father's day

Father's Day is a day of honouring fatherhood and paternal bonds, as well as the influence of fathers in society. In Catholic countries of Europe, it has been celebrated on November 16 as Saint Joseph's Day since the Middle Ages. In America, Father's Day was founded by Sonora Smart Dodd, and celebrated on the third Sunday of June for the first time in 1910. The day is held on various dates across the world and different regions maintain their own traditions of honouring fatherhood.
Father's day complements similar celebrations honouring family members, such as Mother's Day, Siblings Day and Grandparents' Day.

View More On Wikipedia.org
  1. Elevenn

    JamiiForums Tanzania Wakati kataa ndoa mnakomaa, wanaume kamili Wali enjoy Father's day

    Hivi huwa najiuliza what do men live for? Tuwe na majumba makubwa? Magari? Tupate recognition na fame? Lahasha, vitu vyote hivyo ni temporary fulfillment. Nothing beats a better family, a better wife, with children. No money, no accolades, no fame can ever buy it. Chekini real men wa...
  2. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Naona jamii sasa imeamka kumuadhimisha baba katika 'Father's Day'

    Kwa miaka mingi, imekuwa kawaida kuona Mother's Day ikipewa uzito mkubwa, huku Father's Day ikipita kimya kimya kwa watu wengi. Lakini safari hii nimeona jambo tofauti; watu wengi zaidi wamejitokeza kuwapongeza na kuwaenzi baba. Hili ni jambo la kutia moyo. Naam, inaonekana jamii imeanza...
  3. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Moja ya zawadi bora Baba unayoweza kutoa kwa watoto wako ni uwepo wako

    Moja ya zawadi bora baba unayoweza kutoa kwa watoto au mtoto wako ni uwepo wako, ndio uwepo wako kwa hao watoto ni zawadi, utawapa kujiona kuwa unawathamini na kuwajali kwa kuwa karibu nao, kuzunguza nao, kucheza nao na kuwasikiliza wanasema ninj kwako kuhusu mahitaji yao, na maisha yao kwa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania To all fathers, may God bless you abundantly.

  5. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Happy Father's Day kwa akina baba wote JF na Dunia kwa ujumla. Una ujumbe gani kwa Baba yako leo?

    Wakuu salama? Leo 16/6/2024 ni Siku ya akina Baba Duniani/Father's Day (ambayo husheherekewa kila Jumapili ya tatu ya Mwezi Juni). Kwa maoni siku hii hatuwasherekei tu wanaume wenye watoto/wanaoitwa baba na wenye upendo kwa watoto wao bali pia tunawasherekea: - Wale wote wanaotamani kuwa...
  6. Joanah

    JamiiForums Tanzania Happy father's day...

    Happy father's day to my father na baba wote wanaotambua majukumu yao na hata waliopitiwa kwa namna moja ama nyingine katika kufanya majukumu yao Uwepo wenu ni muhimu sana katika maisha yetu. Kumbukumbu zangu za tangu utotoni nyingi nzuri ninazo za baba zaidi kama. Zile outings 😊Siku ya kwanza...
  7. ladyfurahia

    JamiiForums Tanzania Happy father's day

    Habari wadau Leo ni kumbukizi ya wababa duniani nami nawatakia heri na fanaka katika kumbukizi hii especial dady wangu namlavu sana kwa kunilea na kunitunza mpaka niko hivi Pia sitamsahau dady yetu wa jf Watu8 kwa kutupa maadili sisi watoto wake wote pacha wetu Passion Lady na Lady doctor...
Back
Top Bottom