Search results

  1. Merci

    Mkakati wa kuwa na Bima ya Afya kwa wote na kuikuza NHIF

    Mheshimiwa Rais, naomba upokee maoni haya kuhusu NHIF. Ili kufikia lengo la afya kwa wote na pia kuwa na NHIF stable, ni vema kila raia wa Tanzania mwenye NIDA hadi watoto wasajiliwe na kuwa wanachama wa NHIF. Michango ya NHIF iwekwe kwenye mfumo wa TOZO kwenye bidhaa kama umeme, maji na mizigo...
  2. Merci

    Pambano la ngumi kati ya Liam Smith Vs Hassan Mwakinyo

    Fuatilia pambano la masumbwi kati ya bondia wetu Hassan Mwakinyo dhidi ya Liam Smith leo tarehe 3 saa nne na nusu usiku huu kupitia link hii https://www.vipleague.st/boxing-sports-stream
  3. Merci

    Boxing: Liam Smith vs Hassan Mwakinyo

    Angalia pambano la ngumi kati ya Liam Smith vs Hassan Mwakinyo kuanzia saa nne na nusu usiku wa leo tarehe 3 kuptia link hii hapa chini. https://www.vipleague.st/boxing-sports-stream
  4. Merci

    Namna nzuri ya kutatua changamoto ya machinga na wafanyabiashara ndogo pembezoni mwa barabara na maeneo yasiyo rasmi

    Kwa kuzingatia yakua machinga na wafanya biashara ndogo ndogo nao huchangia katika pato la Taifa na la kwao moja kwa moja, ni vema kufikiria na kuweka njia nzuri ambayo itawafanya waendelee kutumia maeneo hayo kwa shughuri zao za kiuchumi. Mfano, unakuta migambo na askari wa jiji wakipambana...
  5. Merci

    Angalia pambano kali la ndondi (Boxing) kati ya Canelo Alvare vs Caleb Plant

    Wale wapenzi wa boxing unaweza kuangalia sasa pambano la Canelo vs Plant kupitia link hii Boxing : Canelo Alvare vs Caleb Plant - HesGoal.Com Sports News
  6. Merci

    Once and for all Tyson fury vs Deontay wilder iii live now

    Kwa wale wapenda michezo hasa ndondi aka boxing, mnaweza kuangalia pambano now live kupitia Live Once and For All: Tyson Fury vs Deontay Wilder III Online | Once and For All: Tyson Fury vs Deontay Wilder III Stream
  7. Merci

    Nauza Kiwanja Mabwe Pande karibu na Mto Mpiji kina ukubwa wa Mita 25 kwa 20

    Nauza kiwanja chenye ukubwa wa mita 25 kwa 20 kilichopo Mabwe Pande karibu na mto Mpiji kwa Tsh 5M. Umeme upo tayari kiwanjani na pia Kiwanja hiki hakijapimwa. Nipigie 0736770052
  8. Merci

    Rais Samia, unaweza kuanzisha timu ya mpira wa miguu kuchochea ajira na 'legacy' yako

    Ahsante sana mama yetu mheshimiwa rais kwa kuanza kuja maeneo yetu sisi wananchi wako kututembelea, tumekuona na umesikia na kufahamu adha mbalimbali tunazopata na hata kuwachukulia hatua watendaji mbalimbali ambao hawaleti ubunifu katika kutatua kero zetu au hata kuongeza ugumu wa maisha...
  9. Merci

    Car4Sale Gari mpya aina ya IST yenye cc 1490 ya mwaka 2004 inauzwa

    Nauza IST mpya kabisa haijasajiliwa na ina cc 1490 ya mwaka 2004 kwa bei ya TZS 12,000,000 ikiwa imejumuisha kodi na gharama za kutolea bandarini. Tuwasiliane kwa namba 0736770052.
  10. Merci

    IST mpya ya 2004, CC 1490 inauzwa TZS 12,000,000.

    Nauza IST mpya kabisa haijasajiliwa na ina cc 1490 ya mwaka 2004 kwa bei ya TZS 12,000,000 ikiwa imejumuisha kodi na gharama za kutolea bandarini. Tuwasiliane kwa namba 0736770052.
  11. Merci

    Kiwanja kinauzwa kipo Mambwepande

    Kiwanja chenye ukubwa wa mita 20 kwa 40 kilichopo Mabwe Pande DSM kinauzwa bei TZS 7M na umeme upo karibu na kiwanja. Napatikana kwa 0736770052.
  12. Merci

    Ni akili kubwa kwa mwanaume kutokuoa mapema

    Swalama wanajamvi, baada ya kuongea na jamaa zangu kadhaa nimegundua wanaume wengi kwenye ndoa hawako na net positive, hapa namaanisha ndoa ni kama biashara yaani kuna mapato na matumizi sasa kinachobaki ndo faida au hasira. Lakini inaonekana wanaume wengi kwenye ndoa wako na hasara. Baada ya...
  13. Merci

    Kumuenzi na kumpa hamasa Rais wetu mpendwa ya kuendelea kufanya juhudi za kimaendeleo

    Kuna umuhimu mkubwa sana wa kujenga sanamu la mheshimiwa Rais wetu mpendwa maana juhudi zake za kuliletea taifa maendeleo ni kubwa sana na hatujawahi kuziona mfano ujenzi wa stiglers gorge, kupambana na rushwa na kuzuia utoroshwaji na uwizi wa madini hasa ya Tanzanite. Hivyo ni vizuri kuonyesha...
  14. Merci

    Uzalendo na kumuenzi Rais wetu mpendwa kwa juhudi zake za kimaendeleo

    Kuna umuhimu mkubwa sana wa kujenga sanamu la mheshimiwa Rais wetu mpendwa maana juhudi zake za kuliletea taifa maendeleo ni kubwa sana na hatujawahi kuziona mfano ujenzi wa stiglers gorge, kupambana na rushwa na kuzuia utoroshwaji na uwizi wa madini hasa ya Tanzanite. Hivyo ni vizuri kuonyesha...
  15. Merci

    Raha unayoipata ukiwa na babe wkt wa kusafiri na ndege

    Huwa unajiskiaje pale uko na babe pembeni wakati wa safari ya ndege. Yaani ni wakati gani kati ya haya yafuatayo ambapo huwa unijiskia raha unayoijua mwenyewe pale uposafiri na ndege? 1. Pale unapofika airport na kuwatazama wale wasindikizaji wanapokuangalia ukielekea kwny mstari wa kukaguliwa...
  16. Merci

    Usafiri wa ndege na raha unayoijua mwenyewe

    Je ni wakati gani kati ya haya yafuatayo ambapo huwa unijiskia raha unayoijua mwenyewe pale uposafiri na ndege? 1. Pale unapofika airport na kuwatazama wale wasindikizaji wanapokuangalia ukielekea kwny mstari wa kukaguliwa ticket na kitambulisho; 2. Au pale ukipewa boarding pass; 3. Au pale...
  17. Merci

    Tafakari yangu kwa wafanyakazi wenzangu

    Baada ya kukaa ofisini kwangu kwa muda asubuhi hii nikaona nipitie sheria ya kodi ya mapato kwa mfanyakazi. Hapa ndo nikabaki na butwaa kubwa why serikali inanyonya wafanyakazi namna hii? Kweli kabisa inakata 30% ya salary inayozidi 720,000 yaani almost 50% ya pesa yote unayolipwa zaidi ya laki...
  18. Merci

    Dinning table inauzwa bei chee

    Dinning table ya kisasa kabisa inauzwa bei laki 7. Call 0653770052
  19. Merci

    Original weaves

    Nauza original human hair weaves ambazo unaweza kuzipasi, kutong, kuziosha na kuzistyle upendavyo na unahitaji bunda moja tu, pia utaweza letewa ulipo. Zipo za inchi 8 bei elfu 55, za inchi 10 bei elfu 90, za inchi 12 bei laki moja na za inchi 14 bei laki na elfu 40. Call 0653770052
  20. Merci

    Kiwanja kinauzwa

    Nauza kiwanja kipo mbezi msumi eneo la goba mpakani na ni karibu na shule ya msingi goba mpkanai au Tegeta A. Kina ukubwa wa mita 20 kwa 20 (sqm 400) na panafikika vizuri pia ni tambarare. Bei ni 2.5M Wasiliana nami kuona kwa 0653770052
Back
Top Bottom