Nimeshangaa kusoma kwamba Mwenyekiti Wa CHADEMA mheshimiwa Mbowe ni mmoja kati ya wabunge watakaojiunga JKT mwezi March mwaka huu.
Je ina maana hakupitia JKT miaka hiyo? Kama hakupita, aliwezaje kupata kazi BOT?
Kwa mliosoma na Mbowe ebu tusaidieni kufafanua juu ya hili.