Search results

  1. E

    Makonda Vs Lema Arusha 2025?

    Mhe Makonda karibu jimboni Arusha utuwekee mazingira mazuri ya CCM kushinda 2025. Mhe Lema uchaguzi 2025 haitakua rahisi jiandae kisaikolojia.
  2. E

    Tanzania bingwa AFCON 2024

    Ilani imeweka wazi umuhimu wa michezo. Kilichobaki Ni utekelezaji wake tu. Asanteni
  3. E

    Qatar Airways route za Dar/KIA analeta mikangafu!

    Hawa wamanga wanatuchukulia poa Siku ya kuondoka tulipandishwa kwenye Ngalangala (chata la Oman Air) siti mbovu, in-flight entertainment hamna, Ila Doha-New York full chuma, siku narudi nako DOHA-Dar full kangafu limepauka mpaka rangi. Hii Imekaaje?
  4. E

    Katibu Mkuu Mteule CCM ndie ataratibu mchakato wa kupata wagombea 2025 - busara itumike kumpata

    1. Katibu Mkuu (Afisa Mtendaji Mkuu/CEO) ndie atakayeratibu zoezi la kupata wagombea nchi nzima. 2. Apatikane Kiongozi Makin, mtulivu, Msomi na mwenye uzoefu katika Siasa na uongozi. NB: Akitokea Zanzibar (sehemu ya Muungano) sio dhambi.
  5. E

    Kitu kidogo tu, Mke analipuka zaidi ya Bomu!

    Nimeoa miaka kadhaa iliyopita. Sasa unaweza ukawa unauliza kitu simple tu kwa wife (mfano ikiwa kakuandalia nguo za safari, Kama ameweza kwenda kufuatilia ulichomuagiza asubuhi). Aisee yatamtoka maneno Hadi unajuta kuuliza hata Kwa nini ulioa. NB: vijana chukueni tahadhari msije kukumbatia...
  6. E

    Big November Crusade ilibadili Dar

    Niwe mkweli mikutano hii ya injili ilibadili maisha ya wengi tena baadhi waliacha uovu na kumrudia Mungu. Leo hii viongozi wetu wa DINI hawana hii mikutano mikubwa ya INJILI ya kuwaleta watu wamjue Mungu. Kwa nini? NB: Tulijaa kwa maelfu pale uwanja wa JANGWANI miaka ya 1991-1994.** RIP...
  7. E

    Maonyesho ya Lndcruiser V8 Dodoma!

    Ikiwa unataka kujionea kwa wingi Landcruiser V8 tembelea jijini Dodoma, kila baada ya dakika 2 Lazima upishane na chuma jipya V8 LC300 NB: Kama biashara Toyota wameuza hapa Dom aisee
  8. E

    Suzuki Escudo. Mwenye kuijua Spea, Mafuta & Utunzaji

    Wakuu katika kuzunguka mtandaoni nimepata Suzuki Escudo 2700cc, MT, japo Bei imechangamka Ila naimudu. Mwenye kujua gari tajwa anishauri kabla sijatuma pesa. Asanteni
  9. E

    Suzuki Grand Escudo: Ipoje >> Speak, Mafuta?

    Wakuu nimeichek hii nimeona Kama itanifaa kwa ninapoishi kuna makorongo Sana. Vipi Spea zake? **Correction: Speak= Spea
  10. E

    Mke kufurahia anguko la Mume

    Katika maisha ya ndoa niliwahi kushuhudia mke wangu wakati fulani anafurahia magumu ninayopitia kazini (demotion na suspension). Tukigombana kidogo tu anabwatuka na utafukuzwa hiyo kazi. Lakini nashukuru Mungu leo hii nafuu kubwa Sana (nilipata kazi nyingine na mshahara mkubwa Zaidi). Wakati...
  11. E

    Nitawezaje kufanya biashara bila mke kujua?

    Wakuu nimeanzisha biashara ya Duka rejareja na Saloon ya kiume. Changamoto iliyopo ni kelele za mke wangu. Pindi akijua na ku-access zilipo. Makelele yake yatapeperusha wateja wote. Maana mwanzoni nilishawahi kumuanzishia biashara ya duka la nguo na mini-super market vyote vikafa baada ya muda...
  12. E

    Mke anaweza kukuharibia mafanikio maishani

    Kijana chunga sana mtu unayemuoa. Kuna baadhi yao wanaweza kukuharibia malengo yako. Usifuate wezere tu.
  13. E

    Rais Mstaafu Zanzibar anaweza kushiriki Mo Ibrahim Award?

    Wote tunaifahamu Mo Ibrahim Award on Good Governance je Rais Mstaafu (yeyote) wa Zanzibar anaweza kushiriki (achilia mbali kushinda).
  14. E

    UTABIRI: Tanzania Tourist Board kuvunjwa!!!

    Kutokana na jinsi Taasisi (tajwa) inavyoendeshwa, naona uhai wake upo shakani, Ni hivi karibuni Mkurugenzi Mtendaji wa TTB amesikika akisisitiza Watalii/Watanzania watembelee Israel, unabaki kujiuliza ameshindwa kuwaalika watalii toka Israel na kwingineko kuja kutembelea Tanzania, sasa amekuwa...
  15. E

    Can a South African White Lady marry Black Guy?

    Wandugu nimekaa kwa muda wa miaka 4 Nchini Afrika Kusini, ni ngumu kukuta mwanaume/mwanamke Ngozi nyeusi (black) akiwa na mahusiano na mzungu/kaburu? Mwenye kujua tafadhali.
  16. E

    Ngozi nyeusi+Viwanda

    Kiukweli sisi ngozi nyeusi tunahitaji kuanzisha viwanda kwa wingi maana iweje kila kitu tunaagiza toka kwa ngozi nyeupe. Sasa ni zamu yao kuagiza magari, nguo,Na mashine toka kwetu.
  17. E

    Kuishi na mke kunataka uvumilivu wa chuma

    Nianze kwa kusema mimi ni kijana wa miaka 35 sasa, nimeoa mwaka wa 6 huu, na nina watoto wawili, ila ujumbe wangu wa leo vijana mnapoamua kuoa muwe mmemaanisha hawa wake zetu unahitaji akili ya ziada kuishi nao wengi wana upeo wa chini sana na wasahaulifu kupitiliza. Hivyo kijana usipokuwa...
  18. E

    Nina 'ashki' ila mke kanuna

    Wadau, Nimetoka safari Mwanza nimefika home Arusha mke wangu kanuna hanisemeshi. Nikimuuliza nini tatizo hasemi, nami toka niende safari sijapiga nje (kuogopa magonjwa+KUBANA MATUMIZI) nikijua nikija home nitapewa kipochi manyoya. Nitumie njia gani kupunguza hizi 'ashki'?
  19. E

    Natafuta Noah LITEACE au PROBOX VAN, nina 8.5m-9.0m (Hakuna Dalali)

    natafuta gari tajwa (NOAH LITEACE (Old model) au PROBOX VAN kwa bei kuanzia 8.5m mpaka 9.0m kulingana na ubora wa gari (haina dalali MUUZAJI ndio awe mmiliki wa gari). MAWASILIANO 0712212299.
  20. E

    Nelson Mandela Speech at Havard University

    Dear JF Members! Would love to share with Madiba's speech delivered when he accept Honorary Doctorate at Havard University way back 1998. https://www.youtube.com/watch?v=5Zh8otC-c3s
Back
Top Bottom