi la Rais Macky Sall, la kuahirisha Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Februari 25, 2024 ambapo sasa umesogezwa mbele hadi Desemba 15, 2024 . Hatua hiyo imefikiwa baada ya Wabunge wa upinzani...
  3. M

    Kuahirisha game ya Al Ahly Vs Belouizdad kuna namna?

    Nimeona bandiko kuwa mchezo huo umeahirishwa, sijajua ni kwa muda gani na ni kwanini. Isije kuwa ni fitina za waarabu wanataka kusubiria mchozo wa Yanga na Medeama ili wajipange naona ya kusaidiana. Nimewaza tu
  4. sky soldier

    kuahirisha shughuli muhimu ili kula tunda, kama iliwahi kukutokea weka hapa mkasa wako, naanza mimi

    Yalinikuta !, Niliahirisha kwenda interview niliyoisaka kea muda ili nile tunda Nakumbuka kuna kipindi wakati natafuta kazi kuna sehemu nilii apply na kweli nikapigiwa simu kwamba siku ya jumatatu niende, nikatumiwa pdf ikaonesha nafasi niliyoomba inabidi nifike saa nane mchana Siku ya ijumaa...
  5. BARD AI

    Mbowe: Masharti ya DP World na Bandari yanazuia Serikali kujitoa, kuahirisha, kusitisha au kuvunja Mkataba

    Akizungumza kutoka Berlin Ujerumani, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe amesema kwa mujibu wa Masharti ya Mkataba huo yanaonesha kuwa endapo kutakuwa na ulazima wa kuvunja Mkataba itabidi uamuzi utolewe na Mahakama ya Usuluhishi ya Kimataifa. Amesema DP World wanataka kupata haki ya...
  6. U

    Umewahi kuahirisha game ama kuilazimisha kishingo upande kwa sababu ya mtu kuwa mchafu?

    Nishawahi kuipata pisi kali sana ilikuwa naenda kununua groceries pale kwake na tukazoeana. Chapa chap wala sikutaka stori za kaka na dada ama urafiki nikapenyeza ajenda yangu kidume kwamba nimezimika, mtoto akaelewa. Siku ya jumapili haendi kazini basi ndo tukapanga liwalo na liwe, mie nikiwa...
  7. C

    Kughairisha Sherehe za Uhuru ni dharau kwa Tunu ya Uzalendo tuliyokuwa nayo Watanzania

    Bado tunaweza kuwa na Sherehe za Siku ya Uhuru kwa bajeti yoyote ile iliyopangwa na mambo mengine yakaendelea kama yalivyopangwa. Ni dharau kwa Watanzania wazalendo kama akina Cognizant (alias), Adorable, Angel kufuta sherehe za uhuru na kusema pesa zielekezwe katika matumizi ya jambo lingine...
  8. BARD AI

    Spika Tulia Ackson akataa kuahirisha Bunge ili kujadili Panya Road

    Akijibu hoja ya Wabunge Bahati Ndingo na Bonnah Kamoli, waliosimama kutaka Shughuli za Bunge ziahirishwe ilikujadili uhalifu wa vikundi hivyo kwa dharula, Spika wa Bunge amesema Kanuni za Bunge haziruhusu. Dkt. Tulia amesema kwa mujibu wa masharti ya Kanuni ya 55 ya Bunge suala hilo...
  9. Boqin

    UZUSHI TWAWEZA yaahirisha uzinduzi wa matokeo ya utafiti mpya wa Sauti za Wananchi, leo Agosti 25, 2022

    Kufuatia kutangazwa kwa tukio la uzinduzi wa takwimu za shirika lisilo la kiserikali la TWAWEZA East Africa linalotarajiwa kufanyika leo tarehe 25 Agosti, 2022, kumekuwepo madai/uvumi kuwa tukio hilo limeahirishwa. Taarifa hizo ambazo zimekuwa zikisambazwa katika makundi sogozi ya WhatsApp...
  10. saidoo25

    Nini kimejificha nyuma kuahirisha matengenezo ya mfumo wa Luku?

    Jioni ya leo Agosti 17,2022 Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limetoa tangazo la kuahirisha zoezi la matengenezo kinga kwenye mfumo wa LUKU kama ilivyotangazwa mapema hivi leo asubuhi. Tangazo la awali lilisema Tanesco kuzima mfumo wa kununua Luku kwa siku 4 kuanzia Agosti 22 hadi 25 kuanzia...
  11. Masokotz

    Gharama ya kuahirisha kuchukua hatua(Procrastination)

    Je umewahi kuahirsha jambo lolote lile katika maisha au biashara? Umewahi kuahirisha jambo dogo au kubwa kwa umuhimu? Kuahirisha ni tabia ya kuacha kufanya jambo fulani na badala yake unafanya jambo jingine.Ni tofauti na uvivu amapo mtu hafanyi jambo lolote.Katika ulimwengu wa biashara na...
  12. Granted Faith

    Nataka kuahirisha kuoa Oktoba Mwaka huu

    Wadau nisaidie kimawazo na Ushauri Mwaka huu Mwez October ni harusi yangu ila Gafla imetokea sitaki kusikia kitu kuhusu ndoa kabisa. Inshort sitaki kuoa Mwaka huu hata mwanamke nayetaka kumuoa sitaki hata kumuona nimetokea kumchukia Namuona hadi ni kero kwangu [emoji26] Taratibu zote za harusi...
Back
Top Bottom