Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 23,144
- 26,651
Hili nalo nenoHii ni moja ya facts na hatari sana katika kuzalisha mashoga,wazazi kujisahau mtoto wa kiume anaunganishwa na dada zake halafu wanazungushwa beach na mama
Au Mtoto wa kiume kutembea na mama yake muda Mwingi hasa anapoenda kwa Mashoga zake kusogoa
Inshort mtoto wa kiume akianza tu kujitambua anatakiwa kuandamana na Baba yake issue Inakuja siku hizi watoto wengi wanazaliwa out of wedlock’s au wanalelewa na single mamas kwahiyo ana kosa kwa namba moja au nyingine malezi muhimu ya Baba !
Kingine ni ule upendo wa mama zetu kwa watoto anashindwa kukubali at age of 5 huyu mtoto wa kiume ameshakuwa anahitaji kuanza kupata miongozo ya uanaume!wai wako busy kuwapamba na kuwavalisha na kuzunguka nao kwenye masaluni