Mkuu wa Mkoa, unaweza kuongeza chanzo cha mapato kwa kuweka kodi maalum kwa stendi binafsi na mabasi yao

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,003
20,681
Naona fursa kwa serikali ya mkoa wa DSM, lakini wao hawaioni.

Hizo stendi binafsi zilipiwe tozo, hata kama milioni kadhaa kwa mwaka, na pia mabasi yote ya kampuni husika yalipie ushuru wa stendi ya Mbezi Magufuli, na wakitaka wanalipa in advance.

Mchezo umekwisha.

Ukiwa na stendi binafsi kumi, una karibu milioni 100 kwa mwaka
 
Wafanyabiashara wana nguvu kuliko serikali awamu hii. Wanaidindia serikali? Serikali??

Weka tizo ya laki 5 uone Kama watarudia
 
Maisha ya kipuuzi yamerudi, Sasa hivi serikali haina sauti pumbavu, ujinga mtu hivi mnajua sababu za kuhamisha stendi? Mnajua hoja za hao wapuuzi wakiwa ubungo terminal? Mkiruhusu hao vibwengo wawe na sauti dhidi ya serikali mmeisha maskini mnaotaka ubwete wa kupelekwa hadi makwenu mtalia sana, hata Ubungo na kariakoo vilianza kama mchicha.

Rais Samia akishindwa kusimamia hili la mabasi kushusha na kupark Magufuli terminal atapaswa ajitafakari yeye na watendaji wake .

Huu ujinga wa kukataa maendeleo ya ujumla katika uchumi wetu ni sumu mbaya sana.
 
Maisha ya kipuuzi yamerudi, Sasa hivi serikali haina sauti pumbavu, ujinga mtu hivi mnajua sababu za kuhamisha stendi? Mnajua hoja za hao wapuuzi wakiwa ubungo terminal? Mkiruhusu hao vibwengo wawe na sauti dhidi ya serikali mmeisha maskini mnaotaka ubwete wa kupelekwa hadi makwenu mtalia sana, hata Ubungo na kariakoo vilianza kama mchicha.

Rais Samia akishindwa kusimamia hili la mabasi kushusha na kupark Magufuli terminal atapaswa ajitafakari yeye na watendaji wake .

Huu ujinga wa kukataa maendeleo ya ujumla katika uchumi wetu ni sumu mbaya sana

Mbona watu hawakatai kutumia barabara ya mbezi, mbona watu hawakatai kutumia flyover, mbona watu hawakatai kutumia stendi ya morogoro.
 
Maisha ya kipuuzi yamerudi, Sasa hivi serikali haina sauti pumbavu, ujinga mtu hivi mnajua sababu za kuhamisha stendi? Mnajua hoja za hao wapuuzi wakiwa ubungo terminal? Mkiruhusu hao vibwengo wawe na sauti dhidi ya serikali mmeisha maskini mnaotaka ubwete wa kupelekwa hadi makwenu mtalia sana, hata Ubungo na kariakoo vilianza kama mchicha.

Rais Samia akishindwa kusimamia hili la mabasi kushusha na kupark Magufuli terminal atapaswa ajitafakari yeye na watendaji wake .

Huu ujinga wa kukataa maendeleo ya ujumla katika uchumi wetu ni sumu mbaya sana
Unataka Kutuaminisha Yaliyokuwa Mazuri Niya kuwajaza Machinga Kila Barabara Mpk Yakuingia Ikulu!!!??

Hakuna Mmiliki Wa Bus Aliyekataa Kuingia Magufuli Teminal .Shida Inakuja Pale Unapolazimisha Gari lishushe Abiria Wote Hapo Ingali Bado Linaendelea Na Safari.

Au Unapotaka Abiria Wote Ni Lazima Waanzie Safari Yao Hapo Magufuli Teminal.

Siyo Sawa Kabisa .Mabus Mengi Yanapaki Nakufanyiwa Matengenezo Katika Yard Zao Zilizopo Nje Ya Mbezi Je?Wawaache Wateja Wao.

Bus zilazimishwe Kuingia Magufuli Teminal Zilipe Ada Lkn Zisilazimishwe Kushasha Nakuanzia Safari Hapo .
 
Wafanyabiashara wana nguvu kuliko serikali awamu hii. Wanaidindia serikali??? Serikali????

Weka tizo ya laki 5 uone Kama watarudia
Kila stendi ikitozwa milioni tano kwa mwaka itafaa
 
Naona fursa kwa serikali ya mkoa wa DSM, lakini wao hawaioni.

Hizo stendi binafsi zilipiwe tozo, hata kama milioni kadhaa kwa mwaka, na pia mabasi yote ya kampuni husika yalipie ushuru wa stendi ya Mbezi Magufuli, na wakitaka wanalipa in advance.

Mchezo umekwisha.

Ukiwa na stendi binafsi kumi, una karibu milioni 100 kwa mwaka
Hii ni tabia ya kupenda kuvuna msichopanda. Serikali haipendi kuona Watanzania hasa weusi wakifanikiwa. Mnatafuta kila namna kuwakandamiza.

Mabasi ndiyo biashara pekee ambayo watz wazawa wanaimudu maana viwanda vyote wameachia Wahindi na wageni wengine. Ila hutasiki mkiwaza kuwawekea tozo wenye viwanda mnawaza tozo kwenye biashara za kina matonya na Maganga. Kina Kanjibhai mnawaogopa. Kwa nn msitoze tozo ya kutoa moshi viwandani?

Hawa wenye mabasi kwa taarifa yako tayari wanalipa pesa yote ya kuingia stand ya Magufuli wawe wameingia au hawajaingia na wanalipa in advance. Ni tozo gani tena unataka walipe?
 
  • Thanks
Reactions: 911
Unadhani hao jamaa hawalipi kodi za jiji?

Sema tu mna mkuu mmoja wa mkoa asiyewaza kutatua kero za wananchi.
 
Hili nalo wazo lako halipo serias, serikali wanatakiwa wajiulize kwanini hao wenye mabasi hawataki kuingia mbezi, wakishajua sababu waweke mazingira mazuri yenye kuvutia ili hao wenye mabasi waweze kuingia Mbezi, sasa leo hii ukimlazimisha mtu kama kilimanjaro atakuambia eneo la pale ni dogo. Je, kama serikali wamejipanga vipi kuongeza ukubwa wa eneo.
 
Hili nalo wazo lako halipo serias,serikali wanatakiwa wajiulize kwanini hao wenye mabasi hawataki kuingia mbezi,wakishajua sababu waweke mazingira mazuri yenye kuvutia ili hao wenye mabasi waweze kuingia mbezi,sasa leo hii ukimlazimisha mtu kama kilimanjaro atakuambia eneo la pale ni dogo,je kama serikali wamejipanga vipi kuongeza ukubwa wa eneo
Abiria anayekaa kigamboni akute basi hukohuko kigamboni, mbagala pia, vinginevyo, mabasi yanayotokea huko yaruhusiwe kuondoka saa kumi na moja kamili usiku, na yakifika st ndi ya Magufuli, yawe njia moja, yasisubiri foleni na mabasi mengine, kama ni kupita yapite tu, lakini one way, wasiwekewe zengwe la kusubiri sana, najua serikali inalilia ushuru, yasipopita hayalipi ushuru.
 
Naona fursa kwa serikali ya mkoa wa DSM, lakini wao hawaioni.

Hizo stendi binafsi zilipiwe tozo, hata kama milioni kadhaa kwa mwaka, na pia mabasi yote ya kampuni husika yalipie ushuru wa stendi ya Mbezi Magufuli, na wakitaka wanalipa in advance.

Mchezo umekwisha.

Ukiwa na stendi binafsi kumi, una karibu milioni 100 kwa mwaka
Hii sio fursa hata kidogo, World Bank walitoa report inayoitwa doing business roadmap na Tanzania ilitajwa kama nchi 121 kwa kuwa na mazingira ya kufanya biashara. Toka wakati huo mapambano yalielekezwa katika atleast tukitajwa tena basi tusizidi 2 digits, yaani tutoke kule kwa 120 tufikie angalau 90.

Ukweli mazingira ya kufanya biashara Tanzania ni magumu mno na anyesababisha ni serikali, taasisi zake na nyie wananchi wenye uwelewa duni. Si lazima serikali ipate katika kila biashara wakati mwingine iangalie manufaa wanayopata wananchi wake. Ukiangalia stand mpya utaona kabisa aliyebuni hakushirikisha wafanya biashara wala abiria yeye alikaa na wahafidhina warasimu wakapenda jengo.

Wafanyabishara wanashindana katika huduma wanazowapa abiria wao sasa ukilazimisha waende sehemu kuingia unalipia, choo unalipia na hakuna value yeyote anayepata abiria zaidi ya kero kwa wapiga debe. Waliotoa pesa zao wanatafuta wateja ili kurudisha mitaji yao na kupata faida. Tozo na ushuru ni mambo yanayofanya mazingira ya biashara kuwa magumu zaidi, mwambie mkuu wa mkoa aone huduma wanazopata watu wake na multiplier effects zaidi kuliko tozo ambazo ni kero zaidi kuliko kuleta faida. Serikali ipo kuhudumia watu wake wanaolipa kodi.

""Ukiwa na stendi binafsi kumi, una karibu milioni 100 kwa mwaka" haya ndio mawazo yenu yanayofanya nchi hii isiendelee. Ebu angalia kiasi gani cha kodi wamelipa, ajira walizopata watu wenu, diesel waliyonunua na kodi ulizokata huko.
 
Nchi itajengwa na wananchi kupitia Kodi na tozo
 
Back
Top Bottom