Mbeya: Naibu Waziri Biteko aingilia Maandamano ya CHADEMA

Mkulima

JF-Expert Member
Feb 4, 2007
1,034
1,022
Polisi wanalazimisha Naibu Waziri Mkuu apite. Wananchi wamegoma.

Ni maandamano ya kutoka Uyole.

Naibu Waziri Mkuu anazomewa

Wamepitisha magari pembeni baadhi ya watu wanarusha chupa. Msafara wa Naibu Waziri Mkuu una magari kama 50.

Mbeya sio mchezo.

Naibu Waziri Mkuu kapitishwa pembeni baada ya Wananchi kugoma.

Lissu awaambie Waandamanaji kwa muda huu barabara hii ni ya waandamaji.

 
Polisi wanalazimisha naibu waziri mkuu apite. Wananchi wamegoma.

Ni maandamano ya kutoka Uyole.

Naibu waziri mkuu anazomewa

Wamepitisha magari pembeni baadhi ya watu wanarusha chupa. Msafara wa naibu mkuu una magari kama 50.

Mbeya sio mchezo.

Naibu waziri mkuu kapitishwa pembeni baada ya wananchi kugoma.

Lissu awaambie waandamanaji kwa muda huu barabara hii ni ya waandamaji.
Lissu awaambie waandamanaji kwa muda huu barabara hii ni ya waandamaji.
 
Back
Top Bottom