TCRA ilikiuka taratibu katika kuifungia Redio ya Kyela FM - Media Council of Tanzania (MCT)

Mkulima

JF-Expert Member
Feb 4, 2007
1,232
1,538
Kamati ya uchunguzi iliyoundwa na MCT kuchunguza juu ya kufungiwa kwa Kyela FM, imegundua TCRA ilikuka taratibu
na kuifungia redio bila kuipa notice ya kusudio la kuwafungia wala kuwasikiliza kwanza. Sehemu ya executive summary yao inasema:

The investigation generally established that the closure of the radio station did not follow the right
procedure. First, TCRA did not issue a notice of the intention to close the radio. Second, the station
was not given a chance to be heard before the closure. Third, TCRA did not allow airtime for the
station to inform its listeners about the closure of broadcasting services, hence the saga left the
community with the assumption that the radio was closed due to political reasons.

Katika conclusion yao MCT wanasema:

The closure of Kyela FM Community Radio was improper. The procedures for closing radio station were
not followed, and even some of the regulations requirements were skipped. Despite
the established technical flaws on the part of the station, still, the penalty was harsher
than the alleged offences. The circumstances surrounding the closure and the timing of
the shut down raises doubts whether TCRA was acting fairly and independently.
 

Attachments

  • report on the closure of kyela fm radio and other forms of press freedom violations.pdf
    4 MB · Views: 19
Fitna za Mwakyembe hizi kufungia redio ya wananchi.
Tcra nao wanadhalilisha elimu zao kwa kukubali kuendeshwa na wanasiasa.
 
Mkuu sijakuelewa ukoloni mambo leo kivipi wakati hiyo pia ni lugha rasmi kitaifa,na hapa ndio madhaifu yetu yanapoonekana.
Kiswahili ndio kinatakiwa kiwe kila kitu kwenye taifa huu ndio mzizi wetu kisha lugha nyingine ndio zifuate
 
Na TCRA wenyewe wanasemaje sasa baada ya kuthibitika kuwa ufungaji wa kituo hicho ulifanywa kinyume cha taratibu na sheria?

Chombo kipi kipo juu ya kingine kati ya aidha TCRA na MCT?

Kama ni TCRA iko juu ya MCT basi ni wazi, haya yatachukuliwa ni kama maoni tu sawasawa na sisi tunavyotoa maoni yetu hapa!

Labda kinachoweza kufanyika ni kituo chenyewe kwenda mahakamani kuishitaki TCRA ili kama hatua hizo zilichukuliwa kinyume cha taratibu na sheria, basi wapewe haki yao na waliokosea wawe charged!
 
Naomba tusitishe huu mjadala kwakuwa hatutaelewana na tutaishia kuchoshana tu tafadhali
wewe tu ndio unataka kuendeleza malumbano yasio na msingi TAMBUA KUWA KIINGEREZA NI LUGHA RASMI PIA HAPA TZ-period.mengine ni udhaifu tu.
 
Back
Top Bottom