Hizi Sinoray mpya umeme ni mwisho wa matatizo. Zina speed kubwa sana kiasi cha kufanya sio rahisi kushikwa.
Vijana wa kirangi na chuga wanazitumia kama fursa ya kusafirishia mirungi na bangi kutoka border za Kenya kuleta Tanzania.
Ukikutana nao hiyo convoy kaa chonjo maana wanakuwa na mapanga...
MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imefanikiwa kukamata dawa za kuelevya aina ya mirungi kilo 106.25 katika wilaya ya Longido mkoani Arusha zikiwa zinasafirishwa kwa gari aina ya Toyota Wish yenye namba ya usajili T 889 DPG.
Akizungumza Aprili 14,202 jijini Dar es Salaam...
Heee kumekucha! Wameanza kuchomeana mingo zao
Kazi ipo mbona, acha nikae siti ya mbele kabisa!
===============
Basi la abiria aina ya Yutong linalomilikiwa na kampuni ya
Abood, lenye namba ya usajili T 181 EMJ, limekamatwa katika eneo la Tegeta Kibo jijini Dar es Salaam likiwa limesheheni...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linawatafuta watu wawili ambao bado majina yao hayajafahamika baada ya kutoroka na kutelekeza boti ambayo ilibeba shehena ya dawa za kulevya aina ya mirungi kutoka nchini Kenya kuja Tanzania kupitia Bahari ya Hindi
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius...
Nimefuatilia maandamano ya leo huko Kenya, kuna kitu nimekiona hakiko sawa,
Watu wengi waliokuwa wakiandamana walikuwa wamelewa. Inaonekana wanakwenda barabarani kwa msukumo wa kilevi (mirungi). Muda wote wanatafuna majani .
Raila alipokuwa akihutubia jioni alikuwa ameambatana na wenzake, lkn...
DCEA yataja njia sahihi za kukabiliana na adhari zitokanazo na dawa za kulevya.
PCCB na Sekretariati ya MAADILI ya viongozi wa umma yasisitiza uwajibikaji kwa Watendaji na viongozi ngazi ya Wilaya hadi Vitongoji wa umma.
Halmashauri Same yaainisha mazao mbadala katika kukabiliana na kilimo cha...
Biashara ya mirungi imeshamiri sana hapa Himo na inauzwa kwa uwazi kabisa.
Asilimia kubwa ya Vijana (Ke na Me) ndiyo wateja wakubwa wa biashara hiyo.
Polisi Himo naamini wanawajua suppliers na vendors wa mirungi lakini hawawafanyi chochote. Labda kwa sababu wanafaidika na biashara hiyo au...
Mirungu ni Biashara haramu hapa nchini yenye pesa nyingi, bangi haisogelei.
Biashara hizi ni za cartels vikundi vilivyojiwekea utaratibu maalum vikiongozwa na madon wakubwa, inapotokea kutoelewana ama kuna wageni wanataka kuingia kwenye soko bila kufuata utaratibu huwa kuna kutunishiana misuli...
Wakazi wanne wa Wilaya ya Same wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi jana tarehe 28 Machi 2025, wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi, wakidaiwa kusafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi zenye uzito wa jumla ya kilogramu 518.57.
Watuhumiwa hao, Nimkaza Mbwambo, Prosper Lema...
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), kwa kushirikiana na vyombo vingine vya dola, imefanya operesheni maalum wilayani Same, mkoani Kilimanjaro kuanzia tarehe 19 hadi 25 Machi 2025. Katika operesheni hiyo, ekari 285.5 za mashamba ya mirungi zimeteketezwa na watuhumiwa saba...
Wananchi wa kata ya Osunyai mtaa wa Ngusero wilaya ya Arusha jijini hapa wameungana kwa pamoja na kuchapisha vipeperushi mtaani vinavyoeleza kuchoshwa na uuzwaji wa madawa ya kulevya aina ya mirungi kama ilivyo mboga sokoni.
Vijana wa boda boda wamekuwa wakiingia na kutoka katika baadhi ya...
Mahakama ya kijeshi la jeshi la polisi imewatia hatiani wakaguzi waandamizi wanne wa polisi mkoani Arusha kwa makosa matatu ikiwemo kushawishi na kuomba rushwa ya shilingi milioni 10 na kuachia madawa ya kulevya aina ya mirungi kilo zaidi ya 1200 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 60...
Habari za hapa Jukwaani.
Kuna Muuzaji wa Mirungi maarufu pale Usangi wilaya ya Mwanga eneo la Ndanda maarufu kama Kijiweni.
Kuna Jamaa mmoja ikifika mida ya Jioni Pikipiki zinajaa pale Kijiweni kununua Mirungi na Bhangi.
Huyu Jamaa anahusika sana kuharibu sana Vijana pamoja kuongezeka Matukio...
Jeshi la Polisi Mkoani Manyara linamshikilia Askari wa Usalama Barabarani kutoka Mkoani Arusha SGT Ismael Katenya (48) anayeonekana pichani, kwa kosa la kusafirisha dawa za kulevya aina ya mirungi mabunda 340 yenye uzito wa kilo 140 iliyokua ameiweka ndani ya mabegi.
Taarifa ya Polisi Manyara...
Jeshi la polisi mkoani Kilimanjaro, limefanikiwa kukamata shehena ya dawa za kulenya aina ya mirungi ndani ya basi la Extra Luxuly lenye namba za usajili T643 DVL ikisafrishwa kutoka mkoani Arusha kwenda jijini Dar es salaam.
Habari kutoka ofisi ya kamanda wa polisi mkoani Kilimanjaro...
Jeshi la polisi limekamata kg 150 zikiwa zimepakizwa na pik pik mbili tofauti
Ingawa mirungi imepatikana kg 150 na pikpik zimekamatwa
Madereva husika wamekimbia (hapa ndipo najiulizaga).
Hawa nsdio tunafikiria watatupa michongo mizima nani kawatuma wanapokea toka wapi namba zao sasa...
Biblia inasema mungu akaumba majani ya kondeni ,na Kila Jani mungu anamakusudi nalo ,Kuna majani mungu aliyaumba yawe dawa mengine mboga! Na hata kiburudisho!
Mirungi inajiotea yenyewe maporini Huko , nimtu akitafuna eti anakamatwa! Wakukamatwa ni mungu ,na WA kuhojiwa ni mungu!
Bangi inaota...
Kishindo: Oparesheni maalum ‘Tokomeza Mirungi’, hekari 535 zateketezwa – Kilimanjaro
Hekari 535 za mashamba ya mirungi zimeteketezwa katika oparesheni maalum ‘Tokomeza Mirungi’, iliyoanzia kutekelezwa ndani ya vijiji vya Rikweni, Heikondi, Tae na Mahande, WIlayani Same, Mkoa wa Kilimanjaro ...
Ni kauli ya Meja Jenerali Mstaafu Kahinda Otafiire, aliyewaomba Wabunge wa Uganda kuondoa bidhaa hiyo katika orodha ya Vilevi vilivyopigwa marufuku Nchini humo.
Waziri huyo amesema, sidhani kama Mirungi ni hatari zaidi kuliko Kahawa na Pombe. Kwa hivyo mabibi na mabwana, naona bora tuiondoe...
Mshtakiwa Rhoda Salum (48) anayekabiliwa na kesi ya kusafirisha kilo 23.84 za mirungi, anakusudia kumwandikia barua Mkurugenzi wa Mashtaka Tanzania (DPP), akiomba kukiri shtaka lake na kupunguziwa adhabu ili waweze kuimaliza kesi hiyo.
Mshtakiwa anakabiliwa na shtaka moja la kusafirisha dawa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.