Search results

  1. M

    Tanzania hoi kwa furaha duniani

    Report mpya ya UN inayozungumzia furaha kwa mataifa ya dunia imetoka tarehe 24 March na Tanzania imekuwa ya 131 kati ya nchi 143. Miaka ya karibuni Tanzania ilikuwa ndani ya kumi za mwisho. Mwaka huu tumetoka kwenye hizo kumi za mwishoni. https://happiness-report.s3.amazonaws.com/2024/WHR+24.pdf
  2. M

    Mbeya: Naibu Waziri Biteko aingilia Maandamano ya CHADEMA

    Polisi wanalazimisha Naibu Waziri Mkuu apite. Wananchi wamegoma. Ni maandamano ya kutoka Uyole. Naibu Waziri Mkuu anazomewa Wamepitisha magari pembeni baadhi ya watu wanarusha chupa. Msafara wa Naibu Waziri Mkuu una magari kama 50. Mbeya sio mchezo. Naibu Waziri Mkuu kapitishwa pembeni...
  3. M

    Meja Jenerali wa Kirusi auawa huko Ukraine

    Meja General wa Kirusi kauawa huko Zaporizhzhia baada ya sehemu alipokuwa kupigwa Mzinga. =========== Russian media reported on Monday that a Ukrainian missile strike on the southern Zaporizhzhia front killed an experienced Russian general. “As a result of an enemy missile attack, the Chief...
  4. M

    Hoja za Profesa Kabudi kuhusu uraia pacha si za kweli

    Nimeshangazwa sana na hotuba ya profesa Kabudi bungeni kuhusu uraia pacha. Alianza kwa kusema amefanya utafiti Lakini alichokiongea ni uongo mkubwa na bunge lingelikuwa na heshima ya ukweli ingebidi aitwe ili kusahihisha makosa kibao kwenye utafiti wake. Nimeona ni bora kufanya fact check ya...
  5. M

    VAT itaua makampuni mengi ya mikoani, TRA angalieni hili

    Wana JF, Ujumbe huu uende kwa Rais Samia pamoja na TRA. Huu mfumo mpya ambao TRA imeuanzisha katika kukusanya VAT umeleta matatizo makubwa sana hasa kwa kampuni za wilayani na mikoani. Kawaida VAT huwa hivi. Mfanyabiashara unaauza bidhaa yako au huduma yako na kuongeza VAT juu ambayo mlaji...
  6. M

    Rais Samia, unda Tume kuchunguza kupigwa risasi Tundu Lissu

    Mama Samia, Rais wetu mpendwa, Unda Tume ya watalaam wetu wa ndani na nje kuchunguza kupigwa risasi kwa Tundu Lissu, kupotea kwa Saanane Pamoja na watu wengine. Kama nchi tunaonekana wa hovyo sana kuwa na serikali ambayo haiko tayari kujua kilichowapata raia wake. Tunafananishwa na Kenya ya...
  7. M

    Natafuta dawa ndogo za meno

    Natafuta dawa ndogo sana za meno kwa Dar kwa muuzaji wa Jumla. Ni kwa ajili ya matumizi ya hoteli.
  8. M

    Mtoto wa dadake Magufuli aondolewa Ukatibu Mkuu

    Mjombake Mwendazake Dotto James katupwa nje. Sukuma gang in big trouble
  9. M

    Ofisi ya CAG imekumbwa na nini awamu hii ya tano?

    Hii ni ofisi ambayo ilipata umaarufu sana wakati wa Jk lakini rais Magufuli inaelekea kaamua kuinyima pesa za kutosha. Leo nataka kufungua websites zao kusoma reports zao za nyuma, pages zao zote hazifunguki. Wamekumbwa na nini CAG?
  10. M

    Wateja na wadau wa reli ya TAZARA walalamikia kodi ya VAT kwenye mizigo ya transit

    Bodi ya TAZARA imetishwa na VAT mpya kwenye mizigo inayopitia bandari ya DAR. Imeiomba Dar Es Salaam Corridor committee kukaa na kufanya utafiti wa kutosha juu ya madhara ya kodi hii kwa uhai wa TAZARA. Tazara ambayo mwaka wa 2015/16 imeongeza ufanisi mkubwa katika kazi zao baada ya kupata...
  11. M

    Wagonjwa wa UKIMWI, TB, Selimundu kuchangia matibabu, nini mwisho wake?

    Hii ni hatari sana na watu wengi wanakaa nyumbani bila matibabu. Dar es Salaam. Baadhi ya vitengo vya UKIMWI, TB na selimundu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili vilivyokuwa vikisimamiwa na miradi ya wafadhili vimemaliza mikataba yao, hivyo wagonjwa wameanza kulipia gharama za matibabu tofauti...
  12. M

    Naomba ufafanuzi kuhusu bima ya afya kwa wilaya ya Kinondoni

    Naomba msaada haraka, hivi hii bima ya afya ambayo meya wa CHADEMA alitangaza kwamba wanaanza kutoa kwa wakazi wa Kinondoni kwa sh. 40,000 kwa mwaka, wapi inakatwa? Nimeenda hospitali ya Magomeni, hawana taarifa kabisa. Wanasema labda Mwenge. Mwenye taarifa tafadhali.
  13. M

    TCRA ilikiuka taratibu katika kuifungia Redio ya Kyela FM - Media Council of Tanzania (MCT)

    Kamati ya uchunguzi iliyoundwa na MCT kuchunguza juu ya kufungiwa kwa Kyela FM, imegundua TCRA ilikuka taratibu na kuifungia redio bila kuipa notice ya kusudio la kuwafungia wala kuwasikiliza kwanza. Sehemu ya executive summary yao inasema: The investigation generally established that the...
  14. M

    Ufisadi, ufisadi, ufisadi trl

    Ufisadi, ufisadi, ufisadi TRL Na Restuta James 22nd April 2015 Sasa yagundulika aliyeleta mabehewa feki alikuwa na bei ya juu kuliko wote, Aliruhusiwa na kufanyia marekebisho zabuni yake kinyemela Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta. Madudu zaidi yameendelea kuibuka...
  15. M

    Kipanya na siasa za 2015

  16. M

    Ludovick Afunguka - Aelezea uhusiano wake na Mwigulu, Lwakatare

    *Aelezea uhusiano wake na Mwigulu, Lwakatare *Asema yeye bado ni mwanachama hai wa Chadema, amkwepa Kibanda SIKU chache baada ya Mahakama kumuachia kwa dhamana mshitakiwa mwenza wa Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Wilfred Lwakatare, Joseph...
  17. M

    Jeshi la Polisi

    Tofauti na alivyosema Jussa, inaelekea jeshi la polisi liko chini ya Muungano. Au kutakuwa na majeshi matatu ya polisi?
  18. M

    Polisi wapekua tena nyumba ya Lwakatare

    Polisi wambana Lwakatare Bakari Kiango na Nuzulack Dausen, Mwananchi Polisi wamezidi kumbana Mkuu wa Usalama wa Chadema, Wilfred Lwakatare baada ya kupekua nyumbani kwake kwa siku ya pili mfululizo. Lwakatare, ambaye ni mbunge wa zamani wa Jimbo la Bukoba Mjini kupitia CUF, alikamatwa...
  19. M

    Hivi Freeman Mbowe alijiunga JKT?

    Nimeshangaa kusoma kwamba Mwenyekiti Wa CHADEMA mheshimiwa Mbowe ni mmoja kati ya wabunge watakaojiunga JKT mwezi March mwaka huu. Je ina maana hakupitia JKT miaka hiyo? Kama hakupita, aliwezaje kupata kazi BOT? Kwa mliosoma na Mbowe ebu tusaidieni kufafanua juu ya hili.
  20. M

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA (Arfi) atupa kadi kikaoni, atishia kujiondoa chamani!

    Chanzo: Gazeti la Mwananchi CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimezidi kuandamwa na migogoro baada ya jana kuibuka mwingine mkubwa katika kikao chake cha ndani mkoani Katavi kiasi cha kumfanya Makamu Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Said Arfi, kutupa kadi yake ya...
Back
Top Bottom