Je huyu ndiye best first lady of All time ?

Nimemsikiliza huyu first lady wa sierra Leone na kumfuatilia kwa ukaribu kwa kweli Africa bado tuna vichwa nadhani kwa upande wangu ni first lady bora kabisa .

Ukimsikiliza unaona kabisa ana uwezo wa kumshauri Rais .​
View attachment 2998996
Tatizo kubwa ni ukosefu wa elimu. Mifumo yetu ya TISS ilijengwa si kwa weledi wa uwezo wa akili hapo mwanzo bali ulikuwa based on kufahamiana matokeo yake walishindwa kuja na model ya ujasusi wa kiuchumi. Na ni kweli wakoloni walivyoondoka mifumo yao ya TISS iliendelea kufanya kazi mpaka leo kwa kuwa na ule mfumo wa kikoloni kuwa ukikiuka wanakuua ila kama nchi tulipaswa tuwe na mkakati wa kwetu wa ujasusi wa kiuchumi. Mi naamini kipo kizazi kitakuja kitakataa haya yote ila siyo kizazi chetu hiki cha uchawa na kuogopa.
 
Nimemsikiliza huyu first lady wa sierra Leone na kumfuatilia kwa ukaribu kwa kweli Africa bado tuna vichwa nadhani kwa upande wangu ni first lady bora kabisa .

Ukimsikiliza unaona kabisa ana uwezo wa kumshauri Rais .​
View attachment 2998996
The end justifies the means bro. Ndio anaanza ushamsifia? Kawaulize Wazambia walivyomsifia Rais wao Hakainde Hichilema alipoingia madarakani na kuanza kuongea maneno mazuri mazuri. Leo kawaulize!!
 
Back
Top Bottom