muongo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Ili kuitetea Serikali ya CCM ya sasa unahitaji kuwa muongo sana na usie na hata chembe ya aibu!

    Serikali yetu chini ya CCM imegeuka kuwa kituko cha Karne yaani wanadiriki kudanganya kusema uongo na kupiga propaganda ambazo nadhani hata shetani anakaa kuwashangaa.!
  2. L

    JamiiForums Tanzania Heche Ni Muongo. Mafuta Yamepanda Dunia Nzima. Hayajapandishwa na Serikali wala wafanyabiashara

    Ndugu zangu Watanzania, John Heche Amedhihirisha ni kwanini CHADEMA imekosa Muelekeo kipindi hiki cha uongozi wake, Amethibitisha ni kwanini CHADEMA imepuuzwa na yeye kudharauliwa hadi na wale anaowaongoza, imedhihirika ni kwanini wenye akili Timamu walikataa kuongozwa naye na kuamua kuondoka...
  3. jamaikatz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukiwa muongo muongo, utawapata wanawake

    Kama huna hela jitahidi uwe muongo, wanawake wanapenda kimojawapo Ukiwa muongo muongo halafu msafi utagonga sana mademu kuliko hata wenye fedha.
  4. Kant Ombe

    JamiiForums Tanzania Yesu ni muongo au wapambe ndo waongo?

    Shalom shalom Je, Kuna Uthibitisho wa Kihistoria au Kisayansi kwamba Yesu Alijaribiwa na Shetani? Simulizi la Yesu kujaribiwa na Shetani jangwani ni moja ya hadithi maarufu katika Ukristo. Linaonekana katika vitabu vya Mathayo, Marko, na Luka ndani ya Biblia. Hata hivyo, tukilitazama tukio...
  5. Clever505

    JamiiForums Tanzania Kati ya waislam na Allah nani muongo kwenye hili?

    Waislam wote duniani wanafundishana kwamba vitabu vya Mungu; Tourati, Zaburi na Injili vimechakachuliwa. Hili fundisho mmepata wapi! Mbona mnamuona Mungu ni dhaifu sana kiasi kwamba hawezi kulinda vitabu vyake? Yaani Bukhari ana kitabu chake cha Hadith kipo hadi leo tangu kiandikwe ila Mungu...
  6. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Japo ni muongo, ila Mwigulu hapa anasema ukweli

    Hivi karibuni, Lameck Madelu Mkumbo au Mwigulu amekuwa na mstari wa kuchusha anaourudia kila aendapo. Anapenda kutuaminisha na kutushauri kuwa 'kuna mchezo' Watanzania tunachezewa na mabeberu. Hili la kuchezewa kamchezo ni kweli. Uongo ni wale anaodai wanatuchezea. Ukweli ni kwamba...
  7. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume unakuwaje muongo muongo halafu hujipangi?

    My people hope mko poa kabisa ni mwendo wa VPN tu nikisomeka hapa France. Kuna kisa kimoja nimekipata leo asubuhi nikiwa ndani ya public transport kuelekea job, ni mwanamama ambaye anaongea kwenye line baada ya kupigiwa call kutoka kwa ndugu zake Bimkubwa huyu analalamika kwamba mumewe daily...
  8. G Sam

    JamiiForums Tanzania Sawa mnasema Polepole ni muongo, lakini mnamuona Angela Kizigha na Samia ukaribu wao?

    Ukiona ukaribu wa huyu mtu na Rais Samia si bure. Kuna jambo na mimi kwa akili yangu nimeanza kuamini anayoongea Polepole kuwa yana ukweli asilimia Mia moja. Kwanza kwanini Kizinga from no where awe mtu wa karibu sana wa Samia? Kumbukeni enzi Samia akiwa makamu na hata siku za mwanzo za urais...
  9. didy muhenga

    JamiiForums Tanzania Jezi za yanga ni upuuzi wa muongo

    Baada ya sheria ngowi kuachana na yanga, yanga walipata designer mpya ila cha ajabu hizi jersey za msimu huu ni kituko cha muongo kama sio karne kabsa. Kwenye jersey ety wameweka mwenge sa sjui unafanya nin mwenge wa kichaw wa Nyerere. Ni aibu na haujapendeza kabsa. Ushauri wa bure mnatakiwa...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GENTAMYCINE nikiwa namsema Mo Dewji kuwa ni Samjo Samjo (Muongo Muongo) na hatufai Simba SC bali anapiga tu Hela naambiwa namchukia na Mimi ni Yanga

    Mchome nakubaliana nawe kwa 100% zote.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo wa biashara ya kituo Cha mafuta deepbond

    Habar wakuu naomba muongozo abc za biashara ya kituo Cha mafuta mchakato wake ukoje faida kwa siku na vibali na eneo l,na Hali ya ushindand ,,NB deepbond njoo uku tunakuhitaji ushauri
  12. chiembe

    JamiiForums Tanzania Gitonga, mwana tiktok maarufu kutoka Kenya asema Boniphace Mwangi ni muongo wa kutupwa

    Wakenya wameshtukia uongo wa Boniphace Mwangi, wanamuanika upuuzi wake kila mahali.
  13. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Waziri wa mifugo Dkt. Ashatu anasema Watanzania mnakula Mayai 119 kwa mwaka unakubaliana naye?

    Waziri ashatu anasema watanzania mnakula mayai 119 kila mwaka unakubaliana naye au muongo huyu ? au kuna mtu anawasaidieni kula mayaiyenu hayo kati ya 119 kwa mwaka mpaka takwimu ziwe hivi ? Alikuja akawauliza mitaani au yeye mtaani haonekani wala kwenye mifugo haonekani alafu anaongea tu na...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Muongo huu ni muongo wa uhuru wa kweli wa Afrika

    Habarini, Katika muongo huu Afrika inasimama tena na kutaka uhuru wa kweli na kupinga viongozi/manabii wa Afrika kuuwawa tena kwa maslahi ya wazungu. Kila kiongozi mwema wa Afrika atakayeuawa kwa hila za u.s.a na ufaransa basi malipizo yake ni kupitia mauaji ya vibaraka wao na uteketezaji wa...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Kiongozi anapokuwa Muongo

    NI kujulishana juu ya Viongozi wa Serikali ,kuanzia Mkuu wa Nchi akifuatiwa na ngazi mbali mbali hadi balozi wa nyumba kumi kumi. Ni kesi ngapi maarufu za kupotea watu maarufu ,tuwaweke pembeni kina sisi pangu pakavu. Watu maarufu waliojulikana na kuvuma , kurahisisha ni zile zinazowahusisha...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Dkt Slaa ni Muongo aliyekubuhu na Mchonganishi. Watanzania Mpuuzeni

    Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna mtu mnapaswa kumpuuza ,kutokumsikiliza na kumkemea vikali wakati huu ni Dkt Slaa. Huyu Mzee ni Muongo sana ,Mchonganishi sana ,kigeugeu sana na anayebadilika kama kinyonga. Embu jaribuni kufuatilia kauli zake za siku ya nyuma ndio muelewe nayoyazungumza hii...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Kwa vitendo vyake Je Raisi Samia ni mkweli au Muongo

    Kwa vitendo vyake Je Raisi Samia ni mkweli au Muongo. Wengi wanalalamika kwamba anayesema anasema kisiasa kuanzia 4R ni uongo, chaguzi huru ni uongo, Ripoti za mauaji ni uongo. Je ni kitu gani Samia kasema cha kitaifa na kimekuwa ukweli? Je tuna Raisi Muongo?
  18. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wake alidanganyika na plans za muongo wa mtandaoni akamwacha hustler, sasa anaomba ushauri

    was a happy family. Ikatokea mwanamke akakutana na mnaijeria akaanza kumsomesha kuhusu biashara za mtandaoni. Mwanamke akajaa kiburi akamwacha Mume wake tena kwa visa mbalimbali. Mwanamke kagundua zile plans ni utapeli anajitahidi kurudi kwa jamaa yake aliyekua anampa japo kidogo nako...
  19. J

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Huyu Tundu Lissu ni muongo

    === Kwa mtizamo wangu Mtu pekee toka Chama Cha Mapinduzi CCM anayeweza kumnyoosha sawasawa Tundu Lissu kwa hoja mujarabu tena kwa data ni huyu Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini PPPC Bwana David Kafulila, Kwa utafiti wangu mdogo nilioufanya mitandaoni na mitaani ni wazi Watanzania...
Back
Top Bottom