Nitawezaje kufanya biashara bila mke kujua?

establishment

JF-Expert Member
Jun 27, 2015
1,630
2,380
Wakuu nimeanzisha biashara ya Duka rejareja na Saloon ya kiume. Changamoto iliyopo ni kelele za mke wangu. Pindi akijua na ku-access zilipo.

Makelele yake yatapeperusha wateja wote. Maana mwanzoni nilishawahi kumuanzishia biashara ya duka la nguo na mini-super market vyote vikafa baada ya muda mfupi.

Yeye ni mtu wa kutokujali wateja (kufokea) na kuamini tu kwamba Mungu ataleta wateja kwa Maombi. Huko nyumbani naishi nae kwa machale maana yeye ni mtu wa makelele tu.

Sex ya manati, na huwa siinjoy-inabid kuvuta hisia ya mwanamke mwingine - imagination- ili nikojoe fasta nikafanye shughuli nyingine, kiufupi naishi KINAFIKI tu Bora liende. hafikirii kuna savings kwa ajili ya future (yeye ni mtu wa kununua luxurious stuffs tu). Kila ukijitahid ku-save, tujenge yeye hana habari, excuse kibao.

Ooh yeye anadai ndio anategemewa kwao na siwezi kumtenganisha na ndugu zake.

Mke ni KICHOMI
 
Huwezi kumficha mkeo Kila kitu ...

Cha muhimu Kama mwanaume
Kuwa na kauli za ki meja ndani ya nyumba...

Baba kasema....
Ova
Baba kasema....

Ukiweza hivyo
Hata remote ya TV iwe mezani hawata badili channel
Watasubiri mpaka
Baba aseme ...
Tatizo liko kwa mke sio kwa mme
 
Back
Top Bottom