Can a South African White Lady marry Black Guy?


E

establishment

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2015
Messages
561
Likes
657
Points
180
E

establishment

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2015
561 657 180
Wandugu nimekaa kwa muda wa miaka 4 Nchini Afrika Kusini, ni ngumu kukuta mwanaume/mwanamke Ngozi nyeusi (black) akiwa na mahusiano na mzungu/kaburu? Mwenye kujua tafadhali.
 
P

peter phillip

Senior Member
Joined
Nov 12, 2016
Messages
152
Likes
75
Points
45
Age
57
P

peter phillip

Senior Member
Joined Nov 12, 2016
152 75 45
Tafuta wewe ili uwe mfano.
 
wingatereza

wingatereza

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2016
Messages
910
Likes
1,009
Points
180
wingatereza

wingatereza

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2016
910 1,009 180
Umekaa kwa muda gani? Na huyo black guy unamaanisha wa wapi? Hivi unadhani pesa inashindwa kitu gani
 
ukhuty

ukhuty

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2016
Messages
15,905
Likes
39,653
Points
280
ukhuty

ukhuty

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2016
15,905 39,653 280
Wapo wengi sana hujaizunguka south Africa yote ndo maan hujakutana nao
 
E

establishment

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2015
Messages
561
Likes
657
Points
180
E

establishment

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2015
561 657 180
nimeishi Joburg, Hatfield= Pretoria na Durban, sijawahi kuona hizo couple za mchanganyiko. Japo kina mama MA-BLACK wana CHURA ajabu.
 
steve_shemej

steve_shemej

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2015
Messages
597
Likes
479
Points
80
steve_shemej

steve_shemej

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2015
597 479 80
Njoo Limpopo uone
 
mensaah

mensaah

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2016
Messages
970
Likes
1,313
Points
180
Age
31
mensaah

mensaah

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2016
970 1,313 180
Wandugu nimekaa kwa muda wa miaka 4 Nchini Afrika Kusini, ni ngumu kukuta mwanaume/mwanamke Ngozi nyeusi (black) akiwa na mahusiano na mzungu/kaburu? Mwenye kujua tafadhali.
Mkuu kutokuona kwako couple ya black & white haijamaanisha hakuna na ni vigumu kutoka yuko South, pili mwanamke kuwa na chura si kigezo cha kuolewa wanaume wanatofautiana baadhi ya vigezo ni ndio maana wanawake wanaoelewa licha ya kuwa na maumbo tofauti tofauti
 
Snipes

Snipes

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2013
Messages
7,946
Likes
13,917
Points
280
Age
25
Snipes

Snipes

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2013
7,946 13,917 280
ongeza miaka4 mingine
 
M

massaiboi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2016
Messages
800
Likes
808
Points
180
Age
49
M

massaiboi

JF-Expert Member
Joined Jan 4, 2016
800 808 180
nimeishi Joburg, Hatfield= Pretoria na Durban, sijawahi kuona hizo couple za mchanganyiko. Japo kina mama MA-BLACK wana CHURA ajabu.
Sasa hao watoto mixed race wanatokea wapi, au adoption??.?
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
39,247
Likes
20,363
Points
280
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
39,247 20,363 280
Wandugu nimekaa kwa muda wa miaka 4 Nchini Afrika Kusini, ni ngumu kukuta mwanaume/mwanamke Ngozi nyeusi (black) akiwa na mahusiano na mzungu/kaburu? Mwenye kujua tafadhali.
Sasa wewe muda wote unaongea kiswahili tu wabongo haya utayaona wapi?

Kwa historia ya South Africa hakuwezi kuwa nawingiliano huo kwa sasa kwa sababu watu weusi wa South Africa ni wabaguzi wanawabaguwa hata weusi wenzao, na isitoshe wazungu wana Name calling yao wanawaita walungu, hizi zote ni lugha za kibaguzi.

Hivyo basi uwezekano wa Msouth black kuolewa na mzungu inawezekana kwa tabaka la wasomi na watu wa class fulani ambao wanakutana kwenye professional zao, lakini si rahisi demu tu wa kawaida kujichanganya na mzungu.
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
39,247
Likes
20,363
Points
280
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
39,247 20,363 280
Halafu rekebisha heading yako iko tofauti na maelezo yako.
 
E

establishment

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2015
Messages
561
Likes
657
Points
180
E

establishment

JF-Expert Member
Joined Jun 27, 2015
561 657 180
Halafu rekebisha heading yako iko tofauti na maelezo yako.
kajifunze kiingereza kwanza ndugu, wewe unafikiri kisukuma unataka uongee kiingereza, ni ngumu.
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
39,247
Likes
20,363
Points
280
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
39,247 20,363 280
kajifunze kiingereza kwanza ndugu, wewe unafikiri kisukuma unataka uongee kiingereza, ni ngumu.
Unapoandika heading ya kingereza halafu unaweka maelezo kwa kiswahili unachekesha.

Kwanza wewe kama umeishi South Africa ni wale mateja wazamiamiaji, swala la weusi na weupe kutokuwa na muingiliano wa kimahusiano sababu zipo wazi kabisa kwa mtu aliyeishi South Africa hawezi kuuliza swali la kitoto kama hili pimbi wewe.
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
39,247
Likes
20,363
Points
280
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
39,247 20,363 280
Wandugu nimekaa kwa muda wa miaka 4 Nchini Afrika Kusini, ni ngumu kukuta mwanaume/mwanamke Ngozi nyeusi (black) akiwa na mahusiano na mzungu/kaburu? Mwenye kujua tafadhali.
Kwanza wewe fala ni kiazi kabisa, si kila mzungu Msouth Afrika ni kaburu, kama ulikuwa unaishi na mateja wenzio huwezi kulijuwa hili hata siku moja.

Cape town ni mji wenye idadi kubwa ya Britons South African white, wewe umekariri jina la makaburu tu. Akili zako zinakutosha kuvukia barabara.
 
byeyombo

byeyombo

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2015
Messages
995
Likes
1,325
Points
180
byeyombo

byeyombo

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2015
995 1,325 180
Badala ya ubebe box unawaza mteremko Wa kupata mzungu...
 
Omygad

Omygad

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Messages
615
Likes
183
Points
60
Omygad

Omygad

JF-Expert Member
Joined Jul 23, 2013
615 183 60
mkuu mbona wapo wengi njoo apa umhlanga rocks durban
 

Forum statistics

Threads 1,274,223
Members 490,631
Posts 30,505,197