Ni akili kubwa kwa mwanaume kutokuoa mapema

Ni akili kubwa kwa mwanaume kutokuoa mapema

Merci

Member
Joined
Feb 6, 2012
Posts
92
Reaction score
139
Swalama wanajamvi, baada ya kuongea na jamaa zangu kadhaa nimegundua wanaume wengi kwenye ndoa hawako na net positive, hapa namaanisha ndoa ni kama biashara yaani kuna mapato na matumizi sasa kinachobaki ndo faida au hasira.

Lakini inaonekana wanaume wengi kwenye ndoa wako na hasara. Baada ya tafiti nineona wengi walikua kind trapped kuoa bila kuangalia gharama ya kuoa au faida ya kile anachopoteza kwa kuoa. Ndo maana kuna friends wangu wako nje ya TZ kila mwenzetu akioa wanacomment "another fool has fallen into the trap😆😆?

So before marriage wanaume inafaa kufanya tathimini pana ya kwanini unataka kuoa. Kama unaweza kupata maziwa na nyama nikwanini ufuge ng'ombe?
 
Tathimini ya kuoa ni kama kutuambia tuwekeze hela kwaajili ya jeneza la kutuzikia

Hili haliwezekaniki

ndoa siku zote huwa ina mambo yanahitaji wanaume hayaitaji wavulana

Mwanaume ni mtu alie kamilika katika idara ya kuelewa mambo mengi
Kiukweli ni kwamba wanaume huwa tunaoa kwa sababu ya sex na mara nyingi wengi huwa hawalioni hili na wanawake wengi huwa wanaolewa kwa sababu ya rasilimali na mara nyingi wao hujua hili. So ninachosema ni kwamba ni muhimu maamuzi ya kuoa kwanza yasiwe ya mapema au haraka au any pressure bali yawe yana tathmini ya kina kwanini mwanaume umeamua kuoa. Mara nyingi ile cjui love huwa inaisha baada ya miezi 6 ya kuoana. So suala la kusema cjui huyu mwanamke nampenda sana man unajidanganya, maamuzi ya ndoa ni mazito hayapaswi kuangalia tu love.
 
Sawa mkuu
 
Kama huwezi kusimamia kafamilia kenye watu chini ya 7 wewe wa hovyo na huwezi kujisimamia wewe mwenyewe.
Achana na falsafa za kijinga ,OA
 
Mimi huwa najiuliza hivi wanaume kinachowafanya waogope kuingia kwenye ndoa ni nini? After all wao ndiyo watawala na ndiyo vichwa vya familia, wana maamuzi ya mwisho na hakuna wa kuwapangia cha kufanya, wana uhuru wa kutosha, na wanaweza kufanya chochote wanachojisikia kwenye ndoa, tofauti na wanawake ambao kwao ni kinyume chake!

Mimi nilidhani wanawake ndiyo wanatakiwa waogope kuingia kwenye ndoa na siyo wanaume. Lakini nashangaa eti wanaume ndiyo wanaoongoza kwa kulalamika kuhusu ndoa.
 
Ukweli ni kuwa kipimo cha mtu mwenye akili timamu hasa kwetu sisi wanaume ni KUOA, kinyume chake ni uhayawani, hili ndio huanza.

Lakini ujinga wa wale wasio oa na wale walio oa kisha wakalalama huwa hawaangalii wapi wamekosea na watu wanatakiwa kuwa wakweli. Ukweli mwingine uko hivi huwezi kuwa mwema ukapata asie mwema. Bali unapata wa kufanana nae.
 
Mimi huwa najiuliza hivi wanaume kinachowafanya waogope kuingia kwenye ndoa ni nini?
Hao wenye kuogopa kuingia kwenye ndoa ni WAJINGA wasio kuwa na fikra pana zaidi ya kuwaza hapa na ufuska.

Bali wanakosa sifa za Uanaume. Hakuna mwanaume kamili anae ogopa kuoa, ndio maana huwa tunasema hivi "Kwenye Wanaume kuna Wanaume".
 
Back
Top Bottom