Naomba msaada haraka, hivi hii bima ya afya ambayo meya wa CHADEMA alitangaza kwamba wanaanza kutoa kwa wakazi wa Kinondoni kwa sh. 40,000 kwa mwaka, wapi inakatwa?
Nimeenda hospitali ya Magomeni, hawana taarifa kabisa. Wanasema labda Mwenge.
Mwenye taarifa tafadhali.
Nimeenda hospitali ya Magomeni, hawana taarifa kabisa. Wanasema labda Mwenge.
Mwenye taarifa tafadhali.