ajali ya basi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abou Shaymaa

    Basi Kampuni ya Baraka kutoka Newala - Dar lapata ajali na kusababisha vifo 14

    Wakuu mwenye taarifa kamili atujuze maan kuna ndugu yetu tumepewa taarifa kafariki alikuwa humo, Innalillah wainna ilayhi raajiu'uun ===== Watu 14 wamefariki dunia na wengine 26 wakijeruhiwa katika ajali iyohusisha basi la Kampuni ya Baraka Classic, yenye namba za usajili T 336 DPW, inayofanya...
  2. W

    Je, unaikumbuka ajali ya basi la UDA Oysterbay/Masaki?

    Wakati niko nasoma pale Nusery school hapo pale pembeni ya Oysterbay Primary school , tulipata taarifa kwamba kuna basi la kati ya UDA au Kamata limepata ajali meneo ya Kilima Masaki na kwamba kuna wanafunzi wame laliwa na bus na kuwaua. Habari hiyo ilinitisha mpaka leo nakumbuka ile...
  3. Mwl.RCT

    Morogoro | Ajali ya basi la Abood yawaua wawili , Wengine wajeruhiwa

    WATU wawili wamefariki dunia na wengine wawili kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha basi la Kampuni ya Abood na Noah zilizogongana uso kwa uso asubuhi ya leo Septemba 11, 2023 eneo la Kitungu Manispaa ya Morogoro. Ajali hiyo imehusisha basi lenye namba za usajili T904 DKY mali ya Kampuni ya...
  4. BARD AI

    Senegal: Ajali nyingine ya Basi yaua watu 19, ni ya pili ndani ya Januari

    Watu 19 wamefariki na 24 kujeruhiwa katika ajali ya barabarani iliyotokea leo Januari 16, 2023, Rais Macky Sall amesema, ajali hiyo ya pili ni kubwa na kuwataka Madereva kuwa makini Barabarani. Kwa mujibu wa taarifa ya Rais kuptitia Twitter, ajali hiyo ilitokea kati ya miji ya kaskazini ya...
  5. BARD AI

    Uganda: Ajali ya Basi yaua watu 16 na kujeruhi zaidi ya 20

    Takriban watu 16 wamefariki na wengine 21 kujeruhiwa baada ya basi lililokuwa likielekea Gulu kugonga na Trela la Lori katika kituo cha biashara cha Adebe huko Kamdini kando ya barabara kuu ya Kampala-Gulu kaskazini mwa Uganda . Polisi walisema watu hao 12 walifariki papo hapo, huku wengine...
  6. Mzalendo39

    Ajali ya Basi la Arusha Express na Lori yaua watano Dodoma

    Ajali muda huu maeneo ya Mzakwe (Dodoma)basi la Arusha Express likitokea Arusha kueleka Dodoma. Tusubiri mamlaka husika zitatoa taarifa za vifo na majeruhi ==== Ajali imetokea mchana huu eneo la Veyula mjini Dodoma. Basi kampuni ya ARUSHA express ikitokea Arusha kwenda Mbeya, Imegongana uso...
  7. beth

    India: Ajali ya basi yaua watu 22

    INDIA: Takriban watu 22 wamefariki dunia na wengine 7 kujeruhiwa vibaya baada ya Basi kutumbukia kwenye korongo eneo la Uttarkashi, Ukanda wa Kaskazini mwa Nchi hiyo. Basi hilo lilikuwa na watu 30, na mmoja bado hajulikani alipo Kwa mujibu wa Serikali ya India, inakadiriwa watu 150,000 hufariki...
  8. JanguKamaJangu

    Singida: Basi la Kampuni ya Falcon lapata ajali kwa kugonga Lori kwa nyuma

    Basi la Kampuni ya Falcon lililokuwa safarini kutoka Tarime kwenda Jijini Dar es Salaam limepata ajali usiku wa kuamkia leo Jumamosi Aprili 02, 2022 maeneo ya Shelui Iramba Mkoani Singida baada ya kugonga Lori kwa nyuma. Idadi ya majeruhi bado haijafahamika. Taarifa zaidi zinafuata...
  9. Medecin

    Mikumi: Basi Standard Coach lililokuwa likitokea Iringa kwenda Dar es Salaam lapata ajali

    Ajali ya basi la Standard Coach kutokea Iringa kwenda Dar. Saa tatu asubuhi hii imetokea ajali ya basi la Standard Coach lenye namba za usajili T543 CSF lililokuwa likitokea mkoani Iringa kwenda Dar es Salaam. Ajali imetokea maeneo ya Mikumi wilayani Kilosa eneo maarufu kama kona za Iyovi...
  10. Nyendo

    Shinyanga, Buyubi: Watu 3 wadaiwa kufariki dunia kwa ajali ya basi, 34 wajeruhiwa

    Watu 3 wanadaiwa kufariki na wengine 34 wakijeruhiwa baada ya basi la kampuni ya Classic lililokuwa likitokea Kampala kuelekea Dar kupata ajali eneo la Buyubi Shinyanga. Baadhi ya majeruhi kwenye ajali hiyo wamesema kuwa dereva wa basi hilo alishindwa kuimudu kona ya Didia. Watu watatu...
Back
Top Bottom