Abou Shaymaa

JF-Expert Member
Oct 19, 2022
502
1,026
Wakuu mwenye taarifa kamili atujuze maan kuna ndugu yetu tumepewa taarifa kafariki alikuwa humo,
Innalillah wainna ilayhi raajiu'uun

=====
Watu 14 wamefariki dunia na wengine 26 wakijeruhiwa katika ajali iyohusisha basi la Kampuni ya Baraka Classic, yenye namba za usajili T 336 DPW, inayofanya safari yake kutoka wilayani Tandahimba, mkoani Mtwara, kuelekea jijini Dar es Salaam.

Waliofariki ni waliokuwa abiria wa basi hilo ni 12 na 2 ni watembea kwa miguu ambao waligongwa na basi hilo.

20231126_102255.jpg
20231126_102248.jpg
20231126_102252.jpg

 
Wakuu mwenye taarifa kamili atujuze maan kuna ndugu yetu tumepewa taarifa kafariki alikuwa humo,
Innalillah wainna ilayhi raajiu'uun

=====

Ajali ya Bus Baraka Classic ikitokea #Newala uelekeo Dar.

Taarifa kamili itatolewa na mamlaka husika.

Pole kwa Abiria wa Baraka, Dereva na Kampuni nzima kwa ajali hii
View attachment 2825442View attachment 2825443View attachment 2825444
Pole kwa majeruhi na familia za wahusika.
Tuache uchunguzi ufanyike, nyum ya hizo ajali kuna mengi japo Hakuna uchunguzi umewahi kusema kuwa tajiri alitoa kafara au alitaka alipwe na bima basi lingine>
 
Back
Top Bottom