Ofisi ya CAG imekumbwa na nini awamu hii ya tano?

Mkulima

JF-Expert Member
Feb 4, 2007
1,107
1,193
Hii ni ofisi ambayo ilipata umaarufu sana wakati wa Jk lakini rais Magufuli inaelekea kaamua kuinyima pesa za kutosha.

Leo nataka kufungua websites zao kusoma reports zao za nyuma, pages zao zote hazifunguki.

Wamekumbwa na nini CAG?
 
Tofauti ni kuwa Awamu iliyopita Bunge lilikuwa "LIVE' na ndio maana uliyasikia mengi yaliyokuwa yanasemwa na wabunge.
Lingine ,awamu hii bajeti ya kuendesha ofisi ya CAG imepunguzwa!!!!
 
Hii ni ofisi ambayo ilipata umaarufu sana wakati wa Jk lakini rais Magufuli inaelekea kaamua kuinyima pesa za kutosha.

Leo nataka kufungua websites zao kusoma reports zao za nyuma, pages zao zote hazifunguki.

Wamekumbwa na nini CAG?

ADUI, MWOMBEE NJAA, UMEMMALIZA.
 
Asante, naona sasa inafunguka.

Inafunguka kuingia homepage lakini ukienda ku download reports inagoma.

Rekebisheni, hii ni taasisi muhimu sana.
 
Back
Top Bottom