first lady

First lady is an unofficial title usually used for the wife, and occasionally used for the daughter or other female relative, of a non-monarchical head of state or chief executive. The term is also used to describe a woman seen to be at the top of her profession or art.The title has also been used for the wife of a head of government who is not also head of state. It has also been used to refer to the wives of the leaders of administrative divisions within a country.

View More On Wikipedia.org
  1. mwanamwana

    KWELI Rais Daniel Arap Moi alihudumu nafasi ya Urais bila kuwa na First Lady

    Kuna kijiwe huku Bonyokwa tunapiga stori za kawaida kuhusu nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki. Sasa kuna jamaa kasema kuwa Rais wa awamu ya pili nchini Kenya, Hayati Daniel Arap Moi wakati anaingia madarakani hakuwa na mahusiano kabisa na hakutaka kujihusisha nayo kabisa. Nguvu kubwa...
  2. Victoire

    Jamani yupo wapi "First Lady" Josephine Mushumbushi (Mrs Dr Slaa)

    Jamani huyu Mama ,nimeshangaa sijamuona katika kipindi hiki mme wake alipata misukosuko. Somo: Nyie wababa msiache wake wa ujana wenu. Mjue fainali uzeeni. Ninakumbuka kipindi kile Mama Rose Kamili na watoto wake.
  3. crankshaft

    Andaeni mashamba yenu mvua yaja, First Lady wa Kenya awaambia wakulima baada ya maombi ya kitaifa

    Mke wa Rais wa Kenya amewataka wakulima nchini humo kuandaa mashamba kwa ajili ya kilimo baada ya maombi ya kitaifa ya kuombea mvua katika taifa hilo lililokumbwa na ukame. Hata hivyo mamlaka ya hali ya hewa nchini Kenya imetabiri kuendelea kwa hali ya ukame nchini humo katika siku zijazo...
Back
Top Bottom