Kumbe kuna watu wanaenjoy kwenye ndoa? Nawachukia sana! Nasumbuliwa na post traumatic syndrome I hate all woman even my sister

Nesi mkunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2022
701
1,840
Nachukia ndoa na wala sipendi watu wanaofurahia ndoa zao na wala nawachukia those people who start to establish relationship na kwamba ndoa ni utapeli na kupotezeana muda tu and I hate those woman even my sister I hate too

Nasumbuliwa na post traumatic syndrome yaani ambapo nikitaka kuoa au kuingia kwenye mahusiano najikuta nachukia naona wanawake wote ni sawa yaani nahisi wanawake wote ni nyoka na nawachukia sana hao wanawake

Nahitaji ushauri nifanyeje? Nachukia watu wote walio kwenye ndoa wale wote wenye furaha kwenye ndoa naona na juzi nusu nimpige risasi mwanamke ambaye niko nae kwenye mahusiano!NAWACHUKI
 
Sio lazima uoe. Unalazimisha kitu ambacho hukiwezi. Unajipa stress za bure.
 
Nachukia ndoa na wala sipendi watu wanaofurahia ndoa zao na wala nawachukia those people who start to establish relationship na kwamba ndoa ni utapeli na kupotezeana muda tu and I hate those woman even my sister I hate too

Nasumbuliwa na post traumatic syndrome yaani ambapo nikitaka kuoa au kuingia kwenye mahusiano najikuta nachukia naona wanawake wote ni sawa yaani nahisi wanawake wote ni nyoka na nawachukia sana hao wanawake

Nahitaji ushauri nifanyeje? Nachukia watu wote walio kwenye ndoa wale wote wenye furaha kwenye ndoa naona na juzi nusu nimpige risasi mwanamke ambaye niko nae kwenye mahusiano!NAWACHUKI
Ni wivu sio chuki. Kila mtu na bahati yake, maisha ndio yaliyo. Huna haja ya kuwa muoga, jaribu bahati yako kwa mtu mwingine!
 
Nachukia ndoa na wala sipendi watu wanaofurahia ndoa zao na wala nawachukia those people who start to establish relationship na kwamba ndoa ni utapeli na kupotezeana muda tu and I hate those woman even my sister I hate too

Nasumbuliwa na post traumatic syndrome yaani ambapo nikitaka kuoa au kuingia kwenye mahusiano najikuta nachukia naona wanawake wote ni sawa yaani nahisi wanawake wote ni nyoka na nawachukia sana hao wanawake

Nahitaji ushauri nifanyeje? Nachukia watu wote walio kwenye ndoa wale wote wenye furaha kwenye ndoa naona na juzi nusu nimpige risasi mwanamke ambaye niko nae kwenye mahusiano!NAWACHUKI
Kaka achana na huyo Mnyantuzu...... Inaonekana anakuzibua akili. Mwanzo Ulianza kumsifia humu Sasa anakuchanganya
 
Back
Top Bottom