mfichuamambo

Member
Jul 22, 2021
99
277
Miaka michache ijayo sijui kama kutakuwa na wanaume hapa Dar! Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana, ushoga umekuwa ni jambo la kawaida hapa Dar.

Sidhani kama kuna mtaa Dar ambao hauna mashoga, Mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma. Wa sasa hivi unakuta ni mtu na status yake, haonekani kama ni shoga, wengi ni watu smart kichwani na wengine wana ndoa zao.

Wengine ni watu na miili yao ya mazoezi wamejazia, ukimuona unasema ni kidume, wengine hadi ni wale watu wa kombati na nyota zao.

Hapa ofisi ninayofanyia kazi kuna watu na vyeo vyao wawili, nilichogundua wana mahusiano yasiyofaa kwani niliwafuma wamejifungia ofisini japo hawakuniona nilihisi kuishiwa na nguvu!

Sijui kama miaka michache kutakuwa na wanaume marijali wengi, itakuja kufika mahali kati ya wanaume 10 ambao ni homesexual ni 8.

Hali ni mbaya sana hapa Dar, kuna haja ya kutangazwa hali ya dharura, ushoga ni janga la kitaifa haswa hapa Dar. Hivi tatizo ninini? Yaani limekuwa ni jambo la kutisha hadi mtu unaogopa kuzaa mtoto wa kiume. Mungu nilindie kizazi changu uwiii, wanaume kwanini hivyo lakini?
 
Hata humu tunaye mmoja! Amemfuata dada wa watu pm, akamuomba amtafutie eti mtu wa kumtekenya! Inawezekana ikawa kweli aisee!

Na hizo chips yai mnazoshindia huko Dar, ndiyo zinawaongezea matatizo zaidi. Poleni sana. Huku Vijijini tuliko, kuna unafuu sana.
 
Na Tanzania ni miongoni mwa nchi 27 Africa zenye Sheria kali za kupinga ushoga.Lakini tuko busy na chadomo na ugaidi wake.
IMG_20210814_110155.jpg
 
Hata humu tunaye mmoja! Amemfuata dada wa watu pm, akamuomba amtafutie eti mtu wa kumtekenya......! Inawezekana ikawa kweli aisee!!

Na hizo chips yai mnazoshindia huko Dar, ndiyo zinawaongezea matatizo zaidi. Poleni sana. Huku Vijijini tuliko, kuna unafuu sana.
Ungenistua bro.. nawasaka hao

Sent from my Redmi 8 using JamiiForums mobile app
 
Miaka michache ijayo sijui kama kutakua na wanaume hapa Dar

Nasema haya kwasababu mashoga wanaongezeka kwa kasi sana ushoga umekua ni jambo la kawaida hapa Dar

Sidhani kama kuna mtaa dar ambao hauna mashoga mungu atunusu maana kwasasa mashoga wa sasa sio kama kipindi cha nyuma wa sasa hivi unakuta n
Labda wanawake wanawabania sana na kuwapiga pesa ndefu, wakaona wabuni yakwao na kuhamishia uhitaji kwingine.
 
Wanaume hatuwezi kuisha mkuu hizo mambo zilikuepo enzi na enzi.

Sema tu sasa hivi ni kama watu hawaogopi kuyafanya hadharani na hata wakigundulika hawaoni jau kwasababu wengi wanajua hayo mambo yapo. Mfano ni huyu kiumbe wa jf, anaefata watu PM.

Usiogope kuzaa mtoto wa kiume mkuu, kitu wanachokosea kinamama wengi ni ile ana mtoto wa kiume maybe wa miaka 8 au 9 na anamchukua kwenda kupiga umbea na mashoga zake.

Mtoto wa kiume kushinda na wanawake mda mrefu hua inawaathiri sana, mwache akacheze na wakiume wanzie aige tabia za kiume na sio zako wewe mama yake. Na kikubwa zaidi tumuombe Mungu.
 
Back
Top Bottom