Rais Mstaafu Zanzibar anaweza kushiriki Mo Ibrahim Award?

establishment

JF-Expert Member
Jun 27, 2015
824
1,000
Wote tunaifahamu Mo Ibrahim Award on Good Governance je Rais Mstaafu (yeyote) wa Zanzibar anaweza kushiriki (achilia mbali kushinda).
 

Al-Watan

JF-Expert Member
Apr 16, 2009
11,932
2,000
Kwa criteria hii chini anaweza, lakini marais wote wa Zanzibar tangu angalau Idris Abdul Wakil wamewekwa kwa uchakachuaji, hivyo wanakuwa disqualified automatically.

Criteria.

Ibrahim Prize for Achievement in African Leadership
Prize criteria
  • Former African executive head of state or government
  • left office in the last three years
  • democratically elected
  • served his/her constitutionally mandated term
  • demonstrated exceptional leadership.
 

Automata

JF-Expert Member
Mar 3, 2015
2,302
2,000
Zanzibar siyo state na head of state ni Rais wa JMT.

Well said, Zanzibar si nchi na mkuu wa nchi siku zote ni Raisi wa Muungano ambaye kwa sasa ni Magufuli

Ila Karume anaweza kushiriki kwa kigezo cha kuwahi kuwa mkuu wa serikari (yani head of the government)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom