Usafiri wa ndege na raha unayoijua mwenyewe

Merci

Member
Feb 6, 2012
90
135
Je ni wakati gani kati ya haya yafuatayo ambapo huwa unijiskia raha unayoijua mwenyewe pale uposafiri na ndege?
1. Pale unapofika airport na kuwatazama wale wasindikizaji wanapokuangalia ukielekea kwny mstari wa kukaguliwa ticket na kitambulisho;
2. Au pale ukipewa boarding pass;
3. Au pale ukikaa kusubiri boarding time huku unapata kiburudisho toka zile cafe za airport ndani;
3. Au ni pale ukiskia tangazo la maelekezo ya boarding;
4. Au ni pale ukiingia kwny zile shuttle bus za airport kuelekea kwny ndege;
5. Au ni pale ukiwa unaweka bag dogo lako kwny zile locker za ndani na kisha ukifunga mkanda na kuskiliza announcement za air hostess;
6. Au ni pale ndege ikiwa iko inafanya taxing;
7. Au ni pale ndege ikiwa kwny runway full speed;
8. Au pale sasa ndege ikiwa imeanza kuruka na mdogo mdogo inaelekea juu;
9. Au ni pale air hostes wakitangaza muda si mrefu wataanza kupitisha viburudisho;
10. Au ni pale ndege ikiwa inatikisika kutokana na mawingu;
11. Au ni pale ukiskia tangazo toka kwa rubani yakua baada ya muda mfupi ndege itaanza descending kuelekea kutua;
12. Au ni pale ndege ikiwa inaanza kukaribia chini na kufanya landing;
13. Au ni pale ikiwa inakimbia kwa spidi na kali imetua na kisha reverse thrust aka breki kuwa engaged na pilot kisha ndege kupungiza spidi;
14. Au ni pale ndege ikiwa imesimama na unatoka nje;
15. Au ni pale ukiwa unasubiri mzigo wako;
16; Au ni pale ukiwa unatoka nje na kuona wapokeaji wanawatazama kucheck ndugu zao.
 
M

Mimi huwa napenda pale ikiwa full speed kwny runway
 
16
 
Pale napokaa kwwnye siti yangu alafu nikakuta nimekaa na mtoto mwenye chura.. Ihope hii haipo kwenye menyu yako
 
8. Ndege wakati inanyayuka na kuelekea juu, ni kama umetwishwa kitu kizito kichwani au mwili na unajitahidi kujinyanyua... hakuna raha yoyote...

11. Ndege muda inajiandaa kutua, kule kushushwa kwa ndege kuna hali fulani hivi unaisikia endapo itashushwa kwa nguvu unaweza jikuta haja ndogo inatoka...

Raha ni pale mnapofikia kwenye destination ya kuunga ndege nyingine....

Na mnatangaziwa, mna masaa nane ya kusubiria ndege itakayo waunganisha...

pale ni unazurura mpaka unachoka...

Cc: mahondaw
 
Je ni wakati gani kati ya haya yafuatayo ambapo huwa unijiskia raha unayoijua mwenyewe pale uposafiri na ndege?
1. Pale unapofika airport na kuwatazama wale wasindikizaji wanapokuangalia ukielekea kwny mstari wa kukaguliwa ticket na kitambulisho;
2. Au pale ukipewa boarding pass;
3. Au pale ukikaa kusubiri boarding time huku unapata kiburudisho toka zile cafe za airport ndani;
3. Au ni pale ukiskia tangazo la maelekezo ya boarding;
4. Au ni pale ukiingia kwny zile shuttle bus za airport kuelekea kwny ndege;
5. Au ni pale ukiwa unaweka bag dogo lako kwny zile locker za ndani na kisha ukifunga mkanda na kuskiliza announcement za air hostess;
6. Au ni pale ndege ikiwa iko inafanya taxing;
7. Au ni pale ndege ikiwa kwny runway full speed;
8. Au pale sasa ndege ikiwa imeanza kuruka na mdogo mdogo inaelekea juu;
9. Au ni pale air hostes wakitangaza muda si mrefu wataanza kupitisha viburudisho;
10. Au ni pale ndege ikiwa inatikisika kutokana na mawingu;
11. Au ni pale ukiskia tangazo toka kwa rubani yakua baada ya muda mfupi ndege itaanza descending kuelekea kutua;
12. Au ni pale ndege ikiwa inaanza kukaribia chini na kufanya landing;
13. Au ni pale ikiwa inakimbia kwa spidi na kali imetua na kisha reverse thrust aka breki kuwa engaged na pilot kisha ndege kupungiza spidi;
14. Au ni pale ndege ikiwa imesimama na unatoka nje;
15. Au ni pale ukiwa unasubiri mzigo wako;
16; Au ni pale ukiwa unatoka nje na kuona wapokeaji wanawatazama kucheck ndugu zao.
REminiscence
 
Na enjoy usafiri wa ndege pale ninapoenda sehemu ambayo sijawahi kufika
Ila hii ya dar to kia dar to mwanza i take kawaida
 
Daah mi napenda ikiwa kwenye runway ikikimbia kwa spidi na wakati wa kupaa!! Huwa nasikia raha sana hasa ukiwa kwenye ndege kubwa kama Airbus A350 au 380.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom